πSMS ya kimahaba ya kumkumbusha mpenzi wako uwepo wako
Ucku ulalapo jua kuna m2 akupendaye,mchana uwajibikapotambua yupo anayekuwaza ,jioni uwapo mazoezini jua yupoanayekuonea wivu,hata uwapo kwenye kumbi za burudanitambua mwenzio nakulilia,usitoe penzi kangu akilini hatakm upo mbali nami!moyoni mwangu hutafutika milele!
Open printable article βπUjumbe wa mapenzi wa kumwambia mpenzi wako jinsi unavyompenda na unavyomuwaza kila siku
Kila niamkapo mawazo yangu huwa kwako na upepo uvumapohuhitaji uwepo wako na hasa nikumbukapo kumbato lako,nakupenda mpenzi
Open printable article βπSMS ya kimahaba ya kumtumia mpenzi wako kumwambia unavyomtamani
macho yang hutaman kukuona,mdomo wang hutamankukubusu,mikono hutaman kukutomasa,uko mbali nami ilamwili wangu upo kwa ajili yako dear
Open printable article βπSMS ya kumwambia mpenzi wako unavyompenda na hautarajii kumsaliti
nimeulizwa nmependa nin kwake huyo ninaye mtumia ujumbehuu nami nikajb saf roho yake nzur tabia yake ,majvunohayapo kwake,nkaulzwa je unampenda kwa dhati ?nami nikajibu ndiyo nacpotayar kumsaliti na lbd aanze yeye
Open printable article βπUjumbe mzuri wa mapenzi wa kimahaba wa kumtumia mpenzi wako siku ya wa pendanao au siku ya valentine
Wewe pekee upo moyoni mwangu, nitaendelea kukupenda sikuzote za maisha yangu! Katika siku hii ya wapendanao, wewendiyo ua la moyo wangu!
Open printable article βπSMS ya kumtumia mpenzi wako kumwambia kuwa yeye ni wa kipekee na utampenda daima
Weupe wa penzi lako ni kama mwezi angani.Ucheshi na mahabayako nifananishe na nini? Kupata mfano wako hatotokeaamini. Elewa mimiwako sikuachi asilani
Open printable article βπSMS ya kumwambia mpenzi wako unampenda na hauna mpango wa kumuacha
Hata kama nitajidanganya kwamba sikupendi, moyo wanguumeganda kwako na hakuna dalili za kukuacha, wewe ni wangupeke yako dearβ¦
Open printable article βπSMS ya kimahaba ya kumwambia mpenzi wako kuwa penzi lako ni la daima na milele, utampenda milele
Penzi langu kwako ni la milele, nitakuhifadhi moyonimwangu siku zote za maisha yangu, uwe wangu nami niwe wakodaima, nakupenda dearβ¦
Open printable article βπUjumbe wa kumwambia mpenzi wako kuwa utazidi kumpenda hata kama watasema mengi juu yake na juu ya mapenzi yenu
Hata kama watasema mengi kiasi gani, kwako wewenitaendelea kuwa mpole, maana nakupenda sanaβ¦
Open printable article βπUjumbe mtamu wa mahaba kwa umpendaye kumwambia maana ya upendo
upendo ni jibu kwamba kila mmoja anataka⦠.upendo ni lugha ,kwamba kila mmoja anaongea,upendo hauwez kununuliwa,na icyo kadirika na ya bure,upendo kama uchawi safi,nisiri ya maisha matamunakupenda mpz
Open printable article βπUjumbe wa mahaba wa kumtumia umpendaye kumwambia anahisia gani kuhusu mapenzi
mapenzi ni hisia zilizopo moyoni mwetu,hujidhihirishe paleunapopata umpendaye,utamu wake ni zaidi ya sukari uchunguwake ni zaidi ya shubiri je kwako yapo je?
Open printable article βπUjumbe wa kimahaba wa kumuuliza mpenzi wako anayatumiaje mapenzi
pendo ni silaha kali zaidi duniani hu uwa wasio na hatiana hujeruhi bila kutarajia,wengine hujitolea muhanga nayo,silaha hiyo itumikapo vizuri huleta marafiki na kuongezafuraha,je we unaitumiaje silaha hiyo?
Open printable article βπSMS ya kimahaba kwa mpenzi wako kumwambia unampenda sana hutaki hata sekunde ipite bila kumpenda
Kama mapenzi huweza kukimbiwa kwa kufumba macho yetu tu,basi nisingefunika macho kabisa. Sitaki sekunde ipite bilakukupenda wewe.
Open printable article βπSMS ya kumkumbusha mpenzi wako sifa za pendo la dhati
pendo la dhati lina sifazifuatazo,kuvumilana, kusubiriana, kujaliana, kushauriana, naLa Mwisho Ni Mimi Na Wewe.
Open printable article βπMeseji ya namna nzuri ya kumwambia mpenzi wako kuwa unampenda
Neno Nakupenda Hutamkwa Kwa Lugha Legeeevu YenyeKuambatana Na Hisia Nzito Zilizofikicha MioyoniMwetu,hutamkwa Kwa Kauli Bashasha,nakshi Na Hofu NdaniYake.raha Yake Umpate Anayekujali Kama Mi NinavyokujaliNakupenda Mpz
Open printable article β