πFaida na jinsi ya kutumia mbegu ya Parachichi kiafya
Leo nimekuletea matumizi ya mbegu ya parachichi yenyewe yaani ile inayokuwa katikati ya tunda la parachichi.Kwanza mbegu ya parachichi huweza kuimarisha kinga za mwili kutokana na kuwa na kirutubisho kiitwacho 'antioxidants' hii ni kutokana mbegu hiyo na kuwa na zaidi ya asilimia 70 ya kirutubisho hβ¦
Open printable article βπFaida ya kunywa maji yenye limao au ndimu kila siku
Watalam mbalimbali wa afya wanasema ya kwamba kwa kila siku ni vyema unywe maji ya ndimu ili uweze kujitibu magonjwa yafuatayo;Unachotakiwa kufanya ni;Weka maji yenye joto kidogo (vuguvugu) katika glasi au kikombe , kata limao au ndimu vipande viwili na kamua kipande kimoja tu ndani ya glasi yenye mβ¦
Open printable article βπFaida za Korosho Kiafya
Korosho zina faida hizi zifuatazo;1. Zinakinga Maradhi ya Saratani Haswa kwenye matumbo mapana.2. Korosho zinasaidia Afya ya moyo kufanya kazi vizuri.3. Korosho zinasaidia Kuzifanya nywele na ngozi ya mwili kuwa na Afya nzuri.4. Korosho zinasaidia mifupa yako kuwa imara na afya nzuri.5. Korosho ni nβ¦
Open printable article βπFaida za kula karanga mbichi
Karanga ni muhimu sana katika afya ya mwili wa binadamu. Kiukweli karanga siyo chakula cha kupuuziwa iwapo utajua faida zake kama nitakavyokujuza leo katika makala haya.1. Kwanza kabisa karanga husaidia katika kutibu magonjwa ya moyo.Kama ilivyokuwa kwa korosho, karanga nazo ni chanzo kizuri cha mafβ¦
Open printable article βπFaida za kula Karoti kiafya
Asilimia kubwa tunapenda kutumia karoti katika kuunga katika mboga ya nyama na si kuila karoti kama karoti. wataalamu wanashauri ili uwe na afya bora unatakiwa ule karoti sita kwa wiki au moja kwa siku. Unaweza kula karoti ya kuchemshaa,juisi au mbichi.Zifuatazo ndizo faida za kutumia karoti;Β·Karotiβ¦
Open printable article βπFaida za kula mayai asubuhi
Mayai ni kitu kilichozoeleka na kinachopatikana kwa gharama nafuu. Kutokana na kuzoeleka huku watu wengi wamekuwa wakipuuza umuhimu au nafasi ya mayai katika afya zao. Pengine kupuuza huku kunatokana na mazoea au ukosefu wa elimu juu ya faida zinazopatikana kutokana na ulaji wa mayai.Zifuatazo ndizoβ¦
Open printable article βπFaida za kula ukwaju
Ukwaju ni tunda maarufu sana ambalo hupatikana katika maeneo yenye uoto wa kitropiki. Kwa kingereza hujulikana kama tamarind, na kwa kitaalamu (botanical name) huitwa tamarindus indica, waarabu huita tamru alhind. Katika baadhi ya maeneo hutumiwa kama kiungo katika mboga.Ukwaju umetunukiwa viambata β¦
Open printable article βπFaida za kula uyoga kiafya
Uyoga una vitamini na aina nyingi na madini. Virutubisho vilivyothibitishwa kuwemo kwenye uyoga ni pamoja na Vitamin B2, B3, B5, B6, B Complex pamoja na madini ya Potasiamu na Phosphorus.Virutubisho hivyo ni muhimu kwenye mwili wa binadamu katika kutoa na kuimarisha kinga ya kupambana na βwavamiziβ β¦
Open printable article βπFaida za kula tunda la apple (tufaa)
Tunda asili yake ni sehemu za Mashariki mwa Europe na pia Magharibi mwa Asia, na tunda hili linajulikana kwa miaka ya zamani mno katika miji ya Old China, Babulon na Egypt. Tunda hili hutumiwa na lina faida kubwa katika mwili wa mwanaadamu. Lina dawa ya maradhi tofauti:Apple hutibu AnaemiaApple linaβ¦
Open printable article βπFaida za kutumia maji ya uvuguvugu na asali
Ili uweze kuwa na siku nzuri basi unashauriwa kuanza siku yako kwa kutumia mchanganyiko wa maji ya uvuguvugu, asali mbichi, tangawizi, pamoja na limao.Unashauriwa kutumia mchangayiko huu nyakati za asubuhi mara tu unapoamka ili kupata faida zifuatazo;1. Husaidia kuyeyusha mafuta mwilini hivyo husaidβ¦
Open printable article βπFaida za kunywa juisi ya ubuyu
Mungu ameumba miti na mimea kwa ajili ya binadamu. Kila mti au mmea una makusudio yake. Mbuyu ni miongoni mwa miti yenye faida nyingi na maajabu mengi. Vitu vyote vilivyomo kwenye mbuyu vinatumika kama chakula au dawa kwa faida ya binadamu.Faida za kunywa juisi ya UbuyuUnga wa ubuyu unaelezwa kuwa nβ¦
Open printable article βπFaida za ulaji wa Peasi
Peasi ni tunda ambalo limekuwa halithaminiwi licha ya kuwa na faida lukuki katika mwili wa binadamu. Tunda hilo ambalo kwa umbo linafanana na tufaa (apple), lina faida nyingi kwa binadamu iwapo atalitumia mara kwa mara.Tunda hili limekuwa adimu kutokana na kutostawi katika maeneo mengi hivyo watu weβ¦
Open printable article βπFaida za matumizi ya Ukwaju kiafya
Faida kuu za ukwaju ni kama ifuatavyo:Huondoa sumu MwiliniChanzo kizuri cha viua sumu mwilini 'antioxidants' ambavyo huzuia Saratani (cancer)Una Vitamin B na CChanzo cha Vitamini B na C vile vile "carotentes"Huondoa homaHushusha joto la mwili na kuondosha homa, hasa homa ya malaria na homa ya matumbβ¦
Open printable article βπHizi ndizo faida za kiafya za kuota jua
Kuna mambo ambayo huwa tunayachukulia ya kawaida na wala hatuko tayari kufahamu umuhimu wake. Jua ni kitu mojawapo ambacho huwa tunakiona kila siku, lakini ni mara chache tumelichunguza.Kwa hakika kuna umuhimu mkubwa wa jua kwa mimea na viumbe vingine akiwemo binadamu. Tafiti mbalimbali zilizofanywaβ¦
Open printable article βπJinsi msongo wa mawazo unavyoweza kukusababishia ugonjwa wa moyo
Kila mmoja wetu anaweza kuwa na sababu tofauti inayoweza kumsababishia msongo (stress). Sababu kubwa ambazo husababisha msongo ni masuala ya kazi hata pia masuala ya kijamii. Masuala ya kikazi ni kama kutokuwa na furaha kazini, kazi nyingi, kufanya kazi kwa masaa mengi, kutokuwa na mipangilio bora, β¦
Open printable article β