PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

Dondoo za Mapishi na Lishe Β· 234

πŸ“„

Jinsi ya kupika Biskuti Za Njugu/Matunda Makavu (Rock Cakes)

ViambaupishiUnga 4 VikombeSukari 10 OunceSiagi 10 OunceMdalasini ya unga 2 vijiko vya chaiMatunda makavu/njugu (kama lozi,Zabibu, maganda ya chungwa,Cherries na kadhalika 4 ounceMaziwa ya maji 4 Vijiko vya supuJinsi ya kuandaa na kupika1) Chukua siagi na sukari koroga na mixer mpaka iwe kama cream.2…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Visheti Vyeupe Na Vya Kaukau

VIPIMO:Unga wa VishetiUnga 4 Vikombe vya chaiSiagi 1 Kikombe cha chaiHiliki Β½ Kijiko cha chaiNAMNA YA KUTAYARISHA NA KUPIKA1. Tia unga kwenye bakuli pamoja na siagi na hiliki.2. Changanya vizuri isiwe na madonge.3. Tia maji baridi vikombe viwili kasoro vya chai changanya ukiona bado ongeza maji kido…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Donati

Viamba upishiUnga2 Magi (kikombe kibuwa cha chai)Sukari1/3 Kikombe cha chaiMayai 5Siagi 4 Vijiko vya chakulaHamira 1 Kijiko cha chakulaBaking Powder 1 Kijiko cha chaiVanilla 1 Kijiko cha chaiHiliki zilizosagwa 1 Kijiko cha chaiSukari ya laini ya unga(icing sugar) 1 MagiJinsi ya kuandaa na kupikaUnav…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Biskuti Za Kuchoveya Chokoleti

ViambaupishiUnga 300gmSiagi 225gmIcing Sugar 60gmChokoleti iliyokoza (Dark Chocolate) 225gmVanilla 2 kijiko cha chaiYai 1Baking Powder Β½ kijiko cha chaiNjugu za vipande Β½ kikombe cha chaiNjugu zilizosagwa ΒΌ kikombe cha chaiJinsi ya kuandaa na kupika1. Piga sukari na siagi katika mashine ya keki mpak…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Visheti

Viamba upishiUnga 2 VikombeSamli au shortening ya mboga 2 Vijiko vya supuMaziwa ΒΎ KikombeIliki KiasiMafuta ya kukarangia KiasiShiraSukari 1 KikombeMaji ΒΎ KikombeVanila Β½ Kijiko cha chaiZafarani (ukipenda) KiasiJinsi ya kupika na kuandaaKatika kisufuria pasha moto maziwa na wakati huo huo chemsha Sam…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Biskuti Za Ufuta Na Jam

Viamba upishiUnga 2 ViwiliSukari ya kusaga 1/4 KikombeSiagi 250 gmsJam kisiaUfuta KisiaVanilla 1 kijiko cha chaiJinsi ya kuandaa na kupika1. Tia kwenye mashine ya kusaga (blender) au mashine ya keki, siagi, yai, sukari na vanilla uchanganye hadi ichanganyike vizuri.2. Tia baking powder, na unga na c…

Open printable article β†’
πŸ“„

Bisikuti Za Kokoa (Cocoa Biscuits)

ViambaupishiSiagi 100gmUnga wa kaukau (cocoa powder) 2 Vijiko vya supuMaziwa mazito (condensed milk) Moja kikopo (397gm)Bisikuti za Mary 2 PakitiNjugu Β½ KikombeKaratasi la plastikiJinsi ya kuandaa na kupika1. Vunjavunja bisikuti zote packet mbili ziwe vipande vidogo vidogo.2. Pasha moto siagi mpaka …

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Labania Za Maziwa

Viamba upishiMaziwa ya unga 2 vikombeSukari 3 vikombeMaji 3 vikombeUnga wa ngano Β½ kikombeMafuta Β½ kikombeIliki kiasiJinsi ya kuandaa na kupikaPaka sinia mafuta kabla ya kupika labaniaKatika sufuria chemsha maji na sukari pamoja na iliki mpaka inate vizuriKisha mimina mafuta korogaHalafu mimina unga…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Biskuti Ya Keki Kavu kwa kizungu Shortcake

Viamba upishiUnga 2 Magi (vikombe vya chai)Sukari iliyosagwa 2/3 Magi (kikombe cha chai)Siagi 220 gUnga wa mchele Β½ MagiYai 1Vanilla 1 kijiko cha chaiJinsi ya kuandaa na kupika1. Changanya vitu vyote hivyo kwenye bakuli mpaka unga ushikamane.2. Paka mafuta treya ya kuchomea kisha utandaze kwenye tre…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Visheti Vya Kastadi Vya Shepu Ya Kombe

Viamba upishiUnga wa ngano 1 KiloSiagi ΒΌ kiloMayai 2Kastadi (custard) 3 vijiko vya supuBaking powder 1 kijiko cha chaiMaziwa 1 Β½ gilasiMafuta Ya kukaangia kiasi katika karaiMaandalizi na upikajiWeka unga katika bakuli kubwa kisha changanya na unga wa kastadi na baking powder.Tia siagi uchanganye viz…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Slesi Za Chokoleti Na Karameli

Viamba upishiUnga 1 Magi (vikombe vya chai)Sukari ya browni Β½ MagiSiagi iliyoyayushwa 125 gNazi iliyokunwa Β½ MagiMjazo wa karameli (Caramel filling)Syrup 1/3 kikombe cha chaiSiagi iliyoyayushwa 125 gMaziwa matamu ya mgando 2 vikopo (condensed milk)Mjazo wa chokoleti (Chocolate filling)Chokoleti 185 …

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi – Kisamvu cha Karanga

Mapishi yetu leo ni kisamvu cha kuchanganya na karanga. Karibu.MahitajiMajani ya kisamvuKaranga nusu kikombekitunguu kimojanyanya mbilikaroti mojamafuta na chumvi kiasiMatayarisho1. Osha kisamvu chako vizuri kisha katakata vipande vidogo vidogo2. Unaweza kutwanga kwa kutumia kinu au kuchemsha kidogo…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika kisamvu bila nazi

Kisamvu ni aina ya mboga ya majani inayopatikana kwa wingi na kwa urahisi katika mikoa takriban yote nchini Tanzania.Pia aina hii ya mboga hupikwa katika mapishi ya aina mbalimbali kulingana na mahitaji ya mpishi.Aina hii ya mboga kama zilivyo mboga zingine za majani ni nzuri na muhimu kwa afya ya b…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Chicken Curry

Leo wapendwa nitaenda kuzungumzia mapishi ya mchuzi wa kuku (chicken curry).MahitajiKuku mzimaNyanya kubwa 3Karoti mbiliPilipili hohoKotmiriTangawiziKitunguu majiKitunguu saumu kidogoNdimuMafuta ya kupikiaChumvi (pilipili ukipenda)Matayarisho1. Menya vitunguu saumu na tangawizi na uvitwange pamoja.2…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi – Fish Finger

Leo tunaangalia mapishi ya fish finger ( sijui kama unaweza kusema kidole cha samaki)!, Ni mlo mzuri hasa kuliwa kama kitafunio au mboga ya pembeni.Mahitaji500g Fileti ya samaki120g Chenga za mkate100g Unga wa nganoMayai 2Ndimu 1Kitunguu saumu 1KotmiriMafuta ya kupikiaMatayarishoMenya vitunguu saumu…

Open printable article β†’