Ukimuona mbwa kwenye harusi hii ndiyo maana yake
Hili nalo neneo.Ukimuona mbwaπΆ harusini usimpige mawe wala kumfukuza inawezekana kilichomleta pale ndicho kilichokupeleka na wewe hapo
Open printable article βFind an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.
Hili nalo neneo.Ukimuona mbwaπΆ harusini usimpige mawe wala kumfukuza inawezekana kilichomleta pale ndicho kilichokupeleka na wewe hapo
Open printable article βMTOTO: Hivi Baba wewe umezaliwa wapi?????BABA: MbeyaMTOTO: Mama nae kazaliwa wapi????BABA: TangaMTOTO: Mimi jee?????BABA: DarMTOTO: Sasa tulikutanaje????ππ hapo wee kama baba ungemjibuje mwanaoπ³π³π³
Open printable article βFanya hiviUkitaka mwanaume akusaidie kazi jikoni mwambie "NAOMBA CM YAKO NIWASHE TOCHI TAA IMEUNGUA"atakusaidia kumulika mpaka unamaliza kazi zako zooteπ
Open printable article βSiku hizi kudekezwa na kupetiwa petiwa tunawaachia matajiriHakuna mwanamke yupo tayar kulalia kifua cha maskini ambacho moyo unadundaDeni,, Deni,Deni, Deni .π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£πΆπ½ββ
Open printable article βDuh! MaishaIle time unawaza baba angekua MO DWEJI baba ako na ye anawaza mwanangu angekua MBWANA SAMMATANi shetani tu anajaribu kucheza na akili zenuππππ
Open printable article βMzee mmoja alipanda Gari Stend;Wakati wa kugombania Siti,Akaibiwa Nauli.Akasimama katikati ya Gari-Akasema; "Jamani Naomba Aliyeniibia Pesa yangu Arudishe Haraka,Tena Fasta kabla Sijafanya Tukio kama Nililofanya 1977"Abiria kuskia hivyo wakaogopa.Ikabidi Mwizi Ajitokeze,Akarudisha Pesa na Kuomba Msaβ¦
Open printable article βHiki ndiyo kifo.KIFO NI NINI..Kifo ni pale girlfriend wako anapofanya fujo Club akiwatukana MABAUSA Huku akisema"BABY WANGU HATA HAWAOGOPI"ππππ
Open printable article βHapa ni shidaKUKUTA NYWELE KWENYE CHAKULA SIO TATIZO,TATIZO NI KUWAZA ITAKUWA IMETOKA SEHEMU GANIπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Open printable article βHakuna Kitu Kilikua Kinaniumizaga Kipindi Nipo Shuleni.Time Mmetoka Kwenye Mitihani Wa Mathematics Halafu Mpo Kikundi Fulani Either Mnarudi Nyumbani Au Mnapumzika Kwa Ajili Ya Next Exam.Unasikia Jamaa Wanabishana Pale Jibu Lilikua 4 Mwingine Anasema 5, Na Wewe Ulijaza 80.
Open printable article βKuoa vijijini raha sana Hata ukiulizwa unafanya kazi gani ukiwaambia mimi ni admin basi daaaah wanaona wewe ni bonge la bossππππππππππππππππππππ
Open printable article βMatatizo ni nini???`Matatizo ni pale unapokuwa umefika ukweni usiku na haja kubwa ikakubana na hukuwa unajua choo kilipo, ukatoka nje na kujisaidia kwenye majani kumbe ni mboga asubuhi ukasikia mama mkwe anasema kuna mjinga kajisaidia kwenye mboga na kaangusha pochi yake hapohapo haa! Vile unajisachβ¦
Open printable article βNdoto zingine bwana usiombe zikupateMimi usiku wa kuamkia Leo nikiwa nimelala nimeota naendesha gari Yangu aina ya BMW mpya Mara gafla ikakwama kwenye tope .hivyo ikabidi nishuke ili kuisukuma loh! Yani kudadeki ile kuamka nikakuta nimesukuma kitanda hadi sebleni Daaa ilinisikitisha sana jiangalie sβ¦
Open printable article β{ NGOMA DROO}Sikuizi utawasikia wadada wakisema kuachwa na mwanaume asie na pesa nisawa na kuluhusiwa hospital{Sasa na sisi} wanaume tunasemaKuachwa na demu mpenda pesa nisawa na kumaliza mkopo benk ππππππWanaume atutakagi ujinga!!!! Wanaume heeeeeeππΎββππΎββππΎββππΎββ
Open printable article βMapenzi ni balaaMapenzi ujue yanawez kukupa stress adi mama ako akikuuliz what's wrongπ€-βunawez kumjib MAMA WE BADO MDOGO UWEZ ELEWπ€£π€£π€£
Open printable article βHAHAHAHAHAAAAAA DUH TAMAA MBAYAMuokota makopo katika uokotaji wake wa makopo akaona chupa ambayo ndani kuna ki2, alipoifungua likatoka jitu la ajabu. Huku akitetemeka lile jitu likamwambia kijana asante sana kwa kuniokoa omba vi2 viwili sasa hivi. Kijana kwa hofu akaomba pesa za kumiliki magari na mβ¦
Open printable article β