πUjumbe wa kimapenzi wa kumweleza mpenzi wako kuwa anaweza asijue jinsi gan unavyompenda lakini ni kweli unampenda sana
Unaweza usione kamwe ni kwa kiasi gani ninavyokujali.Unaweza usisikie ni kwa kiasi gani nilivyokushiba, unawezausihisi namna gani ninavyokukumbuka. Sababu ni moyo wangutu uliyoyaficha hayo.
Open printable article βπUjumbe wa Kimahaba wa kumwambia mpenzi wako upo tayari hata kumpa maisha yako
Kama busu ni maji ningekupatia bahari, kukumbatia nimajani, ningekupa msitu. Mapenzi ni maisha ningekupa yangubure.
Open printable article βπSMS kwa mpenzi anayeishi mbali
Ni ngumu kwa watu wawili kupendana wanapoishi Duniatofauti, lakini Dunia hizo zikutanapo na kuwa kitu kimoja,hiyo ndiyo maana ya kuitwa wewe na mimi.
Open printable article βπSMS ya kumwambia umpendaye akijisikia upweke akukumbuke wewe kwani upo kwa ajili yake
Watu husema kwamba, awapo mtu mmoja tu akupendaye, maishahayajapoteza maana, kwa hiyo, ukijihisi mpweke hauhitajikuishi nikumbuke mimi.
Open printable article βπSMS nzuri ya kumwambia mpenzi wako jisni anavyokuchanganya kwa unavyompenda
Watu waliniambia ninaweza kufanya chochote kama tunitaweka mawazo yangu juu ya hicho kitu. Lakini kilanikijitahidi unaipoteza akili yangu
Open printable article βπSMS nzuri kwa mpenzi wako kumwambia kuwa ameitibu akili yako
Chuki huharibu akili; mapenzi huitibu. Umeitibu akiliyangu.
Open printable article βπSMS ya kimahaba kwa mpenzi wako anayekujali
Kumjali mtu ni rahisi, lakini kumfanya mtu akujali nivigumu, nashangaa umewezaje kunifanya nikujali?
Open printable article βπSMS ya kumuonyesha mpenzi wako jinsi anavyokupagawisha
Watu waliniambia ninaweza kufanya chochote kama tu nitaweka mawazo yangu juu ya hicho kitu. Lakini kila nikijitahidi unaipoteza akili yangu
Open printable article βπSMS ya kumwabia mpenzi wako kuwa unampenda sana
Niseme nini ujue nakupenda? Nifanye nini ujue nakupenda?Nikuite jina gani ujue ni wewe peke yako upo moyonimwangu? Hakika hakuna ila moyo wangu ndio unaosema kuwanakupenda, niamini mpenzi
Open printable article βπSMS nzuri ya kumwambia mpenzi wako mpendane
Dhamira kuu ya Moyo wangu ni Mapenzi, kukupenda kwa dhati bila kipingamizi, kuishi nawewe kihalali kwa kudra za wazazi, Nipende nikupende Tudumishe Mapenzi.
Open printable article βπUjumbe wa kimahaba kuhusu upendo wa kumwambia mpenzi wako
upendo ni jibu kwamba kila mmoja anataka⦠.upendo ni lugha ,kwamba kila mmoja anaongea,upendo hauwez kununuliwa,na isiyo kadirika na ya bure,upendo kama uchawi safi,nisiri ya maisha matamunakupenda mpenzi
Open printable article βπUjumbe mzuri wa kimapenzi wa kumuuliza mpenzi wako kama anakupenda kweli
"Mimi sitaki kuwa kila kitu kwa kila mtu, lakini napendakuwa kitu kwa mtu.na mtu mwenyewe ni wewe"nakupenda laazizi"Kama mimi nilikuwa na maua kila wakatimawazo yanguyangekuwa juu yako,nisingefikiri wa kumpa mwingine kablayako je wewe ungekuwepo nayoungempa nani kwanza? "
Open printable article βπUjumbe wa meseji wa kumsihi mpenzi wako mdumishe mapenzi yenu
Ni vigumu kumpata mwenye mapenzi ya kweli na zaidi yuleatakayekuwa tayari kukupenda zaidi, hivyo nafasiinapopatika si busara kuichezea tudumishe penzi letulaazizi wangu.
Open printable article βπMeseji ya kumwambia mpenzi wako kuwa yeye ni mtu muhimu sana katika maisha yako
Nakupenda mpenzi W nafasi uliyotawala moyoni mwangu nikubwa, hakuna ambaye anaweza kufikia uhodari wako, wewe nimtu muhimu sana maishani mwangu.
Open printable article βπSMS ya kumsihi mpenzi wako asiende kwa mwingine
Nakupenda sana mwandani wangu ndiyo maana moyo wanguhupatwa kidonda ninaokuona na mwingine hasa anapokuwa hanasifa, nahisi kama anakutumia wewe kama mdori wake wakumfurahisha. Uwe makini ua la moyo wangu.
Open printable article β