PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

Dondoo za Mapishi na Lishe Β· 234

πŸ“„

Jinsi ya kutengeneza Nangatai

MAHITAJIUnga wa ngano - 2 - 2 ΒΌ VikombeSiagi - 1 Β½ KikombeSukari - 1 KikombeYai - 1Vanilla -Tone mojaBaking Powder -kijiko 1 cha chaiChumvi - Kiasi kidogo (pinch)Unga wa Kastadi - 2 Vijiko vya supuMATAYARISHOChanganya vitu vyote isipokuwa unga.Tia unga kidogo kidogo mpaka mchanganyiko uwe sawa.Kisha…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kuandaa Vileja Vya Karanga

MAHITAJIMayai 5Sukari 450gm (1 lb)Unga wa Ngano 1 kgSiagi 450gm (1 lb)Baking powder Β½ Kijiko cha chaiUnga wa Custard Vijiko 2 vya chakulaKaranga za kusaga 250gmJam Β½ kikombeMAANDALIZIChukua bakuli la kiasi, weka sukari na siagi.Changanya sukari na siagi kwa kutumia mashine ya kukorogea keki (cakemix…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Wali Wa Samaki Na Mboga

VIPIMO VYA SAMAKISamaki wa sea bass vipande - 1 1/2 LB (Ratili)Kitunguu saumu(thomu/galic) -1 Kijiko cha supupilipili mbichi iliyosagwa - 1 Kijiko cha chaiBizari ya manjano au ya pilau - 1/2 Kijiko cha chaiPaprika ya unga au pilipili ya unga - 1 kijiko cha chaiChumvi - KiasiNdimuMafuta - 3 Vijiko vy…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kutengeneza Biskuti Za Chumvi

VIAMBAUPISHIUnga - 3 Vikombe vya chaiSiagi - 250 gmsBaking powder - 3 Vijiko vya chaiMayai - 2Chumvi - 1 kijiko cha chaiMaziwa - 1/2 KikombePilipili manga ya unga 1 Kijiko cha chaiMAANDALIZIKatika bakuli la kusagia (blender) au mashine ya keki, tia siagi, chumvi na mayai, piga mpaka iwe kama malai (…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kuandaa Vileja Vya Tambi

MAHITAJITambi (vermiceli Roasted) Mifuko 2Siagi - 4 Vijiko vya supuMaziwa (condensed) 300MlLozi zilizokatwakatwa - 1 kikombeZabibu kavu - 1 KikombeArki (essence) - 1 Kijiko cha supuMAPISHIWeka karai kwenye moto kiasiTia siagiTia tambi uzikaange usiachie mkoni mpaka ziwe rangu ya dhahabu.Weka lozi na…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kutengeneza Slesi Za Chokoleti Na Karameli

VIAMBAUPISHIUnga - 1 Magi (vikombe vya chai)Sukari ya browni - Β½ MagiSiagi iliyoyayushwa - 125 gNazi iliyokunwa - Β½ MagiMJAZO WA KARMEL (Caramel filling)Syrup - 1/3 kikombe cha chaiSiagi iliyoyayushwa - 125 gMaziwa matamu ya mgando - 2 vikopo (condensed milk)MJAZO WA CHOKOLETI (Chocolate filling)Cho…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kutengeneza Labania Za Maziwa

MAHITAJIMaziwa ya unga - 2 vikombeSukari - 3 vikombeMaji - 3 vikombeUnga wa ngano - Β½ kikombeMafuta - Β½ kikombeIliki - kiasiMAPISHIPaka sinia mafuta kabla ya kupika labaniaKatika sufuria chemsha maji na sukari pamoja na iliki mpaka inate vizuriKisha mimina mafuta korogaHalafu mimina unga wa ngano na…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kutengeneza Biskuti Ya Keki Kavu (Shortcake)

