πUJUE NA UFAHAMU MFUMO WA MOYO (CARDIOVASCULAR SYSTEM)
Mfumo huu wa moyo una kazi zifuatazo:-πkupampu damu Mwilini pia kusafirisha gas, taka na homoni mwilini.πkuongoza mfumo mzima Wa umeme mwilini.πmfumo Wa kujilisha wenyewe na kulisha mwili.Lakini katika kuyafanya yote haya mambo mengi hutokea ambayo yanasababisha Moyo ushindwe kufanya kazi vizuri na β¦
Open printable article βπMADHARA YA SHISHA
Yafuatayo ni madhara ya shisha; 1.Kansa Licha ya kupita ndani ya maji, moshi wa shisha huwa na kiwango kikubwa cha carbon monoxide na nicotine ambazo humfanya mtumiaji awe kwenye hatari kubwa ya Kupata Tatizo la kansa ya koo, ama mapafu. 2.Matatizo ya Moyo Moshi na tumbaku husababisha mishipa ya damβ¦
Open printable article βπSababu za Magonjwa ya Figo na jinsi ya kujikinga
JINSI YA KUONDOKANA NA JANGA HATARI LA UGONJWA WA FIGO:**1.Usichelewe kwenda HAJA.* Kutunza mkojo kweye kibofu chako kwa muda mrefu ni wazo baya. Kibofu kikijaa kinaweza kusababisha uharibifu. Mkojo ambao unakaa kwenye kibofu huzidisha bakteria haraka.Mara mkojo unaporudi nyuma ya njia na Figo, sumuβ¦
Open printable article βπJE UNAFAHAMU NINI KUHUSU KUJAMBA?
Kwanini tunajamba? kwanini "ushuzi" unanuka?Kujamba inaweza kuwa kitendo cha aibu kwa wengi wetu,lakiniinaweza kukufanya ujisikie vizuri kujua kwamba ni tendola kawaida sana kwa mwili wa binadamu kutenda.Kilamtu anajamba,hata Halle Berry nae hujamba.1.Kujamba ni nini hasa?Kujamba kunasababishwa na kβ¦
Open printable article βπMagonjwa hatari 10 yanayotibika kwa kutumia mbegu za Maboga
Mbegu za maboga zina protini na madini ya kutosha na ya mhimu zaidi mwilini kama madini ya zinki, kopa, maginizia, manganizi na chuma, mbegu za maboga ni tamu na zinaweza kutafunwa nyakati zozote na mahali popote hasa kwa wapenda kutafuna-tafuna kama mimi. Tafiti mbalimbali zimethibitisha pasipo na β¦
Open printable article βπJinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia baking soda
Moja ya sababu za kutokea chunusi katika ngozi yako ni kuwepo kwa takataka au uchafu juu ya ngozi yako na njia rahisi ya kusafisha taka hizo ni kwa kutumia baking soda hivyo kuifanya ngozi ipumuwe vizuri.Kwahiyo ukiwa na chunusi hebu fikiri kuhusu baking soda. Baking Soda husaidia kubandua seli za nβ¦
Open printable article βπMatumizi ya mbaazi kama dawa
Mbaazi ni zao la chakula ambalo linalimwa sehemu nyingi sana hapa nchini, zao hili pia linaweza kutumika kama dawa kwa kutumia majani, mizizi na mauaMAANDALIZIChukua majani, maua au mizizi kiasi cha nusu kilo (ni vizuri kama utachanganya vyote) pondaponda na uloweke kwenye maji safi kiasi cha lita 2β¦
Open printable article βπJinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia asali
Asali hasa asali mbichi ya asili ni dawa nzuri sana ya kutibu chunusi. Asali ni antibiotiki ya asili ambayo husaidia kupunguza ukubwa wa chunusi na maumivu ya chunusi.Asali inaweza pia kuzuia ngozi yako isipatwe na maambukizi mengine ambayo yangeweza kusababisha matatizo kwenye ngozi au makovu.Hivyoβ¦
Open printable article βπNamna ya kujitibu chunusi kwa kutumia dawa ya meno au dawa ya mswaki
Dawa ya mswaki au dawa ya meno ni dawa nyingine ya asili unayoweza kutumia kujitibu chunusi. Hii inatumia usiku tu.Pakaa kiasi fulani cha dawa hii kwenye chunusi zako na uende ulale kasha asubuhi jisafishe na maji safi. Fanya zoezi hili kila baada ya siku 1 mpaka umepona.
Open printable article βπJinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia tango
Tango ni tunda na ni mboga pia na ni chanzo kizuri cha potasiamu na vitamini nyingi ambazo zina kazi mhimu katika ngozi yako na huifanya ngozi ngozi ionekane laini na yenye kupendeza.Tango ni moja kati ya dawa kamili za kutibu chunusi. Ni rahisi kulitumia tango kutibu chunusi.Kata tango katika silesβ¦
Open printable article βπJinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia limau au limao
Dawa nyingine nzuri kwa ajili ya chunusi usoni na mwilini ni limau. Limau linajitokeza kwenye vyakula vingi tunavyokula kila siku mathalani limau halikosekani pakiwepo supu au mapishi yoyote ya samaki.Limau lina kiasi kingi cha vitamini C ambayo inaweza kutumika kama antibiotiki inayozuia kuongezekaβ¦
Open printable article βπJinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia aloe vera
Mshubiri au Aloe Vera kama ilivyozoeleka na namna nzuri kwa wale wote wanaotaka kubaki na ngozi nyoro na ya kupendeza kila siku.Chukua kipande cha mshubiri freshi na ukikate kasha chukua maji maji yake (jeli) na upake moja kwa moja kwenye uso wako na ujisuguwesuguwe kwa dakika 15 hadi 20 hivi pole pβ¦
Open printable article βπJinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia barafu
Barafu inaweza kuzipunguza chunusi zionekane ni ndogo na kupunguza madhara yatokanayo na chunusi.Namna ya kutumia barafu kutibu chunusi ni rahisi na haraka zaidi. Chukua kipande cha barafu na ukipitishe sehemu zilipo chunusi mara kadhaa kwa dakika 3 hadi 5 hivi.Kumbuka kusafisha vizuri uso wako kablβ¦
Open printable article βπJinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia kitunguu swaumu
Kitunguu swaumu hujulikana kama kitu cha kushangaza katika tiba huko mashariki ya mbali, Kitunguu swaumu ni maajabu ya Mungu mwenyewe.Kina nguvu za kuua bakteria mbalimbali na kuzuia magonjwa ikiwemo kutibu chunusi. Kuna namna 2 za kutumia kitunguu swaumu kutibu chunusi; namna ya kwanza ni kukitumiaβ¦
Open printable article βπNjia bora za kumfanya mtu aache kuvuta sigara
Ni kazi ngumu kidogo kuacha uvutaji wa sigara. Uvutaji ni tishio kwa maisha yetu. Yawezekana hufahamu kwamba nusu ya watu wanaovuta sigara watakufa, ikiwa ni matokeo ya athari kilevi hicho. Sigara inasababisha robo ya vifo vyote vya kansa nchini Uingereza kila mwaka.Kuacha uvutaji sio jambo rahisi sβ¦
Open printable article β