PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

1000+ Vichekesho vipya: Vichekesho vya AckySHINE Β· 452

πŸ“„

Tabia za wachepukaji

WACHEPUKAJI WENGI WANATABIA HIZI1.Hachezi mbali na simu yake kila wakati.2.Inbox na sending items hufutwa kilawakati.3.Ukimuomba simu yake ghafla lazimaakwambie hebukwanza…….4. Kamwe haiiti always vaibration.5. Namba nyingi ha save.6. Kuna simu hapokei hataiweje….anapenda sms zaidi7.Majina mengi kwe…

Open printable article β†’
πŸ“„

Hali za ndoa

Kuna kijana alikua anajua kuwa mke wake anatoka nje ya ndoa basi akamwuliza mke, mkewe akakataa, akamwambia baba yake akaambiwa na babaake tulia mwanangu ndoa zina mengi! akawa kila siku analalamika kwa babaake, mwisho babaake akamwambia basi ntakusaidia. Itabidi ujifanye unaumwa sana hoi hujiwez ha…

Open printable article β†’
πŸ“„

Hawa wanaume wanaopenda wanawake hovyo barabarani wamepatikana, hawatarudia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Marafiki wawili (Jose na Ben) walikuwa wanatembea mtaani akatokea mwanamke akarusha busu kwa mmojawapo kupitia dirishani katika jengo la ghorofa tatu.Wakaanza kujadiliana kama ifuatavyo:Ben: Muone yule mrembo amenirushia busuJose: tafadhali achana na huyo mwanamke, usimjali..(baadae yule mwanamke ak…

Open printable article β†’
πŸ“„

Duh! Angalia alichokula huyu mwizi! Wizi mwingine bwana!

Baada ya mwizi kuvunja mlango huko Tarime, akaingia kwenye stoo akaona vinyama kwenye bakuli vikiwa vimekauka. Akaonja 1 akaona kitamu na kina chumvi! Akavila vyote. Alipomaliza akaangalia juu ya mlango akaona pameandikwa; "chumba cha UKEKETAJI WANAWAKE". Unafikiri atakuwa amekula nini?

Open printable article β†’
πŸ“„

Hii sasa kali kweli kweli! wazazi wanachofanya pale binti yao anapochelewa kuolewa

Wazazi wengine wanaandika MBWA​MKALI kwenye geti lao kama binti wao ana miaka 18..Binti akifika miaka 30 na hajaolewa wanapabadilisha na kuandika TUNAUZA BARAFUπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Open printable article β†’
πŸ“„

BREAKING NEWS!!! Nyoka wa ajabu agundulika

HABARI MPASUKO..jana katika taasisi ya wanyama pori ya Nat Geo ilitangazwa kuwa ametokea Nyoka hatar san Ambaye hajawah kutokea duniania.. wanadai kwamba nyoka huyo anaongezeka ulrefu wa 0.5sm kila akila chakula na huwa anakula chakula kuanzia sekunde 30 kurudi nyuma.. mpaka sasa hakuna siraha ya ku…

Open printable article β†’
πŸ“„

Wadada acheni hizo

Mfalme Sulemani alikuwa na wake 700 na alichepuka(cheated)na vimada 300 . Mpenzi wako/Mume wako unamfumania na kimada mmoja tu ugomvi na amani imapotea ndani ya nyumba,unasimulia kuanzia padri,mchungaji,ukoo wako mzima,mashoga, stress,vidonda vya tumbo,inapelekea mpaka unaokoka,eti kisa kamuonjesha …

Open printable article β†’
πŸ“„

Tofauti ya mke na mchepuko!!!

MKE NA MCHEPUKO.Mke ni kama Tv na Mchepuko ni kama Simu.Nyumbani unaangalia Tv lakini ukitoka unatoka na simu.Mara chache unafurahia Tv lakini Muda mrefu unacheza na simu yako.Tv ni bure kwa maisha yako yote, lakini Simu kama hujalipia hupati huduma.Tv ni kubwa nzito na wakati wote ni ya zamani. Lak…

Open printable article β†’
πŸ“„

Angalia huyu jamaa anavyojiona msomi, huyu kamuotea, hapa amekwama

USIJIONE MJUAJI SAAAA…NA.Jamaa kamaliza chuo anarudi nyumbani kwa wazee, kufikanyumbani.kwa furaha waliopata wazazi, mama aliamuakurosti kuku WAWILI(2) kwa ajili yao.Mezani jamaa akataka kuwadhihirishia kuwa yeye ni msomi,akawaambia "hawa kuku unaona wako wawili ila kwa kutumiasheria za arthematic n…

Open printable article β†’
πŸ“„

Angalia anachokisema Madenge sasa

MWALIMU kaingia darasani na kusema. "Wanaojijua wajinga wasimame".MADENGE akasimama peke yake.MWALIMU: Wewe ndio mjinga?MADENGE: Hapana, ila nimeona umesimama peke yako nikaona usijisikie vibaya angalau tuwe wawili.

Open printable article β†’
πŸ“„

Angalia alichojibu huyu mwanafunzi, Ungekua wewe ni mwalimu wake ungemfanyaje?

Mwanafunz alikuwa kila siku anachelewa shule, na kila siku alikuwa anachapwa, basi siku moja mwalimu akaona ngoja amuulize.Mwalimu: Mbona unachelewa kila siku?Mwanafunzi: Nakaa mbali mwalimuMwalimu: (huku ana hasira akauliza)Mbali mbinguni?Mwanafunzi: Mbinguni kwa mbeleπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Mimi ndio nimeelewa hivi!

Leo nimepishana na Vitz imeandikwa, "Never trust women"Nikajua huyu mtu lazima alikuaga na Range RoverπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Cheki huyu dingi alivyo mnoko

Unamtumia baba ako meseji ukiwa shule "Baba naomba unitumie 100,000 ya pckt mny" anakuuliza "pckt mny" ndo nini? Unamjibu ni kifupi cha "pocket money" af ankutumia 10,000, unamuuliza hiyo hela ni ya nini? Anakwambia ni kifupi cha 100,000.Hapo ndo unatamani kuchoma shule ufe.

Open printable article β†’
πŸ“„

Huyu Jamaa bwana! Cheki anavyojibu sasa

*Mdukuzi:* _halloo massai unasemaj_*Massai:* _safi rafiki_*Mdukuzi:* _nikikuuliza swali unaakili ya kujibu?_*Massai:* _ulisa acha maneno yako._*Mdukuzi:* _nitajie wanyama kumi wa porini_*Massai:* _swala watatu na tembo saba_πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘†πŸΏ

Open printable article β†’
πŸ“„

Duh! Kizungu kigumu, cheki alichojibu huyu

```Nimetoka interview hapa ya job flaniWameniuliza "so how far did you go with your education?", nikawaambia.. """""I didn't go very far because our school was just behind our house"""wameniambia ningojee watanipigia!```…….πŸ˜€ *your prayers plz*

Open printable article β†’