πAmeniomba nimfungulie akaunt facebook cheki nilichomjibu
Leo nimechoka zangu alafu shangazi amekuja anataka nimuunganishe facebook. Imebidi nimwambielazima awe na picha passport size 4 kwaajili ya kuweka profile picture, barua kutoka kwa afisa mtendaji na Atm card ya nmb bank. Alafu awe na marefa wanne ambao wamekuwa facebook for more than 3 years. Amesemβ¦
Open printable article βπEti wanadamu walikuja vipi duniani
Mtoto wa miaka sita alimuuliza babake:MTOTO: Baa, eti sisi wanadamu tulikuja vipiduniani?BABA: Mungu alimuumba Nabii Adam na Hawa.Kisha wao wakaanza kuzaa watoto na watotowakazaa mpaka tukazaliwa sisi. (Mtoto hakuridhikaakamfuta mamake)MTOTO: Mma, eti sisi wanadamu tulikuja vipiduniani?MAMA: Wanasayβ¦
Open printable article βπKICHEKESHO: Ukiona masikini Kachinja kuku
Ukiona masikin kachinja kuku basi kat ya kuku au yeye kuna mmoja atakua mgonjwa ππππ
Open printable article βπHakuna siku mbaya maishani kama hii
Hakuna siku mbaya maishan kuona mtu uliyesoma naye darasa moja, anakupita na private car,, afu we umeninginia kwenye daladala,,, tena ulikua unamzid akili πππhapo Ndo utajua kwann gunia na dunia vinatofautiana neno moja
Open printable article βπCheki kilichotokea baada ya kufumaniwa
Nimefumaniwa hapa na jamaa ameniambia nitulie tuyamalize kishikaji, yaani nisijali sasa ametoka nje nasikia ananoa kisu nadhani anataka anichinjie kuku!WATU WENGINE WANA ROHO NZURI!ππππ
Open printable article βπWasichana wafupi wanafurahisha
Wasichana wafupi wananifurahisha sanaβ¦. Yaan siku ya Valentine, wakivaa magauni mekundu huwa wanakuwa kama Fire extinguishers au mitungi ya Oryx πππππ
Open printable article βπHizi sifa zimezidi sasa
MADEM KWA SIFA..kuumwa aumwe yeye lakn kujifanya anajali sana bas utamsikia BABY KARIBU TUMEZE DAWA πππ
Open printable article βπHaya ndiyo madhara ya kutowapeleka watoto kanisani βͺ
MTOTO aliibiwa yeboyebo KANISANI akawa analia sana kwa uchungu mpaka MCHUNGAJI akamwambia usilie mwachie MUNGU. MTOTO akajibu Mungu hazimtoshi zile yebo ni ndogo! Usicheke,Huu ni Mtihani Tuwapeleke Watoto KANISANI Wamjue MUNGU.
Open printable article βπEx wangu kasema tukapime, cheki nilichifanya
Ex wangu leo kaupdate status yake ya watsap et"NILIOTEMBEA NAO WOTE MKAPIME"Saizi nipo apa kwa fundi nguo, napimwa kitambaa Harusi sijui lini anapenda kushtukiza huyu
Open printable article βπTofauti ya mchaga na mhaya wakipata kazi
Mchaga hata apate kazi bank bado atasema yupo kibaruani.Acha sasa mhaya apate kazi katka mashine ya kusaga na kukoboa; utaskia i work as a crucial engineer in a monocotyledon finalizing companyπππ
Open printable article βπWazo la asubuh - penzi la kuku
Wazo la asubuiπPenzi la kuku sekunde 2 ila vifaranga kibao.Lakini binadamu masaa kibao mtoto 1 au 2. Sasa binadam na kuku nani JEMBE? Ukimwona JOGOO popote piga SALUTI!ππππππππukinuna poa tu!!!!!ππππππππππππππ
Open printable article βπSitasahau mwaka huu
Sitasahau mwaka ule ambapo nilipeleka barua ya maombi yangu ya kazi kwenye kampuni moja maarufu. Wakati nasubiri majibu siku moja nikaenda kwa mama ntilie kununua maandazi akanifungia vizuri, kufika nyumbani hamu yote ya maandazi iliniishia pale nilipogundua karatasi iliyofungiwa maandazi ni barua yβ¦
Open printable article βπKilichotokea nikiiwa namsaidia mtoto home work
Kusaidia Mtoto wa Nursery Homework ni Ngumu. Unamuuliza "Nina Pipi Tano, nikiwagawia Watoto Watatu, kila mmoja Pipi Mojamoja nabakiwa na ngapi? Anakwambia, "toa Kwanza nizione.."ππππππππππππππππ
Open printable article βπHii mitoto mingine mijinga, cheki alichokifanya huyu
Nimeamka asubuhi nikiwa na elfu 1 tu mfukoni, nikamtuma mtoto wa jirani akaninunulie maandazi nipate kunywa chai. Baada ya muda namuona anarudi huku analamba askrimu ya AZAM kama Simba vile. Nikamuuliza maandazi yako wapi? Akanijibu eti wakati anafika yanapouzwa maandazi akagundua kuwa kapoteza helaβ¦
Open printable article βπDuh! Hii sababu ya huyu mwanaume kulewa ni shida
π§: "Mpenzi, nakuomba uache kulewa"π¨: "poa, na wewe acha kutumia make up"π§: "Mimi napaka make up ili unione mzuri"π¨: "Na mimi nalewa ili nikuone mzuri"Vodka hatareeeππ
Open printable article β