πWanaume wote ni waaminifu
Hii ni kwa wanaume ila mwanamke anaweza kusoma na kujifunza kuwa wanaume wote ni waaminifu.Mwanaume mmoja alienda kukata miti kwa ajili ya mkaa, bahati mbaya panga likadondokea mtoni, akaanza kulia sana. Malaika akatokea na kumuuliza kwanini analia. Jamaa akajibu; "Panga langu limedondokea mtoni na β¦
Open printable article βπAngalia huyu house girl wa mzungu alichokifanya na anachokisema
House girl mmoja alipewa kazi na mzungu mara akavunja sahani.Mzungu aliporejea,kazin akamuuliza 'what happened to my plate?House girl akajbu: 'The dog wow wow friji paaa, mchuzi mwaaaa the vyombo pangalapangala the sahan ngelengenjeeβ¦β¦the pasuka paaaaaaaaππππhadi saiz mzungu bado anasoma dictionary β¦
Open printable article βπAngalia huyu msichana alichonifanyia
Kuna siku nilichalala kipesa nikaamua kuomba dem wangu aniazime 10,000/= akanipa.Baada ya siku mbili nikapata pesa zaidi ya laki nne hivi, nikaamua kumpa 100,000/= mpenzi wangu bila yeye kuniomba.Baada ya siku 3 akaja kuniambia:- "Bae, ile 10,000/- niliyokuazima mwenyewe amekuja kunidai, so kama unaβ¦
Open printable article βπAngalia huyu bibi alichotufanyia kwenye gari
βtulikua kwenye gari kibao ad wengne mlangon likasmimama kituo kimoja kulikua kuna bibi anataka kupandaβKonda- bibi twende sit kibao ata utalalaBibi - oooh sawa mjukuuKonda - simama tu apo wanashuka mbeleBibi - akacheka sana tuKonda- mbona unacheka bibiBibi - mjukuu hawa wote hawashuki wanakufa apo β¦
Open printable article βπUngekua wewe ndio mama wa huyu mtoto ungemfanyaje?
Kuna mtoto mmoja aliamka kutoka usingizini alipokuwa kalala na mama yake na kupiga kelele "mamaa" mama yake akaamka na kumwambia nin mwnangu mtoto akajibu "mama nimeota ndoto mbaya sana" ndoto gani hyo mwanangu mtoto akajibu "nimeota tumefungua shule"πππππππKibaooooo nyau wewe
Open printable article βπCha kufanya mpenzi wako akikuacha
Kumkomoaβ¦MPENZI WAKO AKIKUACHA BILA SABABU CHUKUA SIMU MPIGIE MAMA AKE MWAMBIE MWANAO AMEKUFA UWEZIβ¦. KULIA PEKE YAKOπ€
Open printable article βπUkata wa January
Boss;- kwa nini umechelewa kaziniJuma;- kuna mtu njiani alidondosha elfu1Boss;- ohhoh kwa hiyo ulikuwaunamsaidia kuitafutaJuma;- hapana nilikuwa nimeikanyagaππππππππππππππ
Open printable article βπKuwa na Binti aliyeacha shule
Kuwa na binti aliyeacha shule ni BALAA. Anaweza kukuacha kwa staili ileile alotumia kuacha SHULEπ
π
π
π
π
Open printable article βπAngalia nilichomfanyia huyu dereva sasa
Tulikua kwa basi tunaelekea arusha,ile namcheki dereva kumbe ni best yangu na basi ilikua kwenye spidi hatari, nikaenda kumziba macho nkamuuliza otea mi ni nani, kabla hajanijibu nikasikia kishindo kikubwa sanaNA SASA HIVI NIMEZINDUKA NIMEONA ABIRIA WOTE TUPO WODI NAMBA 3 HAPA KCMC MOSHI. π€π€π€π€SODA Zβ¦
Open printable article βπChezea kufulia!
Huu Mwezi jinsi nilivyofulia yaani hata nikikuta mende wamesimama wawili najua wananisemaπππ
Open printable article βπJinsi mzunguko wa elimu ulivyo
01.π Wale wanafunzi walioongozaMashuleni, wanaenda kwenyeEngineering na Medical school.02.π Wale waliokuwa wa pili, wanachukua MBA na LLB na kuja kuwa Mameneja wawanafunzi walioshika nafasi ya kwanza.03.π Wale waliokuwa wa tatu, wanageukiaSiasa na kuwaongoza wote hapo juu.Yaani wa kwanza na wa pili.β¦
Open printable article βπMuda mzuri wa kulipa mahari
Amini NawaambieniHakuna Muda Mzuri wa Kulipa Mahari Kama Mwezi January. Baba Mkwe Anapokea Hata Buku Kumiβ¦. ππππππ
Open printable article βπAngalia kilichotokea baada ya dogo kupewa ada na kuitumia kubeti
Dogo kampigia simu baba yake;DOGO: Baba katika zile shilingi laki mbili ulizonipanikalipe ada nimetumia shilingi alfu 30 kubetiBABA : Unasema nini we mpumbavu mshenzimkubwa? Nimekukanya mara ngapi kuhusu kubeti?DOGO : Lakini babaBABA : Lakini baba nini ngoja urudi utaonantakachofanya.DOGO : Nilitakaβ¦
Open printable article βπNilichokifanya wakati naangalia taarifa ya habari
Jana wakati naangalia taarifa ya habar mtangazaji akasema "mpenz mtazamaji nataka nikupeleke moja kwa moja had marekani" nikazima TV kwa haraka nikaenda kuvaa viatu. Hadi sahv bado nmekaa hapa seblen nahisi bado wanaihangaikia Visa yanguππππππ
Open printable article βπHuyu mwanamke kazidi sasa
Jamaa: Mambo honey, upo ok?Mrembo: Sipo ok my dearJamaa: Una tatizo gani baby?Mrembo: Nimetoka hospitali kupima, nna mimba.Jamaa: Weeh usiniletee balaa hiyo mimba imeingiaje wakati huwa tunatumia kinga?Mrembo Kwani nani kakwambia mimba ni yako, hebu tuliza mshono huo.πππππππMTATUUA
Open printable article β