PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

1000+ Vichekesho vipya: Vichekesho vya AckySHINE Β· 452

πŸ“„

Njia 3 rahisi za kuondoa kitambi

JE, una KITAMBI na unataka kukiondoa?FANYA HAYA;1. Kopa mkopo mkubwa benki2. Nunua gari bovu la biashara3.Oana na mke mwenye kelele.Ukiona miezi mitatu hakijaisha basi ujue umevimba BANDAMA sio kitambi..

Open printable article β†’
πŸ“„

Utani wa wahindi, cheka kidogo

Mhindi afaulu mtihani wa Kiswahili(1) Mfa maji ?……………….. Tampa life jacket.(2) Mwenda pole?………… Tachelewa fika.(3) Usipoziba ufa ?……….. Mizi taona mpaka dani.(4) Usilolijua ?……………… Uliza google.(5) Mbio za utelezini ?……. Chafua guo yako.(6) Ukipenda boga ?……… Ngoja mezi ya ramzani tapata.(7) Ukiona …

Open printable article β†’
πŸ“„

Ungekua wewe ni mwalimu ungemshauri nini huyu mwanafunzi?

Mwalimu aliingia darasani na kuwauliza wanafunzi juu ya ndoto zao za baadae.MWAL: John we unataka ukiwa mkubwa uwe nani?JOHN: Nataka niwe daktari wa moyo niwasaidie watanzania wanaougua magonjwa ya moyo.MWAL: vizuri. Na wewe Rose unataka kuwa nani?ROSE: Nataka kuwa rubani, niweze kusaidia watu wanap…

Open printable article β†’
πŸ“„

Misemo ya kina dada

Misemo ya kina dadawalianza na halohalooo!Wakaja unalo babu weee!Ikafuata utajijuuu!Ikafupishwa utajiJJ!Mara ghafla kantangazeee!Haikukaa sana kansajiriii!Ikatoka nyingine nishiiiiida!Unaijua iliyotoka Leo?Heh! Heh! Heeeh! MB zenyewe 8 nikudownload unanini?

Open printable article β†’
πŸ“„

Unakumbuka hizi enzi za utoto?

Kitambo tukiwa watoto ulikuwa unaitwa uje ule kwa lugha tofauti kulingana na chakula kilichopikwa siku na muda husika1. UGALI NA KUNDEMwitaji : πŸ—£JoniiiiiMwitikiaji : EeehMwitaji : Uje ukule2. UGALI NA SAMAKIMwitaji: πŸ—£ we JoniiiiMwitikiaji : EeehMwitaji : Unaitwa na Mama3. WALI NA NYAMA/KUKUMwitaji: …

Open printable article β†’
πŸ“„

Kilichotokea kati ya mkaka na mdada walipokutana hotelini

Mkaka aliingia kwenye hoteli moja akaketi meza moja na mdada mrembo maarufu sana;
MKAKA: Samahani dada sijui saa ngapi?
MDADA: Nani kakwambia saa yangu ndio ya kuangalia kila mtu?

Open printable article β†’
πŸ“„

Misemo 10 bora ya kuchekesha itakayokuacha mdomo wazi

1. Mwanaume hata awe bahili vipi, hawezi kumpa mwanamke mimba nusu. 2. Hata uwe na magari mangapi chooni utaenda kwa miguu. 3. Kama ubinadamu kazi mbona hatupewi mishahara? 4. Ukichanganya wali na choroko unapata mseto, lakini hautibu malaria. 5. Hata njiwa nae ana makinda, lakini hawezi kuwa spika …

Open printable article β†’
πŸ“„

Huyu bibi kweli kiboko, cheki alichofanya akiwa na babu

Bibi na Babu walisafiri wakielekea kwa mtoto wao ambae hawajamuona zamani. Walipofika njiani wakawa wamechoka Sanaa. Wakaamua kutafuta hotel ili walale. Wakakubaliana walale kwa masaa 4. Wakalala, Walipoamka, mfanyakazi wa Hotel akawatoza Tsh. 500,000/= Wale wazee wakashangaa hata kama ni hotel ya k…

Open printable article β†’
πŸ“„

Askari na yeye kumbe muoga, cheki anachomjibu afande

Askari wametumwa nyumba iliyokuwa kuna ugomvi wakafika wakatakiwa kuripoti kwa njia ya simu juu ya walichokikuta ASKARI: Mkuu tumekuta mama mwenye nyumba kampiga mumewe chuma cha kichwa na kumuumiza vibaya sanaa

Open printable article β†’
πŸ“„

Huyu jamaa kawaweza polisi watatu, cheki alichowaambia

Polisi::: hodi, hodi Jamaa::: kimya Polisi::: hodi, hodi Jamaa::: we nani kwani? Polisi::: sisi polisi Jamaa::: mnataka nini?

Open printable article β†’
πŸ“„

Angalia haya maswali ya huyu mtoto yalivyomagumu, ndio maana wazee wetu walikua wanatudanganya

Mtoto: Mama, hivi kabla hujanizaa uliniona!? Mama: Hapana mwanangu sijakuona.

Open printable article β†’
πŸ“„

Huyu jamaa bonge la bwege, ungekua wewe ndiyo rafiki ake ungemwambiaje?

RAFIKI: Vipi mbona leo huna uchangamfu JAMAA: Wanawake bwana, mwanamke hata umpendeje atakugeuka tu RAFIKI: Nini tena ndugu yangu? Mbona shemeji mtu fresh sana JAMAA: Hata mimi nilikuwa najua hivyo, leo nimegundua kumbe ana siri kubwa sana ananificha, mi naita huu ni usaliti wa ndoa.

Open printable article β†’
πŸ“„

Ufugaji wa nguruwe kazi, Cheki jamaa hawa wake walivyompa mtihani

MWANAHARAKATI: Hawa nguruwe unawalishanini? . MFUGAJI: Nawalisha mabaki ya chakula toka migahawa mbalimbali . MWANAHARAKATI: Hayo ni makosa unawatesawanyama kwa kuwalisha chakula kichafu. Akapigwa faini… Baada ya siku chache wakaja wanaharakati toka Umoja wa Mataifa

Open printable article β†’
πŸ“„

Soma hii, kama wewe ndio mzazi wa huyu msichana ungefanyaje?

Wewe ni mzazi mwanao anasoma kidato cha tatu mkoani umemsafirisha leo kwenda shule baada ya masaa matano ukasikia gari alilo panda mwanao limepata ajali wamekufa watu wote upo ktk harakati za kuandaa msiba,

Open printable article β†’
πŸ“„

Mkwe kazua mpya, Hii dunia ina mambo sana

Mama mkwe alimuuliza mkwewe "binti" samahani mbona mtoto hajafanana na mwanangu kabisa?

Binti akajibu, "bila samahani mama huku chini nina njia ya uzazi sio mashine ya photocopy"

Open printable article β†’