πJinsi ya kupika Viazi Vya Nazi Kwa Nyama
MahitajiViazi - 3lbNyama - 1lbKitunguu - 1Nyanya - 2Kitunguu saumu(thomu/galic) - 1 kijiko cha chaiManjano - Β½ kijiko cha chaiCurry powder - Β½ kijiko chaiNyanya kopo - 1 kijiko cha chaiPilipili ya unga - kiasi upendavyoChumvi - kiasiKidonge cha supu - 1Tui la nazi - 1 kopoau zaidiMtindi ukipenda - 3β¦
Open printable article βπJinsi ya kuandaa Pilau ya sosi ya soya, nyama na mboga
MahitajiNyama isiyokuwa na mifupa - 1 Β½ Lb(ratili)Mchele wa Basmati (rowanisha) - 3 MagiVitunguu maji - 2Mchanganyiko wa mboga za barafu - 1 Magi(karoti, mahindi, njegere)Pilipili Mbichi - 3Pilipili mboga kijani na nyekundu - 1Pilipili manga - Β½ kijiko cha chaiChumvi - KiasiSosi ya soya (soy sauce) β¦
Open printable article βπJinsi ya kuandaa Muhogo, Samaki Wa Kuchoma Na Bamia
MahitajiMihongo 3 - 4Tui - 1000 mlChumvi - 1 kijiko cha chaiKitunguu maji kilokatwakatwa - 1Nyanya mshumaa - 3-4Pilipili mbichi ndefu - 2-3Pilipili boga - 2Namna Ya Kutayrisha Na KupikaMenya mihogo kisha ikate kate vipande inchi tatu hadi nne, kila kipande kigawe kitoke vipanda vinne. Toa mzizi katiβ¦
Open printable article βπMapishi ya Haliym Ya Nyama Mbuzi -Bokoboko La Pakistan
MahitajiNyama ya mbuzi au ngβombe ya mafupa - 2 LBMchanganyiko wa dengu (hadesi, mchele, chooko, ngano, dengu n.k au nunua ya tayari iliyokwisha changanywa - 2 VikombeKitungu maji (vikate vidogo) - 1Mafuta - ΒΌ KikombeNyana kata ndogo ndogo - 1Kitunguu saumu(thomu/galic) na tangawazi iliyosagwa - 1 Kβ¦
Open printable article βπJinsi ya kupika Pilau ya Mpunga Na Nyama Ya Ngβombe
MahitajiMpunga - 4 vikombeNyama - 1 kilo mojaKitunguu maji - 3Mbatata/viazi - 7 vidogodogoKitunguu saumu(thomu/galic) na tangawizi ilosagwa 3 vijiko cha supuBizari nzima/ya pilau/uzile/cumin - 3 vijiko vya supuMdalasini - 3 vipandeHiliki - 7 punjePilipili manga nzima - 1 kijiko cha supuChumvi kiasiMβ¦
Open printable article βπMapishi ya Ndizi na Nyama Ya Ngβombe
MahitajiNdizi mbichi - 10-12Nyama ngβombe - 1 kilo mojaKitunguu maji - 2Nyanya/tungule - 2Kitunguu saumu(thomu/galic) - 7Tangawizi mbichi - 1 kipandeNdimu - 2 kamuaChumvi - kiasiMafuta - 3 vijiko vya supuTui la nazi - 3 vikombeNamna Ya Kutayarisha Na KupikaSaga kitunguu thomu na tangawiz mbichi.Wekaβ¦
Open printable article βπJinsi ya kuandaa Biriani Na Sosi Ya Nyama Ya Mbuzi
MahitajiNyama Ya Mbuzi - 1 KiloMchele - 4 MagiVitunguu - 3Nyanya - 2Nyanya kopo - 3 vijiko vya chaiKitunguu saumu(thomu/galic) na tangawizi iliyosagwa - 2 vijiko vya supuPilipili mbichi iliyosagwa - 1 kijiko cha supuGaram Masala (mchanganyiko wa bizari) - 2 vijiko vya supuHiliki - 1 kijiko cha chaiCβ¦
Open printable article βπMapishi ya Pilau Ya Kuku Kwa Mchele Mpya