VIAMBAUPISHIUnga - 2 Magi (vikombe vya chai)Sukari iliyosagwa - 2/3 Magi (kikombe cha chai)Siagi - 220 gUnga wa mchele - Β½ MagiYai -1Vanilla - 1 kijiko cha chaiMAANDALIZIChanganya vitu vyote hivyo kwenye bakuli mpaka unga ushikamane.Paka mafuta treya ya kuchomea kisha utandaze kwenye treya ya 20cm k…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Kidheri - Makande

MahitajiNyama (kata vipande vidogodogo) - Β½ kiloMaharage - 3 vikombeMahindi - 2 vikombeKitunguu - 1Nyanya - 2Kabichi lililokatwa - 2 vikombeKitunguu saumu(thomu/galic) - 1 kijiko cha chaiVidonge vya supu - 2Chumvi - kiasiMafuta -1au 2 vijiko vya chakulaNamna YakutayarishaChemsha mahindi mpaka yawive…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Koshari Na Sosi Ya Kuku

Vipimo Vya KoshariMchele - 2 vikombeMakaroni - 1 kikombeDengu za brown - 1 kikombeVitunguu vilokatwakatwa (chopped) - 2Nyanya ziilokatwakatwa (chopped) - 4Nyanya ya kopo - 1 kijiko cha supuKitunguu saumu(thomu/galic) ilosagwa - 1 kijiko cha supuPilipili mbichi ilosagwa - 1 kijiko cha chaiPilipili ma…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Ndizi Mbichi Za Nyama Ng'ombe

VipimoNdizi mbichi - 10Nyama - kilo 1Nazi ya kopo - 1Chumvi - 1 Kijiko cha chakulaNdimu - 1Bizari ya manjano - 1 Kijiko cha chaiPili pili mbichi - 3Nyanya (tomatoes) - 2Kitunguu maji - 1Kitunguu saumu(thomu/galic) na Tangawizi iliyosagwa - 1 Kijiko cha chakulaNamna ya Kutayarisha Na KupikaKata nyama…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya viazi mbatata Vya Nazi Kwa Nyama Ya Ng'ombe

MahitajiMbatata / viazi - 2 kiloNyama ng’ombe - Β½ kiloKitunguu maji - 2Tungule/nyanya - 2Nazi /tui zito - 2 vikombeKitunguu saumu(thomu/galic) ilosagwa - 1 kijiko cha supuTangawizi mbichi ilosagwa - 1 kijiko cha supupilipili shamba/mbichi ilosagwa - kiasiMdalasini - 1 kipandeBizari ya manjano - Β½ ki…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Pilau Ya Nyama ya Kusaga, Adesi Za Brauni Na Zabibu

MahitajiMchele wa Par boiled au basmati - 5 vikombeNyama kondoo/mbuzi ya kusaga - 1 kikombeKitunguu - 2Kitunguu saumu (thomu/galic) - 7 chembeAdesi za brauni (brown lentils) - 1 kikombeZabibu - 1 kikombeBaharaat/bizari mchanganyiko - 1 kijiko cha supuChumvi - kiasiPilipilii manga - Β½ kijikoJiyra/biz…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kutengeneza Muhogo Wa Nazi Na Samaki Wa Kukaanga

MahitajiMuhogo - 3Tui La Nazi - 2 vikombeChumvi - kiasiPilipili mbichi - 2Mafuta - 1 kijiko mojaKitunguu maji - 1 kidogoNamna Ya Kutayarisha Na KupikaChambua muhogo ukatekate au tumia iliyo tayari.Chemsha muhogo katika sufuria kwa maji kidogo na chumvi, funika uive muhogo.Karibu na kukauka maji tia …

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Bokoboko La Kuku

MahitajiNgano nzima (shayiri) - 3 VikombeKuku - Β½ (3 LB takriban)Thomu na tangawizi iliyosagwa - 1 kijko cha supuPilipili manga ya unga - Β½ kijiko cha chaiJiyrah (cumin/bizari ya pilau) - Β½ kijiko cha chaiChumvi - kiasiKidonge cha supu - 1Samli ya moto - Β½ kikombeNamna Ya Kutayarisha Na KupikaRoweka…

Open printable article β†’