PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

Dondoo za Mapishi na Lishe Β· 234

πŸ“„

Jinsi ya kupika Mkate

MahitajiUnga wa ngano ( self risen flour) kikombe 1 na 1/2Hamira (yeast) 1 kijiko cha chaiSukari (sugar) 1 kijiko cha chakulaChumvi (salt) 1/2 kijiko cha chaiSiagi iliyoyeyushwa (melted butter) 1 kijiko cha chakulaMaji ya uvuguvugu ( warm water) kiasiMatayarishoChanganya vitu vyote katika bakuli kub…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya Kupika skonzi

MahitajiUnga wa ngano (self risen flour 2 vikombe vya chai)Sukari (sugar 1/2 kijiko cha chakula)Chumvi (salt 1/2 kijiko cha chai)Hamira (yeast 1/2 kijiko cha chakula)Baking powder 1/2 kijiko cha chaiSiagi (butter 1/4 ya kikombe cha chai)Maziwa (fresh milk 3/4 ya kikombe cha chai)(unaweza kutumia maj…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Chapati za Kusukuma kitaalamu

MahitajiUnga wa ngano (plain flour 1/2 of kilo)Siagi (butter vijiko 2 vya chakula)Yai (egg 1)Chumvi (1/2 ya kijiko cha chai)Hiliki (ground cardamon 1/4 ya kijiko cha chai)Maji ya uvuguvugu (warm water)Mafuta (vegetable oil)MatayarishoWeka unga wa ngano katika bakuli la kukandia, kisha tia chumvi na …

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Mkate wa sinia

MahitajiUnga wa mchele (rice flour 2 vikombe vya chai)Sukari (sugar 3/4 ya kikombe cha chai)Hamira (dried yeast 3/4 kijiko cha chakula)Hiliki (cardamon powder 1/2 kijiko cha chai)Ute wa yai 1(egg white)Tui la nazi (coconut milk kikombe 1 na 1/2 cha chai)Mafuta (vegetable oil)MatayarishoChanganya ung…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Chai ya maziwa, mandazi, uyoga na mayai

MahitajiMandazi (angalia jinsi ya kupika katika recipe ya mandazi ya nyuma)Uyoga (mashroom kikombe 1 cha chai)Mayai (eggs 4)Hoho (greenpepper 1/4 ya hoho)Nyanya (fresh tomato 1)Kitunguu (onion 1/4 ya kitunguu)Chumvi (salt)Mafuta (vegetable oil)Hiliki nzima (cardamon 4)Masala ya chai (tea masala 1 ki…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Chicken Satay

MahitajiKidali cha kuku 1 (chicken breast)Kitunguu maji 1/2 (onion)Kitunguu swaum/tangawizi (garlic and ginger paste) 1 kijiko cha chaiLimao ( lemon)1/4 kijiko cha chaiCurry powder 1/4 kijiko cha chaiPilipili ya unga kidogo (Chilli powder)Coriander powder 1/4 kijiko cha chaiSoy sauce 1kijiko cha cha…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi mazuri ya Chapati za maji

MahitajiUnga wa ngano (plain flour) ( 1/4 kilo)Yai (egg 1)Sukari (sugar 1/4 kikombe cha chai)Chumvi (salt 1/4 kijiko cha chai)Hiliki (ground cardamon 1/4 kijiko cha chai)Maji kiasiMafuta (vegetable oil)MatayarishoTia unga kwenye bakuli, kisha weka sukari, chumvi, hiliki na maji kiasi. Kisha koroga m…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi mazuri ya Uji wa ulezi

MahitajiUnga wa ulezi (millet flour vijiko 3 vya chakula)Maziwa fresh (milk 1/2 kikombe)Sukari (sugar 1/4 ya kikombe cha chai)Siagi (butter kijiko 1 cha chakula)Maji (vikombe 4 vya chai) (serving ya watu wawili)MatayarishoChemsha maji ya uji, Kisha koroga unga na maji ya baridi kiasi na uchanganye k…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika vitumbua inavyotakiwa

MahitajiUnga wa mchele ( Vikombe 2 vikubwa)Sukari (Nusu ya kikombe kikubwa)Hamira ( Nusu ya kijiko cha chai)Hiliki (Nusu ya kijiko cha chai)Tui la nazi ( Kikombe kimoja kikubwa)Unga wa ngano (Vijiko viwili vya chakula)Mafuta ya kuchomea (Vegetable oil)MatayarishoUnachanga unga, sukari, hamira, hilik…

Open printable article β†’