PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

Ujana na Makuzi | Mapenzi na Ngono Salama Β· 545

πŸ“„

Kama Albino akiathirika na VVU anaweza kutumia ARVs kama watu wengine?

Katika suala hili la UKIMWI hakuna tofauti yoyote kati yaAlbino na watu wengine katika jamii. Albino wanaweza kupatamaambukizo kama watuwengine, na mahitaji yao ni yaleyale, kijamii, kisakolojia na kiafya.Albino watapewa ARVs kama watu wengine kwa kufuatautaratibu uleule wa matibabu ya UKIMWI kama w…

Open printable article β†’
πŸ“„

Kwa nini Albino wanatengwa katika masuala ya mapenzi na wale watu ambao siyo Albino?

Watu huogopa kujaribu vitu au mambo ambayo hawajayazoeaau yale ambayo yapo tofauti. Jinsi unavyozidi kujua ukwelikuhusu sababu za ualbino ndipo unavyoweza kujenga mtazamochanya ikiwemo kuwapenda.Wapo pia watu wengi katika jamii yetu ambao wana mahusianoya kimapenzi na Albino na ambao wapo katika ndo…

Open printable article β†’
πŸ“„

Njia ya kutambua kama umeambukizwa Virusi vya UKIMWI (VVU)?

Njia pekee ya kujitambua kama umepata maambukizo yaVVU ni kufanya kipimo cha damu (HIV-test). Vipimo hivivinapatikana katika vituo vya afya na pia kupitia vituo maalumuvya ushauri nasaha vya kupima kama vile vya Angaza, hudumahizi zimesambaa nchi nzima. Kipimo hiki huchukua kiasi kidogocha damu na k…

Open printable article β†’
πŸ“„

Watu wanaamini kuwa Albino wana joto katika mapenzi kuliko watu weusi, Je, hiyo ni kweli?

Hii siyo kweli,tofautibaina ya Albinona mtu a s iekuwa na ualbinoi m e e l e z w ahapo mwanzoniambapo tofautiipo tu kwenyemuonekano warangi ya ngozi,nywele n a macho. Mifumo yao yote mingine ya mwili iko sawa na watuwasio na ualbino.Watu wanaweza tu kuanzisha uvumi kama huo popote pale.Ipo pia mifan…

Open printable article β†’
πŸ“„

Kwa nini watu wasio na ualbino wanaogopa kuoa Albino kwa imani kuwa watawazalia watoto Albino?

Ualbino ni hali yakurithi, hii inamaanishakuwa unapata ualbinokutoka kwa wazaziwako. Watu wawiliweusi wanaweza kupataAlbino endapo kilammoja wao atakuwana kinasaba cha ualbino.Hali hii huwezi kuionaau kuijua. Unaweza tukuitambua baada yakujifungua. Takribanimtu mmoja katika watu70 ana kinasaba chaua…

Open printable article β†’
πŸ“„

Inatokeaje, katika baadhi ya mazingira baba anakataa kuwa mtoto si wake?

Katika mazingira fulani, baba anapomuona mtoto ana ngozinyeupe anakataa ya kwamba mtoto si wake akimlaumu mama wamtoto kuwa amekuwa na mahusiano ya ngono na mzungu. Huuni upuuzi kwa sababu kila mtu anajua kuwa watoto waliozaliwakutoka familia za watu weusi na wazungu siyo Albino kwa mfanoRais wa Mar…

Open printable article β†’
πŸ“„

Kwa nini watu wanakuwa na hulka ya kuua Albino?

Vitendo vya kuua Albino tunavyovishuhudia sasa ni mambomapya na kwa kila hali siyo njia sahihi ya tiba ya jadi.Baadhi ya waganga wa jadi hutumia viungo vya wanyama nabinadamu katika sherehe zao. Kwa mfano fuvu za binadamuhuwekwa chini ya msingi wa nyumba kuleta bahati njema, aubiashara nzuri. Damu h…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jeshi la polisi linafanya nini katika kukomesha mauaji na madhara yanayotendeka kwa Albino?

