PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

📗📘📙ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

1000+ Vichekesho vipya: Vichekesho vya AckySHINE · 452

📄

Wasichana wa leo

Jamaa yupo ndani ya Range rover yake mpya na msichana ambaye ni mpenzi wake.#Jamaa: kuna siri flani nimeitunza moyoni mwangu kwa muda mrefu na nikaona kama nitakuambia lazima utaniacha.#Msichana: siri gani hiyo mpenzi wangu?#Jamaaa: nimeoa.#Msichanaa: Hɛɛɛɛɛɛɛɛ! We umenishtua sana,mm nilifikiri hili…

Open printable article →
📄

Bongo usanii mwingi!!!

BONGO USANII UMEZIDI DAAH!!…yani nakupeleka dinner unakula sana vipaja vya kuku na chips yai halafu nakupeleka bar unakunywa sana tu, tukitoka hapo nakupeleka club, Masaa yote hayo hakumbuki kuniambia upo periods hadi mdaa wakwenda kulala ndo beiby nipo kwenye siku zangu!! jamani jamani… Hapo ndo un…

Open printable article →
📄

Kichekesho cha mke wa mvuvi

CHEKA KIDOGOMVUVI MASKINI NA MKEWE MALAYA.Mvuvi mmoja alikua akiishi na mke wake hukuakiwa hajui kama mkewe malaya,Leo hii kamuaga mkewe baada ya kuondkamkewe akaanza kuingiza wanaume kamakawaidaHawara 1;nakupendaMke Wa Mvuvi;oke, Nipe Penz Haraka KablaMume wngu hajarudi.Hawara 1;oke!Basi picha lika…

Open printable article →
📄

Angalia huyu dada alivyoumbuka, Duh! Alijua haoni!!!

Dem anatoka kuoga akiwa na kanga moja tu anaskia hodi,kufungua mlango akakuta ni jirani yake frank ambaye ni kipofu, akamkaribisha ndani akakaa, dem kavua ile kanga akabaki uchi akainama akaanza kujipaka mafuta akijua frank hamuoni na mazungumzo yakawa ni Haya..DEM: VIPI FRANK MBONA UMEPOTEA YAANI H…

Open printable article →
📄

Soma alichojibiwa huyu mzee baada ya kudai kutaka kumsikiliza Nyerere

Mzee: Dereva ongeza sauti tumsikilize Mwalimu Nyerere!!Dereva: ungemsikiliza mwalimu wako miaka iyo saivi ungekua na gari yako😅😅😅😅😅😅😅😅😅

Open printable article →
📄

Utoto raha..! Angalia hawa watoto wanachokifanya sasa

Leo nimepulizia Air Fresh yenye Harufu ya Pilau nyumbani kwangu sasa watoto wa Jirani wamehamia Mlangoni kwangu ndio wanacheza hapo. Kila nikitoka wananisalimia. Mama yao ndio kanimaliza kabisa nimetoka akaniambia"Kumbe wewe ni Mpishi mzuri, Hongera"Imebidi nisirudi nyumbani maana wale watoto wanawe…

Open printable article →
📄

Kauli 10 mbaya za walimu darasani, unakumbuka ipi hapa?

1:Mkimaliza kuongea niambieni niendelee kufundisha2:Baba yako kauza ng'ombe ili alete ng'ombe mwingine shule3:Kama unajua kuliko mimi njoo ufundishe wewe4:Ulikuja peke yako na utaondoka peke yako5:Hata msiponisikiliza mshahara wangu uko pale pale6:Baba yako anahangaika kulipa ada wewe unafanya utumb…

Open printable article →
📄

Angalia hawa kina mama, ni shida..!

Mama mdaku alishangaa kila siku mchungaji anaingia nyumba ya jirani yake ambaye hana mume, akawa anajiuliza anakwenda kufanya nini? Uzalendo ukamshinda akamuuliza "Mwenzangu, mbona kila siku mchungaji anakuja kwako, vipi anakuja kukuombea?" Akajibiwa "Nyoo, umbea tu! Mbona kwako kila siku anakuja mw…

Open printable article →
📄

Kuna watu makauzu ila huyu kazidi.. Soma hii!

Kakubaliana vizuri na msichana fulani hivi kuwa aibuke gheto, mchizi kajipanga vizuri kabisa…. mara saa nne hivi mdada kasema hana nauli.Mshkaji kajikunja kamtumia Elfu tano maana mwenye shida alikuwa ni yeye……Baada ya nusu saa yule dada akamtumia meseji."Jamani mpenzi, kumbe baba hatoki nilijua ata…

Open printable article →
📄

Angalia mchezo wa kutuma message mara zikubali mara zikatae.. Lilishakukuta hili???

GARLFREND»»hellow sweetheartBOYFREND»»hellow darling(SENDING FAILED)GARLFREND»»kwanin hutaki kujibu sms yangu,au huna mda»??BOYFREND»>najitahid kukujibu lakin mtandao unasumbua,imefika??(SENDING FAILED)GARLFREND»»kama hunipend bhas usinijbu,kama unanipenda kwel bhas nijibuBOYFREND»»i love you (SENDI…

Open printable article →
📄

Haya mapenzi jamani! Umewah kumpenda kwa kihivi??

Sijui Kama ushawai fall in love ile haswaa..yani unampenda mtoto hadi akikupigia ile sauti ilivo tamu unajiskia kutafuna na kuimeza hiyo simuAkikuita tu "my love"unajiskia tu kuvua nguo mwenywe..hicho kiupendo ukiwa nae unajskia unaweza piga wanaume 8 kwa pamojaYani ile love mtashinda pamoja kutwa n…

Open printable article →
📄

Huyu kashauzwa!! Angalia kilichomkuta sasa

Jamaa alionekana Mnyooooonge sana ikabidi mpita njia amuulize…Kaka, mbona u mnyonge hivyo?"Jamaa : 'aaaaah we niache tu, kuna rafiki yangu nimemkopesha laki tano akafanye PLASTIC SURGERY ya uso, Mwanaharamu sasa nashindwa kumtambua!!!😂😂😂😂😂😂

Open printable article →
📄

Ndege ya Tanzania

Kuna maprofesa 40 walipanda AIR TANZANIA ili wasafari. Kabla ndege haijaanza kuondoka, Lilipita tangazo kama ifuatavyo:Ndugu wasafiri wote, ndege unayotarajia kusafiri nayo imetengenezwa na wanafunzi wa Kitanzania.Baada ya tangazo maprofesa wote waliteremka isipokuwa mmoja alibaki kwenye kiti chakeW…

Open printable article →
📄

Safari ni safari

FUNDISHO : SAFARI NI SAFARIMaisha ni ya ajabu sana, wakati mwingine maisha ni mazuri na mwingine ni mabaya, katika maisha yetu tumeshapitia safari nyingi sana na za aina mbalimbali kwa nyakati mbalimbali. Lakin kiukweli kila safari ni safari tuu.Japokua kila safari ina changamoto zake lakini mwisho …

Open printable article →
📄

Cheka kidogo, angalia anachosema huyu mchaga

Mchaga baada ya kufa akaulizwa na malaika anayetoa roho: Mangi hapa ni njiapanda kulia ni Mbinguni na kushoto ni Jehanamu, Je unachagua kwenda wapi?MANGI: Bwashee, mi nabaki hapa hapa njiapanda aisee.MALAIKA: Kwa nini?MANGI: Aisee, nikifungua duka hapa si nitapata wateja wa Mbinguni na Jehanam. Yani…

Open printable article →