πNini matatizo ya watoto Albino shuleni?
Ingawaje, akili zao hazina hitilafu watoto Albino mara nyingihawafanyi vizuri shuleni, na huchukuliwa kuwa ni wajinga kwasababu hawawezi kusoma vizuri ubaoni. Mara nyingi watotoAlbino hujikuta wameaachwa katika shughuli za nje, yamadarasa zinazojumuisha wenzao shuleni.Walimu lazima watambue watoto Aβ¦
Open printable article βπKwa nini Albino wanawekwa katika kundi la watu wenye ulemavu?
Ulemavu maana yake ni hitilafu katika mwili au akili inayomwekeamipaka mtu asiweze kufanikisha shughuli fulani katika maishayake. Albino wanatambuliwa kama watu wenye ulemavu Tanzaniahasa kwa ajili ya uwezo wao wa kutokuweza kuona vizuri. Daliliza kutokuwa na uwezo wa kuona hutofautiana kuanzia waleβ¦
Open printable article βπKuna fikra kuwa Albino ni watu wa kawaida je, kisayansi hii ni kweli?
Hii ni kweli kabisa. Watu wanaoishi na ualbino ni watu wakawaida kama binadamu wengine wote na wanaweza kuwawa aina tofauti kama binadamu wengine. Wanaweza kuwawadogo au warefu, wanene au wembamba, warembo au wasiowarembo, wenye vipaji au wa wastani. Wanaweza kuwa nauthubutu au wenye aibu, wachangamβ¦
Open printable article βπKwa nini ngozi ya Albino inafanana ya watu weupe?
Ngozi ya Albino ina ukosefu wa rangi. Inaonekana kama ya watuweupe ambao wana kiasi cha pigimenti ndogo. Tofauti na watuweupe ngozi ya Albino haigeuki rangi katika jua kuwa kahawia.Sawa na watu weupe Albino lazima ajikinge na mionzi ya jua kwakuvaa nguo ndefu za kufunika ngozi au kutumia losheni maaβ¦
Open printable article βπVijana Albino wafanye nini ili kulinda ngozi yao?
Pamoja na matatizo ya kuona, ngozi ya Albino ni rahisi sanakudhurika kwa mionzi ya jua. Hatima yake ikiwa ni uwezekanomkubwa wa kupata saratani ya ngozi. Hivyo basi, kila Albinoanashauriwa daima kujikinga dhidi ya mionzi ya jua kwa kuvaanguo za mikono mirefu, kuvaa kofia pana, kuvaa miwani ya jua naβ¦
Open printable article βπKwanini Albino wanakuwa na mabaka meusi kwenye ngozi zao?
Ngozi ya Albino haina jinsi ya kujilinda na mionzi ya jua. Inaunguasana baada ya kupatwa na jua na ngozi huwasha na kuuma. Ngoziya Albino inajitahidi kujilinda na mionzi ya jua lakini ina pigimentinyeusi kidogo sana kwa hiyo inatengeneza mabaka meusi1. Kwahiyo, mabaka meusi huonyesha kuwa ngozi haijβ¦
Open printable article βπAlbino anaathirikaje na unyanyapaa na ubaguzi katika jamii?
Watu wengi huwaona Albino kama watu tofauti na watu wenginena kuwakwepa, wanaweza hata kubadili upande wa barabaraili wasikutane nao au kukaa karibu nao katika daladala. Wengiwanaamini katika uongo na uvumi unaosambazwa. Jamii inawatengakatika matukio mengi na kwa hiyo kuimarisha uvumi usiyo nausahiβ¦
Open printable article βπKwa nini jamii inatuchukia sisi Albino?
Siyo watu wote katika jamii wanawachukia au kuwatenga Albino.Wazazi, ndugu zenu, rafiki zenu wanawapenda na kuwajali. Nijambo la kawaida kwa watu wa aina fulani kuwakataa au kuwakwepawale ambao wanaonekana tofauti na wao. Kwa mfano, katika jamiiya watu weupe ni kawaida kuwakwepa au kuwakataa wale weβ¦
Open printable article βπKwa nini Albino tunaonekana kama mzigo katika familia zetu?
