PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

Pembejeo Bora za Kilimo: Bidhaa za Kilimo Β· 6

πŸ“„

BRAVO 20EC (Imidacloprid 20EC): Dawa nzuri ya wadudu shambani na kwenye majengo. Inaua mchwa, utitiri, kimamba na vipepeo weupe

Ina Imidacloprid 20EC Hii ni dawa maalumu Kwa ajili ya kuua wadudu shambani na kwenye majengo/majumbani. Dawa hii inaua wadudu Kama vile kimamba, utitiri mweusi, mabaka meusi chini ya Majani, vipepeo weupe na wadudu wanaofyonza maua. Dawa hii ina nguvu na uwezo wa kufanya kazi Muda mrefu kuulinda mm…

Open printable article β†’
πŸ“„

Indomectin 200SC: Ni dawa maalumu kwa ajili ya kudhibiti wadudu sugu shambani - Kiboko ya Kantangaze

Hii ni dawa maalumu Kwa ajili ya kudhibiti wadudu wasumbufu shambani kwako. Imetengenezwa katika Ubora wa Hali ya Juu Ili kukuhakikishia matokeo mazuri unapotumia dawa hii. Bidhaa hii inaletwa Kwako na Kampuni ya BareFoot International Limited. Wauzaji na wasambazaji wa bidhaa Bora za Kilimo Tanzani…

Open printable article β†’
πŸ“„

MasterKutu 72WP: Dawa Maalumu ya KUTIBU na KUKINGA kutu, kuvu na ukungu kwenye nyanya, hoho, tikiti, viazi, nk

Master Kutu ni dawa ya kutibu na kukinga magonjwa ya ukungu, kuvu na Kutu katika mazao mbalimbali kama vile nyanya, vitunguu, tikiti, viazi, maharage, mboga mboga nakadhalika Master Kutu inatibu aina zote za ukungu na kuvu bila kuchagua. Master Kutu ina viambato viwili vikuu, Mancozeb and Cymoxanil,…

Open printable article β†’
πŸ“„

BareFoot Sprayer: Pampu imara ya kunyunyiza dawa - Mabomba ya kupulizia dawa mepesi kubeba na yenye nguvu

BareFoot Sprayer ni Pump Imara na yenye Nguvu Maalumu kwa ajili ya kunyunyiza/kupuliza dawa mashambani, kwenye mifugo nakadhalika. BareFoot Sprayer imetengenezwa kwa Muundo mzuri kwa kurahisisha ubebaji na upigaji wadawa. BareFoot Sprayer ina dumu imara lisilopasuka kirahisi na linaloweza kudumu kwa…

Open printable article β†’
πŸ“„

CleanUp 48 SL: Dawa Maalumu ya Kuua Magugu sumbufu. Dawa ya kuandalia Shamba. Haichagui Aina ya Majani.

Ina Glyphosate isopropylamine salt 480g/L Hii ni dawa maalumu Kwa ajili ya kuulia Magugu. Ni dawa ya kuandalia Shamba. Dawa hii inaangamiza Magugu Aina zote shambani. Sio Kwa ajili ya palizi. Imetengenezwa katika Ubora wa Hali ya Juu Ili kukuhakikishia matokeo mazuri unapotumia dawa hii. Bidhaa hii …

Open printable article β†’
πŸ“„

Mbolea Maalumu za Kunyunyiza (Boosters): Kwa ajili ya kukupa mazao mengi na yenye ubora - Chaguo la kwanza la wakulima Tanzania

MasterGrower na MasterFruiter ni aina mbili za mbolea tofauti zinazowekwa kwa nyakati tofauti.- MasterGrower inawekwa kabla ya mmea kuanza kuweka maua na matunda.- MasterFruiter inawekwa wakati Mmea unaweka maua na matunda. Master Grower Master Grower ni mbolea (booster/busta) yenye potassium, phosp…

Open printable article β†’