πUmuhimu wa kuvaa soksi
Miguu ni sehemu mojawapo inayotoa jasho sana hivvo ni vema kuiweka mikavu kuzuia ukuaji wa bacteria au fungus.Wakaka tunajua umuhimu wa soksi au tunavaa bila kujua na wengine hatuvai? Hii ni kwa wadada pia wanaovaa viatu kama raba au hata nyumbani. Ni vema sana kufahamu kwanini tunavaa soksi na mda β¦
Open printable article βπNamna ndizi inavyotumika katika urembo
Mbali na kulika, ndizi zina manufaa mengine, hasa katika urembo wa ngozi.Ndizi zina virutubisho muhimu vinavyoboresha ngozi. Ndizi pia zina aina tatu za sukari zinazojulikana kama βsucroseβ, βfructoseβ na βglucoseβ.Hakikisha unanawa uso wako mara tatu kwa siku. Unapofanya hivyo unaondoa uchafu.Ndiziβ¦
Open printable article βπMambo ya Msingi kujua kuhusu uvaaji wa Tai
Kuna mambo mengi ya kufanya ili tuwe watu wa kuvutia kila wakati.Mpangilio wa mavazi hufanya mtu kuonekana maridadi. Kama wewe ni mvaaji wa tai unapovaa unazingatia mambo yapi? Na je unafunga tai yako kwa namna inayokubalika? Wengine huwa hawafahamu jinsi ya kufunga tai na hivyo kuleta mushkeri wakaβ¦
Open printable article βπNamna ya kuvaa vizuri kwa mwanamme upendeze na kuwa mtanashati
Nimeona leo nitoe darasa kidogo kuhusu mavazi sababu na mimi ni kipaumbele changu katika maisha. 1.Epuka kuvaa marangirangi Wakati unamatch mavazi jitahidi kupunguza idadi ya rangi, rangi 3 tu zinatosha kukutoa bomba. 2. Vaa kulingana na mazingira/sehemu Mtu mjanja anajua kubadilika kulingana na mazβ¦
Open printable article βπMatumizi ya Asali kwenye Urembo wa ngozi na Nywele
Asali hutumika kulainisha NgoziAsali ina asili ya kuvuta unyevu kutoka kwenye hewa na kuipa ngozi uwezo wa kuhifadhi unyevu hivyo ni faida kwa mtu mwenye ngozi kavu.Jinsi ya kuandaaChukua asali mbichi kijiko kimoja cha chai kisha paka usoni, kaa nayo kwa dakika 15 hadi 20 kisha safisha uso wako.Asalβ¦
Open printable article βπJinsi ya kutunza kucha kujiepusha na maradhi shambulizi ya Kucha
Mikono, viganja na vidole ni kati ya sehemu muhimu katika mwili wa msichana. Mikono hutumika kufanya shughuli nyingi za nyumbani, shuleni na sehemu mbalimbali katika maisha kuanzia kutandika kitanda, kupika, kufanya usafi, kuandika, kujiremba pamoja na majukumu mengine mengi.Mikono isipotunzwa vizurβ¦
Open printable article βπJinsi ya Kuvaa hereni kwa Mpangilio kuongeza Mvuto wako
HERENI ni pambo linavoliwa masikioni na kwa kiasi kikubwa linachangia kuongeza mvuto na muonekano mzuri. Kuna aina nyingi za hereni katika tamaduni mbalimbali. Zipo ambazo hutengenezwa kwa kutumia vito vya thamani kama vile Dhahabu, Almasi, Shaba au Kopa.Vilevile zipo ambazo hutengenezwa kwa kutumiaβ¦
Open printable article βπJinsi ya Kutumia Papai na Asali kuondoa Madoa Usoni
KUMEKUWA na sababu mbalimbali zinazofanya watu kutokuwa na ngozi zisizokubalika.Mbali na hali ya hewa pia matumizi ya pombe na sigara hata matumizi ya cream kali ambazo zimekuwa zikitumiwa na watu bila kujua madhara yake kumechangia kwa kiasi kikubwa tatizo hilo.Ngozi kwa kawaida inatakiwa ijitengenβ¦
Open printable article βπMambo ya Kuzingatia ili uwe mrembo siku zote
Katika Jamii nyingi duniani, dhana ya urembo imekuwa na mitazamo tofauti kwa watu wengi. Kila mmoja anautafakari urembo kwa namna yake kulingana na malezi na tamaduni za mahali husika. Wako wanaoamini kuwa mrembo ni lazima awe na ngozi nyeupe, wengine hudhani kuwa ili kuonekana mrembo, lazima uwe naβ¦
Open printable article βπNjia za kutunza nywele zako
Suala la kutunza nywele za asili wengi hutamani japokuwa ukweli kwamba kuna changamoto kadhaa, lakini kwa mtu aliye makini anao uwezo wa kupata kilicho bora katika nyewle zake. Leo tunaangazia vitu vya kufanya ili kukuza na kutunza nywele za asili.Kwanza kabisa unapaswa kuzikubali nywele zako na kuzβ¦
Open printable article βπJinsi ya kufanya nywele zako ziwe na mvuto na kuvutia zaidi
Mwanamke unywele hasa ukiwa nao, hii ni kauli upya ambayo Muungwana blog inakupa siku ya leo. Miongoni mwa maswali ambavyo huwa tunaulizwa na wasamoaji wetu ni pamoja ni kwa jinsi gani naweza kutengeneza nywele zangu ili ziwe za kuvutia?Basi nasi bila ya haiana yeyote ile tunakuletea somo hili maaluβ¦
Open printable article βπUvaaji wa Tai kulingana na Umbo lako
Kuna mambo mengi ya kufanya ili tuwe watu wa kuvutia kila wakati.Mpangilio wa mavazi hufanya mtu kuonekana maridadi. Kama wewe ni mvaaji wa tai unapovaa unazingatia mambo yapi? Na je unafunga tai yako kwa namna inayokubalika?Wengine huwa hawafahamu jinsi ya kufunga tai na hivyo kuleta mushkeri wakatβ¦
Open printable article βπFaida za kuogea maji ya Moto
Watu wengi hupendelea kutumia maji ya moto kuoga pale hali ya hewa inapobadilika na kuwa ya baridi au wakati mwingine mtu anaumwa hivyo anatumia maji ya moto.Sehemu kama Dar es Salaam ni mara cheche utakuta wakazi wake wanaogea maji ya moto kutokana na hali ya joto katika jiji hilo.Lakini kwa ajili β¦
Open printable article βπChanzo, dalili na matibabu ya chunusi
Chunusi ni ugonjwa wa ngozi ambao hujit-okeza kama viuvimbe/vipele vidogo vidogo hasa sehemu za uso,kifuani na hata mgongoni.Vipele hivi hutokea wakati vishimo vya kupitisha jasho katika ngozi vinapozibwa kwa mafuta au seli za ngozi zilizokufa au wadudu yaani Bacteria.Kwa lugha ya kidaktari chunusi β¦
Open printable article βπUtengenezaji wa Makalio ni Hatari na Hutakiwi kufanya
Mwanamke wa miaka mitatu amefariki baada ya kuripotiwa kuelekea Uturuki kwa aina ya upasuaji kwa jina Brazilian Butt Lift [uongezaji wa makalio}.Ni kwa nini upasuaji huu ni maarufu mbali na kwamba ni hatari kufanyiwa upasuaji huo ughaibuni.Leah Cambridge kutoka Leeds alipatikana na mishtuko mitatu yβ¦
Open printable article β