PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

Dondoo za Mapishi na Lishe Β· 234

πŸ“„

Mapishi ya Viazi vya nyama

MahitajiViazi (potato) 1 kiloNyama ya ng'ombe 1/2 kiloNyanya ya kopo iliyosagwa 1/2 tinVitunguu maji 2Tangawizi/ swaum 1 kijiko cha chaiHoho 1Curry powder 1 kijiko cha chaiPilipili ya unga 1/2 kijiko cha chaiLimao 1/2ChumviCorianderMafuta ya kupikiaMatayarishoSafisha na katakata nyama ktk vipande vi…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Mihogo ya nazi na kuku

MahitajiMihogo kilo 1Kidali cha kuku 1 kikubwaNyanya 1 kubwaKitunguu maji 1 cha wastaniSwaum/tangawizi i kijiko cha chaiNazi kopo 1curry powder 1 kijiko cha chaiBinzari manjano 1/2 kijiko cha chaiLimao 1/2Pilipili 1Chumvi kiasiMatayarishoSaga pamoja nyanya, kitunguu na swaum/ginger pamoja na vimaji …

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya samaki aina ya salmon

MahitajiSalmon fillet 2Potatao wedge kiasiLettice kiasiCherry tomatoLimao 1SwaumChumviOlive oilMatayarishoMmarinate samaki na chumvi, swaum na nusu ya limao kisha muweke pembeni, baada ya hapo washa oven kisha tia potato wedge zikisha karibia kuiva anza kumpika samaki, tia mafuta kidogo sana kama ki…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Mseto wa choroko

MahitajiMchele 2 vikombe vya chaiChoroko kikombe 1 na 1/2Nazi kopo 1Swaum 1 kijiko cha chakulaKitunguu 1 kikubwaBinzari nyembamba 1 kijiko cha chaiChumviMafutaMatayarishoLoweka choroko usiku mzima, pindi ukianza kupika loweka mchele nusu saa kisha katika sufuria kubwa, kaanga vitunguu vikianza kuwa …

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Maini ya ng'ombe

MahitajiMaini (Cow liver) 1/4 kiloVitunguu (chopped onion) 2Nyanya (chopped tomato) 1Kitunguu swaum/tangawizi (ginger /garlic paste) 1 kijiko cha chaiMafuta ya kupikiaChumviCorianderCurry powder 1 kijiko cha chaiLimao (lemon) 1/4Pilipili (scotch bonnet ) 1MatayarishoSafisha maini na ukate vipande vi…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Mlenda wa bamia na nyanya chungu

MahitajiBamia (okra) 20Nyanya chungu (garden eggs) 5Magadi soda (Bicabonate soda) 1/4 ya kijiko cha chaiNyanya (fresh tomato) 1Chumvi (salt) kidogoPilipili 1/4MatayarishoOsha bamia, nyanya chungu na nyanya kisha vikatekate katika vipande vidogovidogo. Baada ya hapo vitie kwenye sufuria na vitu vyote…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Dagaa wa nazi, nyanya chungu na bamia

MahitajiDagaa waliokaushwa (dried anchovy 2 kikombe cha chai)Bamia (okra 5)Nyanya chungu (garden egg 5)Tui la nazi (coconut milk 1 kikombe cha chai)Nyanya (fresh tomato 2)Kitunguu (onion 1)Curry powder 1/2 ya kijiko cha chaiTurmeric powder 1/2 kijiko cha chaiLimao (lemon 1/2)Chumvi (salt kiasi)Pilip…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Maharage

MahitajiMaharage (beans 2 vikombe vya chai)Nazi (coconut milk kiasi)Vitunguu maji (onion 1kikubwa)Nyanya (fresh tomato 1)Kitunguu swaum (garlic paste 1/4 kijiko cha chai)Chumvi (salt kiasi)Curry powder 1 kijiko cha chaiMafuta (vegetable oil)MatayarishoChemsha maharage mpaka yaive kisha yaweke pemben…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Samaki wa kupaka

MahitajiSamaki (Tilapia 2)Nyanya ya kopo (Tomato tin 1)Kitunguu (Onion 1)Tangawizi (ginger kiasi)Kitunguu swaum (garlic clove )Mafuta (Vegetable oil)Pilipili (scotch bonnet pepper 1)Tui la nazi zito (coconut milk 2 vikombe vya chai)Curry powder 1/2 cha kijiko cha chaiBinzari nyembamba ya unga (groun…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Maharage na spinach

MahitajiMaharage yaliyochemshwa kiasiSpinach zilizokatwa kiasiVitunguu maji 2Nyanya 1/2 kopoSwaum/Tangawizi 1 kijiko cha chakulaCurry powder 1 kijiko cha chaiOlive oilChumviMatayarishoKaanga vitunguu vikianza kuwa vya brown tia tangawizi/swaum kisha nyanya. Pika mpaka nyanya ziive kisha tia curry po…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Mchuzi wa kambale

MahitajiKambale 2Nazi kopo 1Nyanya kopo 1Vitunguu 2Curry powder 1 kijiko cha chaiTurmaric 1/2 kijiko cha chaiBinzari nyembamba ya unga 1/2 kijiko cha chaiSwaum/ tangawizi 1 kijiko cha chakulaGiligilani kiasiLimao 1/2ChumviOlive oilMatayarishoLoweka samaki katika maji ya moto kwa muda wa muda wa nusu…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Firigisi za kuku

MahitajiFiligisi (chicken gizzard) 1/2 kiloCarrot iliyokwanguliwa 1Nyanya 1/2 kopoVitunguu maji 1 kikubwaTangawizi/swaum 1 kijiko cha chaiHoho 1 iliyokatwakatwaLimao 1/2ChumviCurry powder 1/2 kijiko cha chaiTurmaric 1/2 kijiko cha chaiChilli powder 1/4 kijiko cha chaiMafutaChopped corianderMatayaris…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Kabichi

MahitajiKabichi 1/2 kiloNyanya ya kopo 1/2Kitunguu 1Curry powder 1/2 kijiko cha chaiChumviOlive oilMatayarishoKwanza kabisa bandua magada ya juu ya kabichi, kisha ioshe na uikaushe maji baaba ya hapo katakata kabichi (inapendeza zaidi kama ikikatwa nyembamba) kisha saga pamoja nyanya na kitunguu. Ba…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Maini ya kuku

MahitajiMaini ya kuku 1/2 kiloVitunguu vikubwa 2Hoho 1Pilipil 1Limao 1/2Swaum/tangawizi 1 kijiko cha chaiCurry powder 1/2 kijiko cha chaiMafuta ya kupikiaMatayarishoSafisha maini weka pembeni. Baada ya hapo kaanga vitunguu,swaum na tangawizi pamoja (hakikisha vitunguu visiwe vya brown), kisha tia ma…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Tambi za sukari

MahitajiTambi (spaghetti 1/2 ya packet)Mafuta (vegetable oil)Sukari (sugar 1/2 kikombe cha chai)Hiliki (cardamon 1/2 kijiko cha chai)Chumvi (salt 1/2 kijiko cha chai)Tui la nazi (coconut oil 1 kikombe cha chai)Maji kiasiMatayarishoTia mafuta kiasi kwenye sufuria kisha ibandike jikoni (katika moto wa…

Open printable article β†’