πNilichomfanyia huyu aliyenizingua nilipomuazimisha pasi
ππππππJana nimeenda kuazima pasi chumba jirani, ili ninyooshe nguo zangu, Jamaa wakaniambia nichukue nguo nikanyooshe room kwao maana hawataki pasi yao itoke.Sasa leo amekuja mmoja wao kuazima mopper akasafishe room, nimemwambia aje adekie humu humuβ¦Jamaa ameondoka nadhani atakua ameenda kuchukua maβ¦
Open printable article βπMke anamwambia mme wake kuwa angetamani mme wake awe tajiri cheki alichojibiwa
Mke; mme wangu ungekuwa tajiri ningefurahiMimi; kwa nini?Mke; ungekuta na sisi tuna gari nzuri hatutembeu kwa mguuMimi; ah wap,unadhani ningekuwa tajiri ningekuwa na wewe?ungekuta natoka na kina wema,zariβ¦πππnaona anakusanya nguo zake itakuwa anaenda kufua
Open printable article βπCheki nilichomfanyia boss wangu
Bosi wangu karudi safari yake kutoka serengeti..! Si akanitumia picha, lakini ilikuwa network yenyewe tabu.. kwahio picha haikufunguka na kwa vile niliona itachelewa kufunguka na ataona sikumjibu basi nami..Nikampelekea msg nikamuandikia umependeza saana bosi mashaallahβ¦!!sasa baada tu ya kumfika msβ¦
Open printable article βπHuu mchezo hautaki makeup
Mama mwenye nyumba anajipodoa anashinda saloon kujipodoa lakini house girl hata mafuta usoni hapaki lakini akipita na khanga yake moja tuu nyumba inatetemekaππππππππππππππ huu mchezo hautaki mekapu
Open printable article βπUsichokijua kuhusu sungura, panya na jamii yao
JE WAJUA?Sungura, panya na Jamii zao huwa na mwendo wa kukimbia na kuruka muda wote na umri wao wa kuishi ni miaka 15. Kobe ni mnyama mwenda pole, asiye na papara wala pilika, muda mwingi hujificha na kupumzika ndani ya jumba lake akikwepa maadui. Umri wa kuishi kobe hufikia hadi miaka 300.FUNZO: Maβ¦
Open printable article βπIkitokea hii kwenye chumba cha mtihani
Upo kwenye chumba cha mtihani,maswalii yamekupiga kinyamaUnaamua kuchukua smartphone ugoogle kisha ucopy na kupaste kwenye booklet yako,Ghagfla lecturer aningia na wewe kwa woga wako unaficha calculator na kuweka simu mezani,Hapo ndo utajua shetani naye alikua anasimamia paper.πππππ
Open printable article βπAngalia nilivyoingizwa mjini na ujanja wangu wote
Ndio nilikuwa nimeshuka kwenye basi la SAI BABA pale Ubungo, nina Begi kubwa Mgongoni na begi Dogo la Lap Top mkononi, sura inatazama Mbele Very Serious kama nipo kwenye Gwaride la Uhuru!..Mabega juu yanafanya Cheers na Mawingu!, natembea kwa madoidoβ¦..leo nimetoka Likizo Moshi,"Brother Simu ya ukweβ¦
Open printable article βπChezea paka wewe, Angalia kilichomkuta huyu na paka wake
Jamaa alichukua paka wake na kwenda kumtupambal,aliporudi nyumban alimkuta pakaamekwisharudi,jamaa alikasirika sana.Siku ya 2akamchukua na kwenda naye zaid ya kilometa 50akapiga chochoro za kutosha kishaakamtupa,akaanza safar ya kurud nyumbanbaada ya muda akampigia cm mkewe.Vp mkewangu huyo paka yupβ¦
Open printable article βπAngalia Kiingereza kilivyoniponza
Shikamoo kingereza..!Baada ya kufika Kempiski nikaona menu imeandikwa:Sauteed white corn, rare lucy beans, garnished with rift potatoes & topped with organic unprocessed guacamole!Price: TSH 44,000/=Nikaagiza!Nilipoletewa ndio nagundua kwamba: ni makande na parachichi ..π€hapo ndo unagundua mwalimu wβ¦
Open printable article βπHuyu Jamaa kawaweza polisi kweli
Et jamaa kawekwa jela kwa kosa la kupoteza mamiilion.ya kampun akiwa gerezan babayake alituma baruaIkisema yan.mwanangu tumapata shida maana shamba halijalimwa na jatujii litalimwaje na msimu ndio huo nataman.ungekuwepo ningepata msaada wa kulimiwa hili shambaYule kijana alijibu tafadhal baba usilimβ¦
Open printable article βπNilichokifanya jana baada ya kushuka kwenye basi Ubungo
Jana nateremka kwenye BASI UBUNGO nataka nichukue TEKSI hadi KIMARA naambiwa sh.15,000/=.Wakati niponatafakari hiyo bei, nikasikia "Moro, Moro,Morogoro sh.6,000/="Nikaamua nipande niende zangu MOROGORO.Kwenda na kurudi sh.12,000/=.Wakati wa kurudi nikamwmbia KONDA aniteremshe KIMARA.SIPENDAGI UJINGAβ¦
Open printable article βπKilichompata huyu anayependa kusoma SMS za watu kwenye daladala
Jana nilipanda daladala nikapata seat nikaketi, nikawa nimejiachia ninachati kwenye simu yangu(Smart phone), kukawa na jamaa kasimama pembeni yangu, ye hakupata seat. Sasa akawa anasoma message zangu bila aibu yani anafutilia ninavyochatiβ¦Basi nikasema ngoja nimtie Adabu mshenzi huyuβ¦. Nikacheck saaβ¦
Open printable article βπMipango ya mke na mume ya pasaka
Mke: Unampango gani na pasaka hii mmewangu..Mume: Nitafanya kama yesu..Mke: Unamaanisha Nini?Mume: Nitaondoka ijumaa na Kurudi j3..Mke: Unanishangaza, kama utafanya hivi nami nitafanya kama Maria..Mume: Unamaanisha Nini?Mke: Nitapata mimba bila ya kuingingiliwa na wewe mume wangu..Mume: π³π³π³πππππππππ
Open printable article βπDuh. mjamzito ana kazi
ππππukimuona mjamzito katema mate ujue mtoto kajamba
Open printable article βπAngalia nilivyookoa maisha ya mtu leo
Nmeokoa maisha ya mtu asubuhi ya leo huwezi amini.Nmekutana na ombaomba nikamuuliza atajisikiaje nikimpa sh.30,000/-Akasema ATAKUFA kwa furaha.Nikaondoka bila kumpa ili ASIFE.ππππ
Open printable article β