Meseji ya kumsifia mpenzi wako kuwa ni mzuri
Swt ulivyoumbika wengi wanateseka juu yako ,najuawanakusumbua ni vema usiwakubalie, ukweli umebarikiwauzuri umeshushiwa na dhati ya penzi umetunukiwa nakupenda
Open printable article βFind an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.
Swt ulivyoumbika wengi wanateseka juu yako ,najuawanakusumbua ni vema usiwakubalie, ukweli umebarikiwauzuri umeshushiwa na dhati ya penzi umetunukiwa nakupenda
Open printable article βnakupenda sana mpenzi wangu ,we ndo wa pekee mwenye kujuafuraha ya moyo wangu nikiwa na majonzi huwa upo karibunami,nikiwa na furaha huja kushea nami,ahsante wangutabibu ,we ndo wangu wa manani.
Open printable article βewe kwangu ni kila kitu,sipendi kuyaona machozi yako mpenzi wangu!Sogea nikufute na unirudishe tena mikononi mwako,nakupenda sana dear!
Open printable article βmoyo wangu saafi kama upole wa tausi wingi wa baridi kama maji ya mtungi ,yote ni kutokana na mapenzi unayonipatia. ASANTE KWA KUNIPENDA MPENZI
Open printable article βNitafute wakati una huzuni, nitafute wakati hamna wakukusikiliza. Sijali kama mimi ni kimbilio lako la mwisho,bali sipendi ulie peke yako.
Open printable article βSalamu yako ni nusu ya uhai wangu, kuikosa nisawa na kuidhulumu nafsi yangu, kuipata nisawa na ua ridi machoni mwangu, nakila ninapoipata huwa najisikia faraja moyoni mwangu, Nakupenda sana Muhibu wangu.
Open printable article βpongezi kwako mpenzi kuwa wangu mtetezi kwenye jahazi lamapenzi,ufundi na ujuzi unao hasa tuwapo wawilichumbani.penzi lako halichakai daima huzaliwa upya.
Open printable article βnalia ukiwa mbali, nachukia nisipo kuona ,najuta ninapokuudhi ,naumia unapo nitenga , nateseka ukiwa kimya,nafurahi ukinikumbuka, nakupnda mpz
Open printable article βTambua kuwa nakujaliFurahia kwamba nitakuwa na weweKatika siku zote za maisha yanguNitakupenda bila kikomo milele
Open printable article βnatamani usaini moyoni mwang,ikiwezekana pia upige muhuri moyoni mwangu wajue nan mmiliki wa huo moyo wenye shibe upendo kwaajili yako mpenzi
Open printable article βchekecho la huba ,toka uvunguni mwa moyo wangunavika moyo wako taji la upendo,na kupulizia marashi ya hubaa ,usimpe mwingine mi ndiye ninayejua kulea.
Open printable article βHata kama nitajidanganya kwamba sikupendi, moyo wangu umeganda kwako na hakuna dalili za kukuacha, wewe ni wangu peke yako dearβ¦
Open printable article βtunda langu laangaliwa hawajui nilipoli chuma,utamu wake maridhawa,hakika utalipenda.si mpi tunda langu mwingine na lila mwenyewe.
Open printable article βMaji hunitosha nisikiapo kiu, chakula hinitosha nisikiapo njaa, lakini wewe hunifaa kwa kila kitu!
Open printable article βMoyo wangu kwako hautavunjika kamwe. Tabasamu langu kwako halitafutika kamwe. Penzi langu kwako halitaisha kamwe. Nakupenda!
Open printable article β