Jeshi la polisi limeanza mikakati maalumu kuchunguza masualayote yanayohusu vitendo hivyo, kuwakama tawahusika wotena kuwafikisha mbele ya vyombo vya sheria. Pia jeshi la Polisilimeunda kikosi maalumu kwa ajili ya kushughulikia kwa harakakesi za Albino.

Open printable article β†’
πŸ“„

Watu wanaoua Albino wanapata faida gani?

Hakuna uchunguzi wa kisayansi ambao umeonyesha faidayoyote inayopatikana kwa kuua Albino.Madai ya kuwepo kwa faida katika mauaji ya Albino ni uvumimtupu unaoimarishwa na imani ya kishirikina na hazina msingi.Kwa bahati mbaya uvumi huu umeimarika katika baadhi yajamii na hivyo kupelekea Albino kupata…

Open printable article β†’
πŸ“„

Kwani Albino hawatakiwi kuishi duniani?

Albino ni binadamu kama alivyo binadamu mwingine na ana hakisawa za kuishi na kufaidi kuwepo kwake hapa duniani kamailivyo kwa binadamu wengine. Kuua Albino kwa sababu yoyoteile ni jambo baya sana ambalo linakemewa na serikali, dini zote,na kila mwanadamu mwenye akili timamu na maadili ya utu nawate…

Open printable article β†’
πŸ“„

Ni hatua gani zinazochukuliwa na serikali ili kukomesha vitendo vya kuwinda Albino?

Kufuatia vitendo vibaya vya mauaji ya Albino, vilivyozukaTanzania tangu mwaka 2007 hadi sasa, Serikali imechukuahatua kadhaa kurekebisha hali hiyo. Hatua hizo ni pamojana:β€’ Kuliagiza jeshi la polisi kuwatafyta na kuwakamata wauajiwa aalbino.β€’ Kumteua Albino kuwa Mbunge wa Viti Maalumu Wanawake.β€’ Kut…

Open printable article β†’
πŸ“„

Hatua gani zichukuliwe dhidi ya wanaowakeketa au kuwachezea unyago Albino juani?

Swali hili linaonyesha mambo mawili ambayo ni mabaya. Jambola kwanza ni ukeketaji ambao ni kinyume dhidi ya haki ya afyaya uzazi kwa mwanamke na ni uvunjaji sheria ya kukeketa mtotowa kike. Jambo la pili ni kuwacheza Albino unyago juani. Kitendohiki ni kuwaumiza Albino kwa sababu ya ulemavu walionao…

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, kuna madhara yoyote yanayompata kijana Albino wa kike au wa kiume anayeamua kutoanza kujamiiana hadi afikie umri uliokubalika?

Ukweli ni kwamba hakuna athari zinazojulikana kwakusubiri aukuacha kujamiiana hadi mtu afikie umri unaokubalika / utu uzimaau hata muda mrefu zaidi. Pia via vya uzazi havitaathirika kwanjia moja au nyingine (havisinyai wala kutoweka.) Kuna uvumipotofu unaodai kuwa watu wanaoacha kujamiiana kwa mudam…

Open printable article β†’
πŸ“„

Kwa nini vijana wengine Albino wanaanza kujamiiana katika umri mdogo?

Kuna sababu nyingi ambazo zinamfanya kijana kuanza kujamiianakatika umri mdogo. Baadhi ya sababu hizi ni kama vile:β€’ Ushindani kati ya vijana wa kuwa na vitu vya anasa kamavile simu ya mkononi, saa na vitu vya kuchezea. Ama kutakamahitaji ya pesa kwa ajili ya kulipa ada ya shule.β€’ Shinikizo kutoka k…

Open printable article β†’
πŸ“„

Nina rafiki wa kike ambae ni Albino wa ngozi na tunapendana sana, lakini kwa nini anakataa kujamiiana na mimi?

Rafiki yako wa kike ana haki ya kukataa kujamiiana na wewe.Labda hayuko tayari kujamiiana au anapenda kusubiri mpakaafunge ndoa. Maamuzi yake yatakuwa yametokana na kuogopamatokeo ya kujamiiana katika umri mdogo au labda anafuatamaadili yaliyo kwenye dini yake. Na hata kuwa na wasiwasi kuwauhusiano …

Open printable article β†’