πMapishi ya Wali Wa Kichina Wa Kuku Na Mboga Mchanganyiko
VipimoMchele wa basmati/pishori - 4 vikombe vikubwa (mugs)Kuku - 2Vitnguu vya kijani (sprin onions) katakata - 5 micheMaharage machanga (spring beans) katakata - kiasi kujaza mug mojaPilipili boga la (capsicum) katakata - 1Karoti katakata vipande virefu - 1Kitunguu thomu (garlic) kuna (grate) - 1 kuβ¦
Open printable article βπMapishi ya Boga La Nazi
VipimoBoga la kiasi - nusu yakeTui zito la nazi 1 Β½ gilasiSukari Β½ kikombeHiliki Β½ kijiko cha chaiNamna Ya Kutayarisha Na KupikaMenya boga kisha katakata vipande vya kiasi.Weka katika sufuri tia maji kiasi ya kuchemshia na kuwiva bila ya kubakia maji mengi.Changanya tui na sukari na hiliki kisha mimβ¦
Open printable article βπJinsi ya kutengeneza Biriani Ya Nyama Ya Ng'ombe
MahitajiNyama - 2 Ratili (LB)Chumvi - kiasiMafuta - 1 KikombeSamli - Β½ KikombeKitungu (Kata virefu virefu) - 3 VikubwaNyanya (kata vipande) - 2Nyanya kopo - 1 Kijiko cha chakulaKitunguu saumu(thomu/galic) - 1 Kijiko cha chakulaTangawazi - 1 Kijiko cha chakulaPilipili mbichi iliyosagwa - 1 Kijiko chaβ¦
Open printable article βπMapishi ya Pilau Ya Adesi Za Brown Karoti Na Mchicha Kwa Samaki Wa Salmon
VipimoMchele vikombe 3Karoti 1 ikune (grate)Mchicha katakata kiasiAdesi za brownKitunguu katakata (chopped)Supu ya kitoweo chochote upendayo au vidonge vya supu 2Garama masala (bizari mchanganyiko) kijiko 1 cha kuliaSamli ΒΌ kikombeChumvi kiasiVipimo Vya Samaki Wa SalmonSamaki wa Salmon vipande 4 vikβ¦
Open printable article βπMapishi ya Wali Wa Mboga Na Samaki Wa Pink Salmon
VipimoMchele 3 vikombeMboga mchanganyiko 1 kikombeSamaki wa Pink Salmon 5 -6 vipandeKitunguu saumu(thomu/galic) na tangawizi iliyosagwa 1 kijiko cha supuChumvi kiasiPilipili manga ya unga Β½ kijiko cha chaiPilipili nyekundu ya unga Β½ kijiko cha chaiNdimu zilokamuliwa 2Parsley kavu (aina ya kotmiri) 2β¦
Open printable article βπMapishi ya Pilau Ya Nyama Na Mtindi
MAHITAJINyama iliyokatwa vipande - 1 Ratili(LB)Mchele Basmati - 2 MagiChumvi ya wali - kiasiKitungu kilichokatwa katwa - 1 kikubwaKitunguu saumu(thomu/galic) na tangawizi - 1 kijiko cha supuMtindi (yogurt) - Β½ kikombeMchanganyiko wa bizari ya pilau ya tayari - 2 vijiko vya supuMafuta kidogo yakukaanβ¦
Open printable article βπMapishi ya Ugali Kwa Mchuzi Wa Nyama, Mchicha, Maharage Na Chatini Ya Pilipili Mbichi
Vipimo Vya Mchuzi Wa NyamaNyama ya ngβombe vipande vidogo - 2lbNyanya - 1Kitunguu Kilichoktwa katwa - 1Mafuta - 2 vijiko vya supuPaprika (bizari ya masala ya rangi) - Β½ kijiko cha chaiKidonge cha supu - 1Chumvi - KiasiNdimu - KiasiNamna Ya Kutayarisha Na KupikaOsha nyama kwa chungio ili itoke maji. β¦
Open printable article βπMapishi ya Biriyani Ya Kuku