MahitajiMchele - 1 kiloKuku - 1Vitunguu - 3Viazi/mbatata - 5Jira/bizari ya pilau nzima - 3 vijiko vya supuMdalasini - 1 kijitiPilipili manga - 1 kijiko cha supuHiliki - 3 chembeKarafuu - 5 chembeKitunguu saumu(thomu/galic) kilosagwa - 3 vijiko vya supuTangawizi mbichi ilosagwa - 3 vijiko vya supuMafβ¦
Open printable article βπMapishi ya Wali Wa Kukaanga Kwa Nyama Mbuzi Ilichomwa Ya Sosi Ya Ukwaju
Vipimo Vya WaliMchele Basmati - 4 vikombeVitunguu vya majani (Spring onions) - 5 michePilipili mboga nyekundu (capsicum) - 1Pilipili mboga manjano (capscimu) - 1Nyanya kubwa - 1Supu ya kidonge - 2Siagi - 2 vijiko vya supuChumvi - kiasiNamna Ya Kutayarisha Na KupikaOsha mchele kisha roweka kiasi masaβ¦
Open printable article βπMapishi ya Ndizi Za Supu Ya Nyama Ya Ngβombe
MahitajiNdizi - 15 takriibanNayma ya ngβombe - 1 kiloKitunguu maji - 1Nyanya - 3Kitunguu saumu(thomu/galic) kilosagwa - 1 kijiko cha supuTangawizi mbichi ilosagwa - 1 kijiko cha supuPilipili mbichi ilopondwa - 2Jira/cummin/bizari ya pilau ilosagwa - 1 kijiko cha chaiNdimu - 1Chumvi - kiasiNamna Ya Kβ¦
Open printable article βπMapishi ya Wali Wa Karoti Na Kuku Wa Kukaanga
Vipimo Vya WaliMchele wa Basmati/Pishori - 1 kilo mojaVitunguu maji - 3Karoti - 2Siagi - 3 vijiko vya supuKidonge cha supu (stock) - 1 kimojaChumvi - kiasiNamna Ya Kutayarisha Na KupikaΓsha mchele uroweke kama saa moja au mbiliKatakata vitunguu vipande vidogodogo (chopped) weka kando.Kwaruza karoti β¦
Open printable article βπMapishi ya Wali Wa Nazi Wa Adesi, Bamia Na Mchuzi Wa Kamba
MahitajiMchele - 2 vikombeAdesi -1 Β½ vikombeNazi ya unga - 1 KikombeMaji (inategemea mchele) - 3Chumvi - KiasiVipimo Vya Bamia:Bamia - Β½ kiloVitunguu maji - 2 vya kiasiNyanya iliyosagwa - 1 kubwaNyanya ya kopo - 2 vijiko vya chaiPilipili manga - Β½ kijiko cha chaiMafuta - 3 vijiko vya chaiNamna Ya Kuβ¦
Open printable article βπMapishi ya Borhowa
MahitajiDaal (lentils) nyekundu au/na kijani - 1 Kikombe kikubwaBizari ya manjano ya unga - 1/2 Kijiko cha chaiPili pili ya unga - 1/2 kijiko cha chaiChumvi - KiasiMaji ya ndimu - 3 Vijiko vya supuKitunguu - 1 kiasiKitunguu saumu(thomu/galic) - 1 Kijiko cha chaiBizari ya unga (cummin powder) - 1 Kijβ¦
Open printable article βπMapishi ya wali kuku wa Kisomali
Mahitaji ya waliMchele - 3 vikombeVitunguu (viliokatwa vidogo vidogo) - 2Mafuta - 3 vijiko vya supuKitunguu saumu(thomu/galic) na tangawizi iliyosagwa - 1 kijiko cha chaiBizari ya pilau - 1 kijiko cha supuMdalasini - 1 kijitiHiliki - 3 chembePilipili manga nzima - chembe chacheSiagi - Vijiko 2 vya sβ¦
Open printable article βπMapishi ya Biriani Ya Samaki Nguru, Njegere Na Snuwbar (UAE)
MahitajiMchele wa basmati - 4 cupsSamaki nguru (king fish) - 7 vipande au zaidiKitunguu - 5Nyanya/tungule - 3Njegere - 1 kikombeSnuwbar (njugu za pine) - 1 kikombeViazi - 2 kata kata mapande makubwaTangawizi mbichi - 1 kijiko cha supuKitunguu saumu - 1 kijiko cha supuPilipili nyekundu - 1 kijiko chaβ¦
Open printable article β