πBikira na ubikira
Ubikira ni nini?: Maana halisi ya neno βbikiraβ ni mwanamke au mwanaume ambaye hajawahi kabisa kujamii ana. Kujamii ana hapa i ina maana kwamba uume wa mwanaume unaingia katika uke wa mwanamke.Watu kadhaa wanasema kwamba kuwepo kwa kizinda, ambacho ni ngozi nyembamba laini i i iliyoko kwenye uke i iβ¦
Open printable article βπUbikira ni nini?
Maana halisi ya neno βbikiraβ ni mwanamke au mwanaume ambaye hajawahi kabisa kujamii ana. Kujamii ana hapa i ina maana kwamba uume wa mwanaume unaingia katika uke wa mwanamke.Watu kadhaa wanasema kwamba kuwepo kwa kizinda, ambacho ni ngozi nyembamba laini i i iliyoko kwenye uke i inayokaa kama kiwamβ¦
Open printable article βπMsichana ambaye hajawahi kujamiiana anaitwa bikira, je mvulana huitwaje?
Neno βbikiraβ ni mtu yeyote ambaye hajawahi kujamii ana maishani mwake, awe mwanamke au mwanaume.Zamani, watu walimtambua msichana bikira kwa njia ya kuhakikisha kwamba kile kiwambo chembamba ndani ya uke kipo. Lakini kwa sababu ngozi hii huweza kuchanika kwa njia nyingine zaidi ya kujamii ana, siyoβ¦
Open printable article βπJe, mvulana atajuaje kama msichana ni bikira? Na pia, msichana anaweza kujitambua vipi kama ni bikira?
Mvulana hawezi kuthibitisha ubikira wa msichana kwa njia ya kumwangalia wala kwa njia ya kumwingilia kimwili. Hii ni kwa sababu ubikira ni kutowahi kujamii ana na hautegemei kuwepo kwa kizinda ndani ya uke. Yaani msichana ambaye hajawahi kujamii ana, lakini ambaye kizinda chake kimepasuliwa kwa sabaβ¦
Open printable article βπKweye Bikra, Kizinda ni nini na kinawezaje kuharibika?
Kizinda ni kiwambo laini kinachokuwepo ndani ya uke. Kiwambo hiki kina tundu katikati i i ili kuwezesha damu ya hedhi kupita kiurahisi. Ukubwa na unene wa kiwambo hiki hutofautiana kati ya msichana na msichana. Wakati wa tendo la kwanza la ngono, huchanika na kwa wengi i i inasababisha kutokwa damu.β¦
Open printable article βπJe, kuna madhara kama mtu akikaa muda mrefu bila kufanya mapenzi?
Ukweli ni kwamba hakuna madhara yoyote ya kiafya ukikaa muda mrefu bila kujamii ana. Hakuna madhara yatakayokutokea kwenye sehemu zako za siri au katika sehemu nyingine ya mwili wako. Mwanaume au mwanamke akianza kujamii ana baada ya kukaa muda mrefu, atapata raha na starehe.Watu wengine wanasema kwβ¦
Open printable article βπJe, ni kweli kwamba mwanamke akikaa muda mrefu akiwa bikira ni shida sana kuvunja kizinda akijamiiana kwa mara ya kwanza?
Ile ngozi ndani ya uke i inabakia kuwa nyembamba na laini sana, hata mwanamke akiwa bikira katika umri mkubwa i inaweza kuchanika. Kwa hiyo hamna haja ya kuwa na wasiwasi wa kutoweza kuvunja kizinda ukisubiri muda mrefu kabla ya kujamii ana kwa mara ya kwanza.
Open printable article βπKumaliza ashiki au hamu ya kufanya mapenzi
Kwa vijana mara nyingine siyo rahisi kufahamu afanye nini mara anapopata ashiki (hamu) ya kutaka kujamii ana. Unaweza ukajaribu kujisahaulisha kwa kufanya mambo mengine kama kucheza michezo kujifu-nza, kujisomea, kuwasaidia wazazi kazi za nyumbani au kuungana na vijana wen-zako katika shughuli za viβ¦
Open printable article βπKatika tendo la kujamiiana kati ya mwanaume na mwanamke, yupi anayepata starehe zaidi?
