PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

📗📘📙ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

Dondoo za Mapishi na Lishe · 234

📄

Jinsi ya kutengeneza Bisikuti Za Kaukau Na Kahawa (Cocoa Coffee Biscuits)

MAHITAJIMaji baridi – kikombe 1Biskuti za kawaida – paketi 2Kaukau (cocoa) – vijiko 3 vya kuliaKahawa ya unga – kijiko 1 cha kuliaNjugu mchanganyiko zilokatwakatwa – kikombe 1Sukari – kiasi upendavyoMAANDALIZIChanganya maji na kaukau na kofi na sukariKatakata biskuti kisha tia paketi moja na nusu uc…

Open printable article →
📄

Jinsi ya kutengeneza Rock-cakes Za Njugu Na Matunda Makavu

MahitajiUnga - 4 VikombeSukari -10 OunceSiagi - 10 OunceMdalasini ya unga - 2 vijiko vya chaiMatunda makavu/njugu (kama lozi, Zabibu, maganda ya chungwa, Cherries na kadhalika - 4 ounceMaziwa ya maji - 4 Vijiko vya supuMaandaliziChukua siagi na sukari koroga na mixer mpaka iwe kama cream.Tia vanilla…

Open printable article →
📄

Jinsi ya kutengeneza Biskuti Za Cornflakes

MAHITAJIUnga - 1 KikombeSukari ya kusaga - 3/4 KikombeSiagi - 125 gmsYai - 1Baking powder - 1/2 kijiko cha chaiZabibu kavu - 1/2 kikombeCornflakes iliyovunjwa (crushed) - 2 VikombeVanilla - 1 kijiko cha chaiMAANDALIZITia kwenye mashine ya kusaga (blender) au mashine ya keki, siagi, yai na vanilla uc…

Open printable article →
📄

MAPISHI YA LADU

VIAMBAUPISHIUnga - 6 vikombeSamli - ½kikombeBaking Powder - ½kijiko cha chaiMaziwa- 1 kikombeMaji -Kisia kiasi kama unga bado mzitoVIAMBAUPISHI VYA SHIRASukari - 5 vikombeMaji - 2 1/2 vikombeVanilla - 2 vijiko vya chaiRangi ya orange - 1 kijiko cha chaiIliki ya unga - 1 Kijiko cha chaiMAANDALIZIChan…

Open printable article →
📄

Jinsi ya kutengeneza Biskuti Za Tangawizi

MAHITAJIUnga - 2 VikombeCocoa ya unga - 1 Kijiko cha supuSukari ya hudhurungi - 1 KikombeSiagi - ¾ KikombeYai - 1Molasses - ¼ KikombeBaking soda - 2 vijiko vya chaiMdalasini wa unga - 1 kijiko cha chaiTangawizi mbichi - 1 kijiko cha supuKarafuu ya unga - ½ kijiko cha chaiChumvi ½ kijiko cha chaiVani…

Open printable article →
📄

Jinsi ya kutengeneza Biskuti Za Tende

MAHITAJIUnga - 4 Vikombe vya chaiSukari ya laini (icing sugar) - 1 Kikombe cha chaiBaking powder - 2 Vijiko vya chaiMayai - 2Siagi au margarine - 1 Kikombe cha chaiVanilla -1 Kijiko cha chaiMaziwa ya kuchanganyia - kiasiTende iliyotolewa koko - 1 Kikombeufuta (sasame) kiasi 1/4 kikombeMAANDALIZIChan…

Open printable article →
📄

Namna ya kutengeneza Visheti Vya Nazi Na Njugu (Sudani)

VIAMBAUPISHIUnga - 3 mug za chaiSamli - ½ mug ya chaiMaziwa - 1¼ mug ya chaiBaking powder - 2 vijiko vya chaiVIAMBAUPISHI VYA MJAZONjugu zilizomenywa vipande vipande - 2 vikombe cha chaiSukari - ½ kikombe cha chaiIliki - 1 kijiko cha chaiNazi iliyokunwa - 2 vikombe vya chaiVIAMBAUPISHI VYA SHIRASuka…

