PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

Ujana na Makuzi | Mapenzi na Ngono Salama Β· 545

πŸ“„

Je, baada ya kutumia vidonge au sindano kwa muda mrefu, mwamamke akiacha kuzitumia hizo njia ataweza kupata mimba tena?

Vidonge na sindano zinazuia mimba kwa kuzuia yai lisipevuke. Akitumia njia hizi za kuzuia mimba, mwanamke anaona hedhi yake kama kawaida, lakini hakuna yai linalokuwa limepevuka kwa ajili ya kurutubishwa.Mara mwanamke akiacha kutumia vidonge, mayai hupevuka tena ndani ya kokwa na mwanamke huweza kup…

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, ni lazima kumeza vidonge vya kuzuia mimba siku zote, hata zile siku nisipojamiiana?

Ndiyo, vidonge vya kuzuia mimba ni lazima vimezwe kila siku hata kama hufanyi ngono siku hiyo. Kuna aina ya vidonge vya kuzuia mimba inayokuja katika pakiti yenye vidonge 21 na kuna inayokuja katika pakiti ya vidonge 28. Iwapo utapewa ile ya vidonge 21 utapumzika kunywa siku 7 katika mwezi. Iwapo ut…

Open printable article β†’
πŸ“„

Njia ya kuzuia mimba inayofaa kwa kijana anayeanza kujamiiana

Kila njia ya kuzuia mimba ina faida na hasara zake. Kwa mfano faida ya vidonge ni kwamba kama mwanamke atavimeza kila siku, hakuna haja ya kufanya chochote wakati wa kujamiiana. Matatizo ya vidonge ni kwamba mwanamke anahitaji kufikiria kuvinywa kila siku. Kondomu, kwa mfano ina faida kwamba pamoja …

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kutumia Kondomu

Wakati wa kutumia kondomu ya kiume ni muhimu kufuata hatua zifuatazo. Hakikisha kwamba pakiti inayoihifadhi haijapasuka na kwamba tarehe ya kuisha muda wake haijafika.Uume ukishadinda, fungua pakiti kwa uangalifu. Minya sehemu ya juu kutoa hewa ndani ya kondomu wakati wa kuvalisha uume, ili kuzuia k…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kutumia kondomu ya kike

Kondomu ya kike inafahamika kwa jina la β€žcareβ€œ na β€œLady Peteta”. Hapa Tanzania hazipatikani sehemu zote na bei yake ni kubwa kidogo.Kondomu ya kike huingizwa ukeni kabla ya kujamiiana. Kama unatumia kondomu ya kike, chana kwa uangalifu pembezoni mwa pakiti. Kondomu ina pete mbili za plastiki na uwaz…

Open printable article β†’
πŸ“„

Nani anavalisha kondomu ya kiume, je ni mwanamke au mwanaume?

Katika kufanya mapenzi iwe mwanaume anayeweka kondomu uumeni au iwe mwanamke anayeshugulika kuweka kondomu hii , itategemea na makubaliano ya hao wanaohusika. Wote wawili wanaweza kuivalisha , na pia wote wawili wanaweza kuinunua dukani.

Open printable article β†’
πŸ“„

Ukubwa wa kondomu

Kuna aina kondomu za ukubwa mbalimbali. Kwa wastani ukubwa wa kondomu unafaa kwa wanaume watu wazima karibu wote na vijana balehe waliokomaa. Mara chache sana, kondomu ni ndogo kwa wanaume fulani, lakini wakati mwingine wanaume wanaringa tu kuwa na uume mkubwa au wanatumia kisingizio tu kwa sababu h…

Open printable article β†’
πŸ“„

Kupasuka kwa kondomu

Kupasuka kwa kondomu mara nyingi kunasababishwa na kondomu kutowekwa vizuri uumeni. Ni muhimu sana kutoa hewa ndani ya kondomu wakati wa kuvalisha uume. Kwa sababu ile hewa ndani ya kondomu inaweza ikasababisha kondomu kupasuka wakati wa kujamiiana.Vilevile siyo vizuri kupaka mafuta kama vaselini ju…

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, mbegu za kiume zinaweza kupita kwenye kondomu?

Hapana, mbegu za kiume haziwezi kupita kwenye kondomu. Kondomu zimetengenezwa ili kuzuia mbegu za kiume kufikia ukeni wakati wa kujamiiana. Kwa sababu shahawa haziwezi kupita kwenye kondomu, kondomu ni njia nzuri ya kuzuia mimba pamoja na maambukizi ya magonjwa ya zinaa pamoja na maambukizi ya virus…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mafuta kwenye kondomu

Mafuta yanayowekwa kwenye pakiti ya kondomu ni mafuta maalum na yana kazi ya kuhifadhi kondomu mpaka siku yake ya kutumiwa. Bila mafuta haya kondomu isingekuwa imara, ingekauka na isingekuwa nyumbufu vya kutosha. Vilevile mafuta hayo yanalainisha mpira ili kurahisisha uvaaji na matumizi yake. Kwa wa…

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, mwanamke anajisikiaje akijamiiana na mwanaume aliyevaa kondomu au aliye β€œpeku”?

Hatuwezi kusema mwanamke husikia raha gani akijamiiana na mwanaume aliyevaa kondomu au na mwanaume asiyevaa kondomu. Kila mtu ana upendeleo wake, lakini jambo la msingi katika kujamiiana ni hisia, hali ya kuelewana katika mapenzi na kiwango cha msisimko.Wanawake wengine wanapendelea kujamiiana na mw…

Open printable article β†’
πŸ“„

Nifanyeje kujiepusha na vishawishi vya mpenzi wangu vinavyoweza kunifanya nisitumie kondomu?

Mara nyingine siyo rahisi kujiepusha na vishawishi vya kujamiiana bila kutumia kondomu kutokana na msukumo wa mpenzi wako. Lakini kumbuka kwamba siyo rahisi kumtambua mwenye magonjwa ya zinaa na mara nyingi huwezi kujua kama mpenzi wako hana ugonjwa wowote wa zinaa au hata virusi vya UKIMWI.Huwezi k…

Open printable article β†’
πŸ“„

Magonjwa ya zinaa yanavyoenea

Magonjwa ya zinaa husababishwa na vijidudu vya magonjwa na huambukizwa kwa kukutana kimwili na mtu mwenye vijidudu hivyo.Katika Tanzania magonjwa haya yameenea sana haswa kwa vijana.. Hivyo kama una wasiwasi wewe au mpenzi uliyekutana naye kimwili kuwa na ugonjwa kama huo, muhimu mwende kupimwa. Mag…

Open printable article β†’
πŸ“„

Magonjwa ya zinaa na dalili zake

Kuna magonjwa mengi tofauti ya zinaa, lakini yale ambayo yameenea sana ni kisonono, kaswende, klamdia, kankroidi, utando mweupe , Virusi vya UKIMWI na UKIMWI. Shida kubwa ya magonjwa mengi ya zinaa ni kwamba dalili zake hazionekani kwa urahisi na kama yasipotibiwa kikamilifu yanaweza kuleta madhara …

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, magonjwa ya zinaa yanaweza kuenea ukitoa uume kabla ya kumwaga mbegu?

Ndiyo, magonjwa ya zinaa yanaweza kuenea, hata ukitoa uume kabla ya kumwaga mbegu. Mwenye magonjwa ya zinaa mara nyingi ana michubuko midogo au vidonda sehemu za siri na wadudu wabaya wanaweza kutoka na kuingia mwilini kwa urahisi. Hivyo, maambukizi ya magonjwa ya zinaa yanaweza kutokea hata kabla y…

Open printable article β†’