VipimoMrowanishe kuku na viungo hivi kwa muda mdogo tuKuku (Mkate kate Vipande) - 4 LBKitunguu saumu(thomu/galic) na Tangawizi - 2 Vijiko vya supuChumvi - kiasiPilipili nyekundu ya unga - 1 Kijiko cha supuBizari ya manjano (Haldi au Tumeric) - 1 Kijiko cha chaiBizari ya pilau ya powder (Jeera) - 1 Kβ¦
Open printable article βπMapishi ya Biriani Ya Tuna
MAHITAJIMchele Basmati - Mugs 2 Β½Vitunguu (Vikubwa kiasi) - 3Tuna - Vibati 3Carrot - 2 kubwaTomatoe paste - 1 kikopoKitunguu saumu(thomu/galic) - 2 Vijiko vya supuTangawizi - 2 Vijiko vya supuUzile (Bizari ya pilau ya unga) (cummin powder )(Jeera) - Β½ Kijiko cha supuMdalasini - Β½ Kijiko Cha supuNAMNβ¦
Open printable article βπMapishi ya Ugali Kwa Mchuzi Wa Nazi Wa Nyanya Chungu/Mshumaa/Ngogwe Na Bamia, Mboga Ya Matembele Na Samaki Wa Kukaanga
Vipimo Vya UgaliUnga wa mahindi - 4Maji - 6 kiasi kutegemea na aina ya ungaNamna Ya Kutayarisha Na KupikaWeka maji katika moto.Tia unga kidogo katika kibakuli, koroga ufanye uji.Maji yakichemka tia kwenye maji uwe uji.Ujii ikiiva punguza kidogo tia unga kidogokidogo na usonge ugali. Ikiwa unga ni mgβ¦
Open printable article βπMapishi ya Pilau Ya Mchicha
VIPIMOMchele - 3 VikombeMchichaMafuta - 1/2 kikombeVitunguu maji - 2 vikubwaNyanya - 1Viazi - 3Kitunguu saumu(thomu/galic) iliyosagwa - 3 vijiko vya supuVidonge vya supu (Stock cubes) - 3Jiyrah (cummin powder) - 1 kijiko cha chaiPilipili manga ya unga - 1 kijiko cha chaiHiliki ya unga - 1/2 kijiko cβ¦
Open printable article βπMapishi ya wali Wa Nazi Kwa Mchuzi Wa Nyama Ngβombe Na Mchicha
Wali Wa MpungaMchele wa mpunga - 4 VikombeTui la nazi - 6 vikombeChumvi - kiasiNamna Ya Kutayarisha Na KupikaOsha mchele kishaBandika tui jikoni likichemka tia mchele na chumvi.Funika uchemke, tui likikauka wacha moto mdogomdogo hadi wali uive ukiwa tayari. Ikiwa unatumia mkaa unapalia juu yake.Mchuβ¦
Open printable article βπJinsi ya kutengeneza Pilau Ya Kuku
MahitajiMchele wa basmati - 3 vikombeKuku - Β½Viazi - 4Vitunguu - 2Kitunguu saumu(thomu/galic) iliyosagwa - 2 vijiko vya supuBinzari ya pilau nzima - 1 Kijiko cha chakulaBinzari ya pilau - Β½ kijiko cha chaiPilipili manga nzima - Β½ kijiko cha chaiKarafuu nzima - 8Iliki nzima - 6Mdalasini nzima - 5 vijβ¦
Open printable article βπMapishi ya Wali Wa Mboga Na Mchuzi Wa Kuku wa Tanduri
Vipimo vya Wali:Mchele basmati - 3 magi (kikombe kikubwa)Mchanganyiko wa mboga za barafu(Frozen vegetables) - 1 Β½ mugChumvi - kiasiMafuta - 3 vijiko vya chakulaKitungu maji (kilichokatwa) - 1Bizari ya pilau (nzima) - 1 kijiko cha chakulaNamna Ya kutayarisha na kupika:Osha mchele uroweke kwenye maji β¦
Open printable article βπMapishi ya Wali, Mchuzi Wa Nazi Wa Samaki Nguru
MahitajiMchele - 3 vikombeSamaki Nguru (king fish) - 5 vipandeVitunguu - 2Nyanya/tungule - 4Mafuta - 3 vijiko vya supuTui la nazi zito - 2 vikombePilipili mbichi - 5-7Kitunguu saumu(thomu/galic) - 7-9 chembeKotmiri - 1 msongo (bunch)Bizari ya samaki - 1 kijiko cha chaiNdimu - 2-3Chumvi - kiasiNamna β¦
Open printable article β