πMeseji ya kumtumia mpenzi wako kumwambia akupende kama unavyompenda
Nakupenda mpenzi wangu, sifikirii kitu chochote zaidi yakona kwa kuwa nakupenda sipendi kuwa na urafiki hata namwingine kwani atakuwa anabana nafasi niliyokuwekea wewe.Noamba unipende nami nakupenda kila sikunde inayopitamaishani mwangu. Mwaaaaaaaaa
Open printable article βπMeseji ya kumwambia mpenzi wako kuwa utampenda mpaka mwisho wa uhai wako
Penzi lako ndiyo pumzi yangu nawezaje kukuacha laazizi,ina maana nife??? Siwezi kukuacha nakupenda. Nitakupendampaka mwisho wa uhai wangu.
Open printable article βπMeseji ya kumwambia mpenzi wako asiwaze hata siku moja kuwa unawea kumuacha
Asali wa moyo wangu, fahamu kuwa unaweza kuamini kwambamwanga wa nyota unaweza kuunguza nyumba, jua linawezakusimama, lakini usiwaze hata siku moja kuwa nawezakukuacha.
Open printable article βπSMS nzuri ya kumwambia mpenzi wako unampenda
Ningependa nikuambie neno ambalo halina gharama na likutumiwa vibaya halina maana wala thamani.Neno hilo haliandikiki kwenye karatasi wala hata halitamkiki ila tu Linatokea Bila kujua na halina sababu.Neno hilo mi mwenyewe silijui ila ndo linatufanya tuwe pamoja Japo tupo Kasi Na Kusi.Nakupenda sanaβ¦
Open printable article βπMeseji nzuri ya kumtumia laazizi wako kumwambia jinsi unavyompenda
naukunjua moyo wangu huishi milele maishani ,nafunguanafsi nikupende wewe pekee,nafunga milango ya moyo wanguilikutokupokea ugeni wowote wa moyo zaidi yakompenzi.nakupenda sana laazizi
Open printable article βπUjumbe wa kimapenzi wa kumwambia mpenzi wako kuwa haupo tayari kumpenda mwingine kwani unampenda yeye tuu
sipo tayari kuukabidhi moyo wangu kwa mwingine zaidiyako,wewe ni wa pekee maishani mwangu mwenye kujua hisiamoyoni mwangumpenzi nipende daima pendo lako nitalienzi, nakupenda
Open printable article βπUjumbe wa kumtumia mpenzi wako kumwambia akufanye wa kipekeee
mapenzi ni safari=unifanye nauli ya moyo, mapenzi nimaradhi=unifanye daktari ni kutibu maradhi yako,mapenzi nikiu=niwe maji jangwani,mapenzi ni chakula=nikulishemaishani mwako na uwe asali moyoni mwangu
Open printable article βπSMS ya kimahaba ya kumwambia mpenzi wako sababu ya kumpenda
wengi hupenda fanta kwa ladha yake,wengine hupendapilipili kwa muwasho wake,wengine hupenda asali kwa utamuwake ila mimi nakupenda wewe kwa upendo wako.
Open printable article βπMeseji nzuri ya kumwabia umpendaye kuwa unampenda
nimetuma ndege wangu auzunguke ''moyo'' wako kwa '' upendo'' auguse ''uso'' wako kwa ''faraja'' na mwishoakunong'oneze sikioni taratibu kuwa nakupenda.
Open printable article βπSMS ya kumdekeza mpenzi wako na kumwambia unavyompenda
mapenzi ni utoto,deka ulie nitakubembeleza,mapenzi nizawadi tabasamu nibusu niambie kiasi gani unanpenda,nawezakusema asilimia kubwa jina lako limezunguka kuta wa moyowangu.kamwe jina lako haliwezi kufutika.nakupenda sana.
Open printable article βπUjumbe kwa mpenzi wa kimahaba
yapitayo mdomon yametokea moyon,uyaonayo hadharaninimeagizwa na manani yakuridhishayo nafsini ni utamu wayakini.
Open printable article βπUjumbe wa mapenzi kwa mpenzi wako kumwambia unampenada na unamkumbuka
kila niamkapo mawazo yangu huwa kwako na upepo uvumapohuhitaji uwepo wako na hasa nikukumbukapo kumbatolako,nakupenda mpenzi
Open printable article βπSMS ya mshale wa mapenzi kwa umpendaye
Β»-ββΒ»>Mshale huu unamtafuta mtu muhimu sana ktkmaisha yangu na kama umekutana naousiukwepe uacheuchome Moyo wako gharamaza matibabu juu yangu.
Open printable article βπSMS ya kumtumia mpenzi wako kujivunia kuwa na yeye
Furaha yangu ni kuwa nawe kwani u zaid ya mboniyangu,najisifu kuwa nawe maishani mwangu naamini itatokeakutokuwa mbali nawe mpz wangu,unisahaulishe machungu nakaraha za huu ulimwengu .nakupenda dia.
Open printable article βπUjumbe mzuri wa kumwambia mpenzi wako jinsi unavyompenda
sioni zawadi ya kukupatia kwa mapenziunayonipatia,moyoni nimekuridhia wewe pekee penzi langu daimakukupatia nakupenda
Open printable article β