BREAKING NEWS: WAZIRI ANASWA KOFI
Mkazi wa Mbagala Kibondemaji, Waziri Salum (23) amejikuta akinaswa makofi baada ya kupishana kauli na jirani yake.
Open printable article βFind an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.
Mkazi wa Mbagala Kibondemaji, Waziri Salum (23) amejikuta akinaswa makofi baada ya kupishana kauli na jirani yake.
Open printable article βMZUNGU: Hi, I need $100, will pay back on MondayMSWAHILI: Kaka vipi, shwari? Dah.. hatuonani mzee, mishe vipi, mnatunyima nini? Juzi nimekuona kwa mbaaaliβ¦ mzee shavu dodo, full kipupwe! Sie tupo bwana, shida tu, afu misiba mingi tu, wife nae kajifungua ghafla. Sasa, kuna cheque naisubiri haijatoka β¦
Open printable article βBABA OYEEEEEEπͺπͺSoma hiiβ¦Msichana alikuwa amekaa na baba yake kibarazani, mara akamuona MVULANA friend wake akija, yule mvulana alipokaribia tu, yule msichana akamwambia hivi:-MSICHANA: Umekuja kuchukua kile kitabu chako, kinachoitwa "DADDY IS AT HOME?" by Ngozi OkaforMVULANA: Hapana!, Nimekuja kuaziβ¦
Open printable article βNi hizi1. Mvuta sigara hazeeki2. Mvuta sigara haumwi na mbwa3. Mvuta sigara nyumbani kwake haingii mwiziUFAFANUZI1. Hazeeki kwa sababu hufa mapema kwa kifua kikuu2. Haumwi na mbwa kwa vile kifua na mapafu yanapooza na hulazimika kutembea na bakora3. Nyumbani kwake haingii mwizi kwa kuwa inafika wakaβ¦
Open printable article βMchaga alinunua mbuzi akamwambia mpishi Nyama nusu ipike pilau na ingine itie kwenye friza. Kichwa fanya supu, miguu fanya mchuzi chukuchuku. Ngozi usitupe tutafanya mswala, utumbo pikia ndizi na mifupa tutawauzia wenye mbwa. Kinyesi kihifadhi kwa mbolea ya bustani.Mpishi akamuuliza Hutaki na sauti β¦
Open printable article β1. Ati wee ni m-black mpaka ukiingia kwa dinga(gari), dirisha zinakuwa tinted!2. Kwenu kuchafu mpaka mende zinatema mate.3. Vile wewe mfupi, ukipiga picha ya passport inatokea full.4. Ati(house) yenu ina gate lakini hakuna fence.5. Baba alienda ku buy ngombe akaona ikikojoa akasema sitaki hiyo imetoβ¦
Open printable article βBaba mmoja Juzi alimpaka Sumu Mke wake kwenye Matiti akiwa amelala ili Mtoto akinyonya afe kwani alihisi sio wa kwake, akaondoka kwenda kazini aliporudi akakuta house boy amekufa, usiniulize alikufaje. Mie mambo ya umbea sipendi niliondoka zangu mapemaaa!!π π π π ππππππ
Open printable article βJamaa kapokea simu kutoka kwa mke wake ndani ya daladalajamaa: hellow hellow ( jamaa akawa hasikii vizuri ikabidi aweke loud speaker)Mke: Umeweka wapi soksi zako yaani nyumba nzima inanuka.
Open printable article βSababu ni hiiAL-SHABABAL-QAEDAKwenye MATHEMATICS pia kuna kundi linaitwa"AL-GEBRA"πππππΆπ»πΆπ»πΆπ»πΆπ»πΆπ»πΆπ»Kumbe ndo maana wengine hawapendi hesabu coz kuna element za ugaidi
Open printable article βNimekutana na dogo mmoja hivi hapa analia,namuliza analia nin??ananambia ''ALIPEWA MIA TANO ZIPO MBILI,MIA TANO MOJA YA NYANYA na MIA TANO NYINGINE YA VITUNGUU sasa KAKOSEA KAZICHANGANYA HAJUI TENA IPI NI YA NYANYA na IPI NI YA VITUNGUU!!!..NA PESA ZOTE ANAZO KAZISHIKA MKONONI,
Open printable article β1. Awe na pesa nyingi2.Siyo lazima awe mzuri wa sura3. Ajenge ukweni4.Awe mpole5.Asimuonee wivu mke wake6.Awe mwenye upendo wa dhati7.Asishike simu ya mke wake.8.Akimkuta na mwanaume apite tu, akitaka kujua ni nani asubiri nyumbani9.Awe anamskiliza mke wake kwa kika kitu.10.Asipende mwanamke mwinginβ¦
Open printable article βDOGO: Mama Jana Baba Alikuja Na Mwanamke NaAkaanza Kumtoa Nguo Huku Akimuita Beibβ¦BABA: Kwa Hasira Ebu Wacha Kuongea Na Chakula Mdomoni Wewe Mpumbavu Sana Khaa!!!MAMA: Eti Nini Hebu Endelea Mwanangu AlafuWakafanya Nini Hawa Nguruweβ¦ DOGO: Wakanza Kufanya Kama Vile Mlifanya Na Anko nassoro Wakati Babβ¦
Open printable article βJE WAJUA?Je wajua kwamba kuku wa kwenye Whatsapp anamzidi tembo ukubwa? πππ½π.πππMaajabu!
Open printable article βHii ndio BongoIlikuwa Ijumaa mida ya saa 10 jioni, mzee mmoja aliingia na kibinti kizuri kwenye yard ya magari mapya.MZEE: Chagua gari unalotaka mpenziβ¦.kabinti akazunguka yard yote mwisho akachagua Verrosa metallic .BINTI: Mi naitaka hiiMZEE: Hakuna tatizo kabisaaa, mtoto mzuri kama wewe lazima upaβ¦
Open printable article βUmeshawahi saidiwa homework na mzazi halafu unapata zero?Hapo ndio unajua shida siyo weweπππππππππππππππ
Open printable article β