Watu wanaohitaji kupewa uangalizi maalumu wanawezakuonekana ni mzigo kwa kuwa wanaweza wakawa wanaombakupewa mahitaji au msaada maalumu tofauti na watu wenginewa kawaida. Wazazi na wanafamilia wengine wanawezakuchukizwa na matamshi wanaotoa watu wengine pamoja nakulazimika kuvumilia utani na matusi.β¦
Open printable article βπKwa nini Albino hawapewi kazi kwa mtazamo kwamba hawawezi kazi?
Watu wengi katika jamii hawana uelewa unaotosheleza kuhusuulemavu wa ngozi na ulemavu wa macho wa Albino.Hii ndiyo sababu mara nyingi jamii inawatenga ikiamini kuwainawalinda ili wasipatwe na madhara ya ziada. Wanawezavilevile kuwatenga hata kwa kuwazuia kufanya kazi ambazowanazimudu bila sababu za β¦
Open printable article βπAlbino anaweza kuwa na maisha ya kawaida na yenye mafanikio katika maisha?
Imani iliyojengeka kwenye jamii kuwa Albino wana uwezomdogo si ya kweli. Ipo mifano mingi ya watu walioweza kupatamafanikio katika maisha ambao pia ni Albino. Wapo ambao niwalimu, wanasayansi, wanasheria, na wengine wapo kwenyesiasa na uongozi.Mbunge wa Lindi mjini kupitia chama cha CUF mheshimiwaSaβ¦
Open printable article βπJe, zipo sheria zinazolinda watu wenye ulemavu hapa Tanzania?
Ndiyo, zipo sheriahapa T a n z a n i az i n a z o w a l i n d awatu wenyeulemavu. Tanzaniailitia saini nakuridhia mkatabawa kimataifa waulinzi, haki nausawa kwa watuwenye ulemavumwaka 2006. Kwakitendo hichocha kuridhiamkataba huo wakimataifa Tanzaniaimeonyesha niayake ya kuwalindana kudumishahaki zaβ¦
Open printable article βπJe, serikali imechukua hatua gani kudhibiti hali hii ya mauaji ya Albino? Tutaishi vipi?
Kifungu cha 14 cha Katiba ya Tanzania kinaeleza kwa ufasahakuwa: βKila mtu ana haki ya kuishi na kulindwa utu wake katikajamii kwa misingi ya sheria.β Hata Rais Kikwete katika hotubazake kwa Taifa za kila mwezi amewahi kukemea mauaji hayamwaka 2008 kwa kusema; β mauaji haya ni aibu na fedhehakubwa kβ¦
Open printable article βπKwa nini watu wanaamini kuwa Albino hawana maambukizo ya Virusi vya UKIMWI (VVU)?
Imani hiyo si kweli kabisa. Inawezekana ni kupotoshwa kwamakusudi wa ukweli kuhusu jambo hilo kunakofanywa na watuwachache katika jamii ili kuendeleza matendo yao maovu. Watuwanaweza kufuata imani potofu na zisizo na msingi wowote ilikukwepa ukweli kuhusu VVU na UKIMWI. Kwa mfano; imanikuwa mtu anawβ¦
Open printable article βπWatu wanasema kuwa unaweza kupona UKIMWI kwa kujamiiana na Albino. Hii ni kweli?
Watu wanaweza kuvumisha uongo wowote ili kupotoshaukweli na kufanya mambo yao maovu wanayoyapenda. Wapowanaosema kuwa unaweza kupona UKIMWI kwa kujamiiana nabikira, mtu mlemavu au Albino, hizi ni imani potofu na hazinamsingi wowote.Imani hii kuwa kwa kujamiiana na Albino mtu anaweza kuponaVVU / UKIMβ¦
Open printable article β