๐Ulishawahi kupenda kwa namna hii??!!
Ushawai kumpenda dem na kumfia mazima kiasi kwmb anakwambia ye ana msela lkn we huelewi..unamkazia!!Inabidi dem asisitize,"I HAVE ONLY ONE HEART,PLZ, I CANT LOVE TWO MEN"Nawewe unaona haiwezekan,unamwambia 'NIPENDE ATA NA KIDNEY'๐๐๐๐๐๐๐๐
Open printable article โ๐Breaking news
Breaking news ๐ฅWatu wasiojulikana wamevamia jengo lisilojulikana naKufanya tukio lisilo julikana na kukimbilia๐๐ฟ kusiko julikana na mpaka sasa hakuna kinachojulikana na mimi sijui ninachosema ๐๐
Open printable article โ๐KICHEKESHO: Ajira ngumu!! Cheki hawa walivyoamua kujiajiri
Jamaa mmoja alienda kuomba kazi Mbuga ya Wanyama, akaambiwa nafasi ya Kazi ipo ila hakuna Sokwe, "hivyo utajifanya Sokwe na tutakupa ngozi utavaa"Jamaa siku ya kwanza akavaa, walipokuja watalii mambo yalienda vizuri, Siku iliyofuata Banda lake liliwekwa juu ya Banda la Simba, Jamaa ktk kuongeza mbweโฆ
Open printable article โ๐Cheki kilichompata huyu dada!!
NDOA inafungwa KANISANI Mchungaji akauliza-Yeyote mwenye Pingamizi La Ndoa hii kufungwa aje Mbele, +++ KIBABU kikasimama na kwenda Mbele,Bi harusi akaanguka na akazimia ghafla!๐ญ๐ญ๐ญMchungaji- Tuambie Babu Pingamizi Lako!Babu-Nimeamua kuja mbele,kule nyuma sisikii vizuri! watu hoiiii!!hata mimi hoiโฆ๐๐๐โฆ
Open printable article โ๐SOMA HII: Kama wewe ndo baba au mama hapa ungefanyaje!???
Bakari ni house boy mara nyingi huiba wine ya boss wake na kisha kuongeza maji kwenye chupa ili boss asigundue. Mara kadhaa boss alihisi ladha tofauti anapokunywa wine hivyo kuhisi kuna mchezo mchafu alihisi tu Bakari anahusika. Ilikua ni bahati tu alimvizia na kumbamba Bakari akichakachua wine, kwaโฆ
Open printable article โ๐Mvua zazua kasheshe! Soma hii..
Baba- : Halloo mke wangu.. yaani ni shida sitaweza kurudi nyumban, daraja limevunjika na kutoka morogoro kurudi dar haiwezekaniMAMA:- Mme wangu morogoro ulienda bila kuniaga! ?BABA:- Ilikuwa ni ghafla sana mke wangu sikuweza kukwambiaMAMA:- kha! Sasa watoto nani atawaangaliaBABA:- Unasemaje! We uko โฆ
Open printable article โ๐Sasa Hawa wadada Wapo in Relationship Na Nan!!??
Asilimia 76% Ya Wasichana Kila Ukiwatongoza Wanakwambia Wapo In relationship SAWA ATUKATAIโฆAsilimia 98% Ya Mamen Wapo SINGLEโฆ HAPA NDIPO HESABU ZANGU ZINAFELI..Sasa Hawa wadada Wapo in Relationship Na Nan!?.
Open printable article โ๐Stori za simu za wavulana na wasichana
STORY ZA WASICHANA KTK SIMMaryโฆ Hallow mpenziiLilyโฆ. Niambie my dearMary..Pouwaa za siku jamaniLilyโฆNzuri rafiki Yangu wa damuMaryโฆJioni nakuja kwako tule Nakunywa japo wine wanguuLilyโฆNakusubiri kwa hamuumpenziiiiBAADA YA KUKATA SIMUโฆKILAMMOJA ANAWAZALilyโฆHuyu mchawi wa kike Leoanataka kuja kwangu โฆ
Open printable article โ๐Hii sasa kali kweli kweli!!
MCHUNGAJI alitangaza kila mwanaume aliye na mke atoe sadaka kulingana na uzuri wa mke wakeโฆbac watu wakaanza kutoa 50,000/= 30,000/= na 20,000/=.Kuna jamaa akatoa 500/=.MCHUNGAJI akamuita ofisin akamuuliza.MCHUNGAJI:Ina maana mkeo siyo mzuri?. Jamaa akajibu: Ukimuona utanirudishia na chenji.๐๐๐๐๐๐๐๐โฆ
Open printable article โ๐Angalia hawa machizi walichokisema baada ya kuona ndege angani
Machizi wamekaa sehemu mara ghafla ikapita ndege angani.Chizi wa kwanza akasema:ndege ile itakua imembeba raisi. Chizi mwenzie akajibu:hapana imebeba wazungu kama ingembeba raisi tungeona pikipiki zimetangulia mbeleโฆda!balaaa
Open printable article โ๐Unakumbuka hizi Sheria zetu za mpira utotoni?
1.Mwenye mpira Lazima acheze ata kama hajui mpira2.Dogo mnene Lazima awe golikipa3.Mwenye mpira ataamua nan acheze na nan asicheze 4.kama haujashiriki kufuma mpira unaweza ucpate namba5.Ukichaguliwa mwishon ujue uwezo wako ni mdogo kuliko wote6.Mwenye mpira akikaclika mpira umeisha7.Inaruhusiwa kubaโฆ
Open printable article โ๐Kilichotokea kwa binti na mvulana wake walipotaitishwa na baba yake msichana
Msichana alikuwa amekaa na baba yake kibarazani, mara akamuona MVULANAfriend wake akija, yule mvulana alipokaribia tu, yule msichana akamwambai:
MSICHANA: Umekuja kuchukua kile kitabu chako, kinachoitwa "DADDY IS AT HOME?" by Ngozi Okafor
Open printable article โ๐Soma hii, Nani haelewi kati ya hawa?
Dogo: Bro naomba nitumie hela.
Bro: Tumia tu mpaka uchoke.
Dogo: Hujanielewa,nitumie hela.
Open printable article โ๐Huyu bwana leo kapatikana, Jamani nyodo nyingine mbaya
Baada ya kumaliza Degree yake ya sheria Bwana Rwegashora aliamua kurudi nyumbani Bukoba mjini na kufungua ofisi yake kwa ajili ya huduma kwa wateja.
Siku moja akiwa ndani ya ofisi yake alimuona mtanashati na mdada mmoja mrembo anakuja ofisini kwake akajua ni mteja anamletea kesi.
Ndipo akanyanyua mkoni wa wa simu ya TTCL na kuanza kuongea huku anajizunguusha kwenye kiti cha kuzunguuka.
Open printable article โ๐Wachaga wana mambo mbele ya hela, angalia hii bili ilivyomchanganya MASSAWE
MASSAWE alienda na marafiki zake bar kunywa, baada ya kumaliza kutumia akaletewa bili kama ifuatavyo:
Manka 35,000
Marieta 20,000
Kekuu 30,000
Kitime 15,000
Open printable article โ