PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

Dondoo za Mapishi na Lishe Β· 234

πŸ“„

Mapishi ya Mitai

VIAMBAUPISHIUnga wa ngano - magi 2 (vikombe vikubwa)Hamira kijiko 1 cha chaiSukari Vijiko 2 vya supuMaziwa ΒΎ MagiSiagi Vijiko 2 vya supuMafuta ya kukaangia kiasiVIAMBAUPISHI:SHIRASukari ΒΎ KikombeMaji ΒΎ KikombeIlliki ya unga kiasiZafarani kiasiJINSI YA KUPIKAKatika bakuli, changanya vipimo vyote pamo…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kutengeneza Biskuti Za Ufuta Na Jam

VIAMBAUPISHIUnga vikombe 2Sukari ya kusaga 1/4 KikombeSiagi 250 gmsJam kisiaUfuta kisiaVanilla 1 kijiko cha chaiMAPISHITia kwenye mashine ya kusaga (blender) au mashine ya keki, siagi, yai, sukari na vanilla uchanganye hadi ichanganyike vizuri.Tia baking powder, na unga na changanya kwa mkono vizuri…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kutengeneza Biskuti Za Tende Na Ufuta

MAHITAJIUnga - 3 Vikombe vya chaiBaking powder - 1 Β½ Vijiko vya chaiSukari - 1 Kikombe cha chaiSiagi - 1 Kikombe cha chaiMayai - 2Maji - kiasi ya kuchanganyiaTende - 1 Kikombeufuta - ΒΌkikombeMAPISHIChanganya unga, siagi, baking powder, na sukari katika bakuliTia mayai, na maji kidogo uchanganye vizu…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kutengeneza Visheti Vyeupe Na Vya Kaukau

VIAMBAUPISHIUnga - 4 Vikombe vya chaiSiagi - 1 Kikombe cha chaiHiliki Β½ Kijiko cha chaiVIAMBAUPISHI:SHIRASukari - 2 Vikombe vya chaiMaji - 1 Kikombe cha chaiVanilla Β½ Kijiko cha chai(cocoa ukipenda kugawa visheti aina mbili) 2 Vijiko vya chai.JINSI YA KUTENGENEZATia unga kwenye bakuli pamoja na siag…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Eggchop

MahitajiMayai yaliochemshwa 4Nyama ya kusaga robo kiloKitunguu swaumTangawiziLimaoChumviPilipiliBreadcrambsCarry powderBinzari nyembamba ya ungaYai moja bichiMafutaMatayarishoMarinate nyama na pilipili, kitunguu swaum, tangawizi, limao, chumvi, carry powder, binzari nyembamba na breadcrambs pamoja. …

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Viazi vitamu na kachumbari

MahitajiViazi utamu 3Nyanya 2 kubwaKitunguuTangoLimaoChumviPilipiliMafuta (vegetable oil)MatayarishoMenya viazi na kisha vikate katika vipande. Tia mafuta kwenye chuma cha kukaangia, yakisha pata moto tia viazi nauviache vikaangike mpaka upande mmoja uwe wa brown na kisha geuza upande wa pili na upi…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Mitai

VIAMBAUPISHIUnga wa ngano 1 1/2 KikombeBaking powder 1 Kijiko cha chaiBaking soda ΒΌ Kijiko cha chaiChumvi Β½ kijiko cha chaiSukari 1 kijiko cha supuHamira 1/2 Kijiko cha supuYai 1Maziwa Β½ KikombeMafuta ya kukaangiaVIAMBAUPISHI:SHIRASukari 1 KikombeMaji Β½ KikombeIliki au Mdalasini ΒΌ kijiko cha chai (y…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Bagia dengu

MahitajiUnga wa dengu (gram flour 1/4 kilo)Kitunguu kilichokatwa (onion 2)Hoho (green pepper 1/2)Pilipili iliokatwakatwa (scotch bonnet pepper 1/2)Barking powder (1/4 ya kijiko cha chai)Chumvi (salt)Kitunguu swaum (garlic cloves 2)Mafuta ya kukaangia (vegetable oil)Binzari manjano (turmeric 1/4 ya k…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Mandazi Matamu

MahitajiUnga wa ngano (nusu kilo)Sukari (Kikombe 1 cha chai)Chumvi (nusu kijiko cha chai)Hamira (kijiko kimoja cha chai)Yai (1)Maziwa ya unga (vijiko 2 vya chakula)Butter (kijiko 1 cha chakula)Hiliki (kijiko1 cha chai)Maji ya uvuguvugu ya kukandiaMafuta ya kuchomeaMatayarishoTia unga kwenye bakuli k…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Kachori

MahitajiViazi mbatata (potato 4 vya wastani)Nyama ya kusaga (mince beef 1 kikombe cha chai)Kitunguu (onion 1 cha wastani)Carrot 1Hoho (green pepper 1/2)Kitunguu swaum (garlic)Tangawizi (ginger )Binzari nyembamba (ground cumin 1/2 kijiko cha chai)Binzari manjano (turmeric 1/2 kijiko cha chai)Curry po…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya bagia na chatney ya machicha ya nazi

MahitajiKunde (Ila mimi nilitumia Nigerian brown beans 1/2 kilo)Vitunguu maji (onion 2)Pilipili (scotch bonnet pepper 2)Vitunguu swaum (garlic 4 cloves)Chumvi (salt)Barking powder (1/2 kijiko cha chai)Machicha ya nazi (grated coconut 1 kikombe cha chai)Limao (lemon 1)Mafuta (vegetable oil)Matayarish…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Chapati za maji za vitunguu

MahitajiUnga wa ngano (plain flour) 1/4Kitunguu kikubwa (chopped/slice onion) 1Yai (egg) 1Chumvi (salt)Mafuta (cooking oil)MatayarishoTia unga, chumvi na maji kiasi katika bakuli kisha koroga mpaka madonge yote yaondoke. Baada ya hapo tia yai na vitunguu kisha koroga tena mpaka mchanganyiko wote uch…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Sambusa za nyama

MahitajiNyama ya kusaga (minced beef 1/4 kilo)Vitunguu maji vilivyokatwakatwa(diced onion 2 vikubwa )Kitunguu swaum/ tangawizi (garlic and ginger paste 1 kijiko cha chakula)Chumvi (salt)Pilipili iliyokatwakatwa (scotch bonnet 1)Limao (lemon 1/2)Curry powder 1/2 kijiko cha chaiCinnamon powder 1/4 kij…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Mandazi ya nazi

MahitajiUnga wa ngano (self risen flour) vikombe 2 na1/2Sukari (sugar) 1/2 kikombeHamira (yeast) 1/2 kijiko cha chaiHiliki (cardamon powder) 1/4 kijiko cha chaiTui la nazi (coconut milk) kiasiBaking powder 1/4 kijiko cha chaiSiagi (butter)1 kijiko cha chakulaMafuta ya kukaagiaMatayarishoChanganya un…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Half cake (Keki)

MahitajiUnga wa ngano (self risen flour) kikombe 1na 1/2Sukari (sugar) 1/4 kikombeBarking powder 1/2 kijiko cha chaiMagadi soda (bicarbonate soda) 1 kijiko cha chaiMafuta 2 vijiko vya chaiMafuta ya kukaangiaMaji ya uvuguvugu kiasiMatayarishoChanganya unga na vitu vyote (kasoro mafuta ya kuchomea) ki…

Open printable article β†’