Siyo rahisi kusema ni nani anayestarehe zaidi ya mwenziwe, kwa sababu starehe inayotokana na mwanamke na mwanaume kufanya mapenzi inategemea na watu wote wawili wanaoshiriki katika tendo hili.La msingi katika kujamii ana ni kwa mwanaume kumstarehesha mwanamke kadiri ya uwezo wake na kwa mwanamke kumβ¦
Open printable article βπJe, ni sahihi kuzungumza na wenzio/ marafiki juu ya uhusiano wangu wa kimapenzi?
Kama unavyohusisha rafiki zako katika mihemuko mingine, inaeleweka kama utataka kuwashirikisha katika uhusiano wako wa kimapenzi.Hii i ii inaeleweka kabisa, ali mradi i uheshimu usiri na msimamo wa mpenzi wako.Hii i ii ina maana kuwa utawahusisha marafiki zako wa karibu na siyo hadharani na pia ni vβ¦
Open printable article βπKwa nini watu wengine hupenda kujamiiana na watu wa jinsi sawasawa? mapenzi ya jinsia moja
Ni vigumu kutoa jibu kamili kwa nini hisia hii i ii inatokea kwa watu wengine, kwa sababu wataalamu bado wanalifanyia utafiti.Siku hizi, wataalamu wanafikiri kwamba kuvutiwa kimapenzi na jinsia ya aina moja kunasababishwa na mambo mengi, ambayo ni pamoja na maumbile au kwa kurithi. Vilevile jamii i β¦
Open printable article βπKufikia mshindo au kufika kileleni kwa mwanamke na mwanamme wakati wa kufanya mapenzi
Je, mwanamke anaweza kufikia mshindo? Ndiyo, mwanamke anaweza kufikia mshindo wakati wa kujamiiana. Dalili ya mwanamke kufikia mshindo katika kujamiiana ni ile hali ya pekee ya kujisikia vizuri kimwili. Tofauti na mwanaume, anapofikia mshindo mwanamke hakojoi kitu chochote. Kwa kawaida mwanaume anakβ¦
Open printable article βπJe, mwanamke anaweza kufikia mshindo (kufika kileleni)?
Ndiyo, mwanamke anaweza kufikia mshindo wakati wa kujamiiana. Dalili ya mwanamke kufikia mshindo katika kujamiiana ni ile hali ya pekee ya kujisikia vizuri kimwili. Tofauti na mwanaume, anapofikia mshindo mwanamke hakojoi kitu chochote.Kwa kawaida mwanaume anakojoa manii wakati wa kujamii ana anapofβ¦
Open printable article βπJe, kwa nini mwanamke akigongwa na uume kwenye uke yaani juu hutoa majimaji kupitia ukeni?
Kugusana kwa kutumia viungo vya uzazi ni njia mojawapo ya kuamsha hisia ya kujamii ana. Kama mwanamke anatoa majimaji baada ya kugusana na uume kwenye uke, i ina maana kwamba ameshikwa na ashiki kubwa. Majimaji hayo yanarahisisha uume kupenya ukeni. Chanzo cha majimaji hayo ni vifuko maalumu vilivyoβ¦
Open printable article βπNjia zipi zinaweza kumletea mwanamke mshindo haraka, na zipi zinamletea mwanaume mshindo haraka? Njia za kufika kileleni
Jambo la msingi kabisa ni kwamba wote wawili kuwa tayari kwa kujamii ana. Yaani kupendana na kujaliana sana, halafu kuwa tayari kwa tendo hilo kimwili, kimawazo na kiakili. Kutokuwa tayari kwa kufanya mapenzi, kwa mfano kwa sababu ya kuogopa ujauzito, inamzuia mtu yeyote kufikia mshindo.Kama wote waβ¦
Open printable article β