PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

Baini Siri za Kuwa na Afya Bora na Utimamu Β· 165

πŸ“„

Mambo muhimu kujua Kuhusu Uvimbe kwenye kizazi cha mwanamke

Naamini umeshawahi kusikia kuhusu changamoto ya uvimbe kwenye kizazi kwa Wanawake yaani Fibroids. Uchunguzi unaonesha kuwa kati ya asilimia 30 mpaka 70 ya wanawake wapo kwenye hatari ya kupata tatizohili au wengine Tayari wameshalipata. Mpaka hivi sasa hakuna Sababu ya moja kwa moja ambayo inaelezwa…

Open printable article β†’
πŸ“„

PROSTATE GLAND (TEZI DUME) TATIZO SUGU KWA WANAUME

-Hii ni tezi ya wanaume yenye sifa zifuatazo.~Ina umbo km yai(oval shape)~Ina ukubwa wenye vipimo hivi, upana 4cm na unene 3cm ingawaje hivi vipimo vinatofautiana kwa kila mwanaume.~Tezi hii ipo inazunguka shingo ya kibofu cha mkojo na kuzunguka mrija unaopeleka mkojo nje(urethra)~Tezi hii hua yenye…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia mvuke

Mvuke husaidia kusafisha ngozi. Ni rahisi sana kutumia mvuke kutibu chunusi.Chemsha maji kwenye sufuria jikoni funika na uache nafasi kidgo ya mvuke uwe unatoka, kisha chukua taulo na ujifunike usoni huku ukisogelea karibu na mvuke unapokea na uruhusu mvuke huo ukupate kwa mbali.Baki hapo kwa dakika…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia papai

Dawa nyingine madhubuti ya chunusi ni papai. Tunda hili ni moja ya matunda yanayotumika kwa ajili ya urembo hasa kwa wanawake.Chukua papai na uchanganye na asali kidogo, likoroge kidogo na ujipake sehemu yenye chunusi moja kwa moja kwa dakika 15 hivi hivi kisha jioshe uso wako na maji ya moto kisha …

Open printable article β†’
πŸ“„

Namna ya kutibu chunusi kwa kutumia asprin

Aspirin inaweza kuwa ni moja ya dawa nzuri za chunusi. Chukua vidonge viwili au vitatu vya aspirin na utwange upate unga wake kisha ongeza maji kidogo upate uji mzito hivi.Kisha pakaa mchanganyiko huo moja kwa moja sehemu yenye chunusi kwa 10 hivi kisha jisafishe na maji safi.Fanya zoezi hili mara 1…

Open printable article β†’
πŸ“„

Kutibu chunusi kwa ute mweupe wa yai

Hii inaweza kuchukuliwa kama njia rahisi na isiyo na gharma katika kutibu chunusi. Kwa mjibu wa wanasayansi kutumia mchanganyiko wa ute mweupe wa yai na maji maji ya limau ni namna nzuri ya kutibu chunusi.Changanya ute mweupe wa mayai matatu na kijiko kidogo kimoja cha maji maji ya limau na ukoroge …

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kutibu chunusi kwa Siki ya tufaa

Siki ya tufaa (Apple cider vinegar) ni moja kati ya dawa zinazojulikana katika kutibu chunusi ahsante kwa uwezo wake wa kurudishia tindikali katika ngozi. Bakteria wabaya, mafuta na uchafu mwingine wowote utaondoka juu ya ngozi yako bila kupenda ukitumia dawa hii.Tafuta tu siki ya tufaa ya asili kab…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kutibu chunusi kwa Chumvi na mafuta ya zeituni

Mchanganyiko wa chumvi na mafuta ya zeituni (olive oil) ni dawa nyingine inayotibu chunusi. Mafuta ya zeituni yandhibiti bakteria na huondoa sumu vitu ambavyo vinafanya kuwa dawa nzuri kutibu chunusi na matokeo ya chunusi.Changanya nusu kijiko kidogo cha chai cha mafuta ya zeituni na kiasi kidogo ch…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kutibu chunusi kwa mdalasini na asali

Mchanganyiko wa mdalasini na asali ni dawa nzuri ya kutibu chunusi.Changanya asali vijiko vikubwa viwili na mdalasini ya unga kijiko kikubwa kimoja. Safisha vizuri uso wako.Kisha pakaa mchanganyiko huo kwenye uso wako usiku na asubuhi ujisafishe vizuri uso wako.

Open printable article β†’
πŸ“„

Namna ya kutibu chunusi kwa kutumia Binzari, maziwa na asali

Unahitaji vitu vifuatavyo:a)Binzari ya ungab)Maziwa freshc)Asalid)Bakulie)Kijiko cha chaiHatua kwa hatua namna ya kutumia:a)Weka kijiko kidogo kimoja cha binzari ya unga ndani ya bakulib)Ongeza kijiko kidogo kimoja cha asali ndani yakec)Ongeza tena kijiko kidogo kimoja au viwili vya maziwa freshd)Ch…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia Uwatu (Fenugreek)

Uwatu ni dawa nyingine ya asili inayotumika kutibu chunusi. Uwatu unaondoa sumu na maambukizi mbalimbali.Hizi ni hatua chache za kutibu chunusi kwa kutumia uwatua)Chukua kijiko kidogo cha unga wa mbegu za uwatub)Ongeza maji kidogo kupata uji mzito (paste)c)Pakaa mchanganyiko huu sehemu yenye chunusi…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia maganda ya ndizi

Maganda ya ndizi ni dawa nyingine nzuri ya kuondoa chunusi. Unachohitaji ni kuwa tu na maganda ya ndizi kwa ajili hii.Hatua kwa hatua namna ya kutumia dawa hii:a)Menya ndizi na uleb)Chukua ganda la ndizi uliyokula na ukandamizekandamize sehemu ya ndani ya ganda hilo sehemu yenye chunusic)Subiri kwa …

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kutibu chunusi za usoni kwa kutumia Parachichi na asali

Unahitaji:a)Kijiko kimoja cha asalib)Parachichi 1Hatua kwa hatua namna ya kufanya tiba hii:a)Safisha vizuri uso wakob)Kausha na taulo uso wakoc)Chukua nyama ya ndani ya parachichid)Ongeza asali kijiko kimoja ndani ya parachichie)Changanya vizuri vitu hivyo viwili upate uji mzito.f)Pakaa mchanganyiko…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia Mtindi na asali

Kutumia mtindi na asali ni moja ya dawa rahisi zaidi za kutibu chunusi.Unahitaji:a)Kijiko kimoja cha asalib)Kijiko kimoja cha mtindiHatua kwa hatua namna ya kutumia:a)Changanya hayo mahitaji yako mawili vizurib)Pakaa ple pole mchanganyiko huu kwenye uso wakoc)Ikikauka unapaka tena, hivyo hivyo mpaka…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mambo usiyoyajua kuhusu ugonjwa wa Pumu

Asthma /pumu ni ugonjwa sugu ambao huathiri njia ya hewa ambazo huingiza na kutoa hewa katika mapafu, pia hufanya kuta za ndani ya njia ya hewa kuvimba na hivyo hupunguza kiasi cha hewa kinachoingia na kutoka ktk mapafu, Hali hii husababisha mgonjwa kutoa mlio kama wa filimbi/mluzi wakati wa kupumua…

Open printable article β†’