PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

SMS za AckySHINE: SMS Nzuri za Mapenzi na Mahaba Kwa Mpenzi Wako Β· 290

πŸ“„

Meseji ya kumbembeleza mpenzi wako aje kwako

mpenzi usiende mbali nami,njoo ufaidi utamu usioishahamu,nitakupa mwili wangu ukeshe nao,nitakulishaunachokitaka,sitakubania naogopa wengine wataniibia. ..njo leo uniambie unataka nini?

Open printable article β†’
πŸ“„

Meseji ya kumtumia mpenzi wako wakati unaenda kwake

nipe niridhike,nionjeshe usinilambishe,nikigonganikaribishe na penzi le2 2listawishe.

Open printable article β†’
πŸ“„

Meseji ya kumuomba mpenzi wako aje kwako

Nakupenda sana P tafadhari usinikasirikie, nimekukumbukanahitaji kukuona unipoze moyo wangu, njooo mwandani wangunakusubiri daktari wangu.

Open printable article β†’
πŸ“„

Ujumbe wa kumtumia mpenzi wako mlioachana kumwambia hakuwa sahihi

maumivu ya kulipoteza penzi lako ni kubwa, lakini nimakubwa zaidi baada ya kugundua haukuwa yule nileyedhani.inaniuma sana

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS ya kimahaba ya upendo ya kumtumia mpenzi wako anapoenda kwa mwingine

Nakupenda sana mwandani wangu ndiyo maana moyo wangu hupatwa kidonda ninaokuona na mwinginehasa anapokuwa hana sifa, nahisi kama anakutumia wewe kama mdori wake wa kumfurahisha. Uwe makini ua la moyo wangu.

Open printable article β†’