Open printable article →
📄

JINSI YA KUANDAA VILEJA

MAHITAJIUnga wa mchele - 500gSamli - 250gSukari - 250gHiliki iliyosagwa - 1/2 kijiko cha chaiArki (rose flavour) - 1/2 kijiko cha chaiBaking powder - 1 kijiko cha chaiMayai - 4Maji ya baridi - 1/2 kikombe cha chaiMAANDALIZISaga sukari iwe laini kiasi, changanya unga wa mchele, baking powder, hiliki …

Open printable article →
📄

Jinsi ya kupika Baklawa Za Pistachio Na Lozi

VIAMBAUPISHIPhilo (thin pastry) manda nyembamba - 1 paketiSiagi - ¼ Kikombe cha chaiBaking powder - 2 Vijiko vya chaiPistachio/ lozi - 2 vikombe vya chaiMafuta - ½ KikombeVIAMBAUPISHI VYA SHIRASukari - 2 Vikombe vya chaiMaji - 2 ½ Vikombe vya chaindimu - ½ kijiko cha chaiJINSI YA KUANDAATafuta treya…

Open printable article →
📄

Jinsi ya kutengeneza biskuti za Matunda Makavu Na Cornflakes

VIAMBAUPISHIUnga - 4 VikombeSukari - 1 KikombeBaking powder 1 kijiko cha chai mfutoSiagi - 454 gmsMayai - 2Matunda makavu (tende, zabibu, lozi) - 1 KikombeVanilla - 2 Vijiko vya chaiCornflakes - ½ kikombeJINSI YA KUANDAAChanganya sukari na siagi katika mashine ya keki (cake mixer) mpaka iwe laini (c…

Open printable article →
📄

Jinsi ya kupika Biskuti Nyembamba (Wafer Bar) Za Chokoleti Na Njugu

MAHITAJIWafer Powder/gram wafer (unga wa biskuti uliosagwa wa tayari) - vikombe 2Maziwa ya Mgando Matamu ya Kopo - 2 vikombeNazi iliyokunwa - ½ KikombeChokoleti vipande vipande - 1 KikombeNjugu vipande vipande - ½ KikombeSiagi - 227 gMAPISHIYeyusha siagi motoni kisha changanya na unga wa wafer acha …

Open printable article →
📄

Mapishi ya Biskuti Za Mayai

VIAMBAUPISHIUnga 3 VikombeSukari ya unga (icing sugar) 1 KikombeSiagi 250 gmMayai 3Vanilla 2 Vijiko vya chaiBaking powder 1 Kijiko cha chaiJINSI YA KUPIKAKoroga siagi na sukari katika mashine ya keki (cake mixer) mpaka iwe laini (creamy).Tia mayai na vanilla koroga mpaka mchanganyiko uwe laini.Tia u…

Open printable article →
📄

Mapishi ya Biskuti Za Kastadi

VIAMBAUPISHIUnga 6 VikombeSukari ya kusaga 2 vikombeSiagi 500 gmBaking powder 1 Kijiko cha chaiKastadi ½kikombeMAPISHIKoroga siagi na sukari katika mashine ya keki (cake mixer) mpaka iwe laini (creamy).Mimina mchanganyiko uliopiga kwa mashine kwenye bakuli.Tia unga na baking powder na Kastadi.Kata u…

Open printable article →
📄

Mapishi ya Biskuti Za Jam

VIAMBAUPISHIUnga 2 ½ gilasiSukari ¾ gilasiSamli 1 gilasiMayai 2Baking powder 2 kijiko vya chaiVanilla 1 ½ kijiko cha chaiMaganda ya chungwa 1MAPISHITia kwenye machine ya kusagia (blender) mayai, sukari, vanilla, samli na maganda ya chungwa, saga vizuri.Tia unga kwenye bakuli pamoja na baking powder,…

Open printable article →
📄

Mapishi ya visheti vitamu

VIAMBAUPISHIUnga - Vikombe 2Samli au shortening ya mboga - 2 Vijiko vya supuMaziwa ¾ KikombeIliki - KiasiMafuta ya kukarangia KiasiVIAMBAUPISHI :SHIRASukari - 1 KikombeMaji ¾ KikombeVanila ½ Kijiko cha chaiZafarani (ukipenda) - KiasiJINSI YA KUPIKAKatika kisufuria pasha moto maziwa na wakati huo huo…

Open printable article →