πDondoo Muhimu kuhusu ugonjwa wa kisukari
Wapendwa, napenda kushirikiana na nyinyi kujuzana hili nililolisikia kupitia channel ten leo asubuhi kuhusu ugonjwa wa kisukari.Wataalam waliokua wakitoa mada walikua Prof Endrew Swai na Dr Mohamed Juma.Kwa ufupi wamesisitiza sana kufanya mazoezi kwa takriban nusu saa kwa siku na ambayo mtu anatoa jβ¦
Open printable article βπDondoo kuhusu tezi dume
Tezi dume kila mwanaume anazaliwa nayo ambayo inasaidia kutoa maji maji ambayo yanaweza kusaidia kutengeneza mbegu za kiume.Maji maji hayo yana alkaline ambayo husaidia Wakati Wa tendo la ndoa asidi (acid) iliyopo Kwa mwanamke isiue mbegu za kiume.Kwahiyo alkaline ikichanganyika na asidi tunapata neβ¦
Open printable article βπTabia 10 zinazoweza kuharibu figo
1.Kubana mkojo kwa muda mrefu2.Kutokunywa maji ya kutosha kila siku3.Kutumia chumvi nyingi kuliko kawaida4.Kula nyama mara kwa mara au mara nyingi5.Kutokula chakula cha kutosha6.Kuchelewa kujitibu maambukizi madogomadogo haraka na kwa usahihi7.Kutumia visivyo dawa za kutuliza maumivu8.Kutumia dawa kβ¦
Open printable article βπJinsi ya kujisaidia unapopatwa shambulio la moyo ukiwa pekeyako
Tafadhali chukua walau dk 2 kusoma hii:1. Chukulia ni muda wa saa 1:25 jion unarudi nyumbani peke yako, baada ya kazi ngumu zusizo za kawaida ofisini.2. Umechoka sana, una hasira na umechanganikiwa.3. Ghafla unajisikia maumivu makali kifuani yanaelekea mkononi na hata kwenye Taya. Upo umbali wa kamaβ¦
Open printable article βπJinsi ya kuepuka kunuka mdomo
Kuwa na harufu mbaya mdomoni ni kitendo kinachoweza kuathiri maisha ya mtu kimahusiano si kwa mpenzi tu bali marafiki na jamii kwa ujumla. Pia kuwa na harufu mbaya mdomoni uondoa haiba ya kupendwa kwani hata unapoongea wengi watakwepa kuongea moja kwa moja na wewe kwa sababu ya harufu mbaya inayotokβ¦
Open printable article βπTiba kwa kutumia maji
βTiba kwa kutumia majiβπ§π§π§π§π§π§π§π§π§Hamuwezi kuamini! maradhi mengi Mwenyezi Mungu amejaalia tiba yake ni kunywa maji, shukrani zote ni zake..Umoja wa Matabibu wa Japan wametangaza utafiti wao wa kutibu maradhi kwa maji na matokeo yake yamefanikiwa kwa aslilimia 100, kwa maradhi yafuatayo:kichwa, preshaβ¦
Open printable article βπFaida za mnyonyo na mazao yake
Nyonyo Mbarika (Castor)Mnyony(KiSwahili) Erand (KiHindi) Kastorka(KiRusi) ni mmea wa jamii ya Mbono Kaburi, kwajina la kitaalamu JaptrophaBaadhi ya faida za mnyonyo na mazao yakeMbali na kuweza kutumia mnyonyo kama uzio hai,njia hii inawezakutumika kwa wale wasio na eneo kubwa la shamba ndipo sasa wβ¦
Open printable article βπDondoo muhimu za afya
Tafadhali soma na uwapelekee wengine.Dr. Chriss Mosby wa Tanzania amegundua kensa mpya kwa binadamu inayosababishwa na Silver Nitro Oxide. Unaponunua kadi ya simu usiichune kwa kucha kwani imo hiyo Silver Nitro Oxide na inaweza kusababisha kensa ya ngozi. Watumie ujumbe huu wale uwapendao.Nukuu muhiβ¦
Open printable article βπUshauri kuhusu mwili wako
Nimekutana na hiki kitabu japo nimekipitia juu juu nikaona nisiwe mchoyo Wa kukushirikisha wewe utakayependezwa na kusoma hapa Chini japo ni changamoto sana kwa sisi waongo kusomaMwili wako jinsi ulivyo unatokana na kile unachokula au unachotumia.Umeshawahi kujiuliza ni kwa nini mwili wako uko kama β¦
Open printable article βπFahamu kuhusu kitambi na uzito uliopitiliza
Mwili wa binadamu umeundwa kwa organs na mifumo mbalimbali ili kuuwezesha kufanya kazi sawia. Mfano,MoyoIniFigoMapafuMfumo wa fahamuMfumo wa uzaziMfumo wa mmeng'enyo wa chakula.Vyote hivi hufanya kazi kwa usahihi ikiwa mwili una balance yaMafutaSukariNishatiProteinVitaminsLakini kutokana na mfumo waβ¦
Open printable article βπUgonjwa wa kichomi
Kichomi ni moja ya dalili za ugonjwa moyo. Kupatwa kichomi mara moja moja si vibaya.Ukipatwa muda mrefu au kila wakti ; basi chunguza zaidi.Kichomi husababishwa au kinaweza kuwa.1. Dalili ya matatizo ya tumbo lenye asidi (acid) kuzidi2. Dalili za ugonjwa wa moyo uitwao IschemicJambo la kuangalia ni β¦
Open printable article βπJinsi ya Kujitibu kwa njia ya matunda
Yafuatayo ni magonjwa na njia za kujitibu kwa kutumia matundaKUTUBU KIUNGULIAAliyepatwa na kiungulia ale nyanya 1 asubuhi na jioni1 kitaondokaJINSI YA KUZUIA KUHARISHAKamua maji ya chungwa lita1Kunywa glass1 kutwa mara 3Kuharisha kutakataJINSI YA KUPATA HAMU YA KULAAndaa juice ya machungwa usichangaβ¦
Open printable article βπFaida za kiafya za Kula Matunda
Matunda yote yana faida mwilini kiafya lakini matunda yanatofautiana kifaida. Zifuatazo ni faida za kula matunda ya aina Mbalimbali;FAIDA ZA TANGO1. Kuzuia kisukari, kuboresha mfumo wa damu na kuondoa kolesteroli mwilini.2. Chanzo kikubwa cha Vitamin B.3. Kusaidia kutunza ngozi.4. Kuongeza maji mwilβ¦
Open printable article βπMadhara ya kunywa soda
Tafiti zinasema kwamba mtu mmoja anayekunywa soda moja kwa siku, anakunywa zaidi ya galoni au dumu 56 za soda kwamwaka.Japokua kuna watu wamekiri kunywa hata zaidi ya soda moja kwa siku ambayo huenda wanakunywa zaidi ya hicho kipimo.Biashara ya soda inalipa sana duniani kwani ni kinywaji cha pilikinβ¦
Open printable article βπDondoo muhimu kwa Afya yako unapostuka usiku
Kumekuwepo na tatizo la vifo vya ghafla sana tena kwa watu ambao wana afya njema na hii inatokana na kuamka ghafla usiku ambapo ubongo hukisa damu ya kutosha.Unapoamka katikati ya usiku kwenda kujisaidia haja ndogo mfumo wa damu unakuwa umebadilika. Kwa sababu kuamka ghafla,kinakuwa hakuna mzunguko β¦
Open printable article β