πSMS ya kumwambia mpenzi wako kuwa unampenda kweli
Ukweli lazima nikwambiye kwa kuwa sina kimbilio nakupenda kijana mwenzio sijui kwanini hutaki kukisikia changu kilio, namwomba Mungu kila kukicha usikiye changu kilio, nakupenda na kama kukueleza hili nakukosea nisamehe kwani si langu kusudio,luv u mwaah.
Open printable article βπUjumbe kwa mpenzi kumuonyesha unavyompenda
Mapenz hayana msimu walam majira isipokuwa ni kama majani yaotayo popote kwani siyo mimi ni msukumo na hisia zangu. Nakupenda sana
Open printable article βπSMS kali ya kimahaba ya kumtumia mpenzi wako kumwambia alivyokuteka moyo na akili zako
Mpenzi wangu kukutana nawe ilikuwa ni bahati, kukuchagua kuwa rafiki yangu ilikuwa ni maamuzi yangu, lakini kuanguka kwenye penzi lako haikuwa hiyari yangu. Umeniteka moyo na akili yangu pia.
Open printable article βπSMS nzuri ya kumwambia mpenzi wako akuache umpende tuu
Utamu wako ni zaidi ya asali, ni wa asili usiohitaji kuongezewa ladha ya sukari, nitaumiss endapo kama ukiwa mbali "NIACHE NIKUPENDE SWEET"
Open printable article βπUjumbe mzuri wa kumwambia mpenzi wako kwamba hufikirii kumsaliti
Wewe ni wapekee ninaekupenda, sifikirii kukusaliti na wala sina wazo la kukutenda, nakuomba tuendelee kupendana siku zote habbity wangu
Open printable article βπUjumbe wa kimapenzi kumwambia umpendaye kuwa hutomsahau na kumuomba asikusahau
Kukusahau wewe ni ngumu lakini kunisahau mimi ni juu yako.Usinisahau kamwe, unaweza kuisahau meseji hii, lakini simtumaji.
Open printable article βπUjumbe wa kimahaba kumuomba mpenzi wako asichoke kuwasiliana na wewe kwa kutumia simu
Simu huboa wakati mwingine, kwani ni lazima ufungue mesejina kuzisoma, kuichaji simu kila mara, lakini usichokekwani ndiyo inayotuwezesha tuwasiliane
Open printable article βπUjumbe mzuri wa kimapenzi wa kumwambia mpenzi mapenzi huanza na wewe na yeye
Maneno huanza na ABC. Namba 123. Muziki na do re mi namapenzi huanza na mimi na wewe.
Open printable article βπUjumbe wa kimahaba kumwambia mpenzi wako kuwa mnafiti kuwa pamoja
Mvua na jua haviwezi kuwa pamoja, usiku na mchanahazigongani, lakini mimi na wewe, hata wasemaje,βtunafitiβ kuwa pamoja.
Open printable article βπSMS ya mapenzi ya mahaba kwa mpenzi wako aliyeko mbali
Kuna bahari kati yetu. Misitu na milima inatutenganisha,mimi si βSupamaniβ lakini nipe sekunde moja nitavuka nchinyingi kukutumia mapenzi yangu. Umeipata hiyo? Pokea mapenzi yangu japo uko mbali.
Open printable article βπSMS kali sana yenye ujumbe wa kimahaba kwa mpenzi wako
Natamani ningekuwa chozi jichoni mwako ambapo ningetelemkana kuishia midomoni mwako, lakini kamwe sitamani uwe chozijichoni mwangu nitakupoteza kila muda niliapo.
Open printable article βπUjumbe wa kimahaba wa kumtumia mpenzi wako kumwambia anayo sehemu yake ya kukaa kwenye moyo wako
Naweza kuishiwa ujumbe wa kukutumia. Naweza kuishiwa utanipia. Naweza kuishiwa chaji lakini moyo wangu hauwezikukosa nafasi ya kukuweka.
Open printable article βπUjumbe mzuri wa kimapenzi wa kumwambia mpenzi mapenzi huanza na wewe na yeye
Maneno huanza na ABC. Namba 123. Muziki na do re mi namapenzi huanza na mimi na wewe.
Open printable article βπUjumbe wa kimapenzi kumwambia mpenzi wako kuwa umelipata penzi ambalo ndio kutoka kwake tuu
Penzi, maisha yangu yote nimesoma juu ya neno hili,nimeota juu yake, nimelilia, nimelihitaji. Sasa pamojanawe nimelipata.
Open printable article βπSMS ya ujumbe wa kimahaba wa kifumbo kwa mpenzi wako
Kila mtu anataka kuwa jua linalongβarisha maisha yako,lakini ni afadhali niwe mwezi, ili nikuangazie wakati wagiza ambapo jua limechwea na haliangazi tena.
Open printable article β