πSiri ya Kuwa na Amani ya Moyoni au Rohoni
Ili kuwa na Amani ya Moyoni unatakiwa uishi kwa kutimiza wajibu wako wa kiroho na kidunia kama inavyotakiwa na kwa uwezo wako wote, Huku ukiwa na Matumaini ya kua kile unachokifanya kitafanikiwa, ni sahihi na umekifanya vizuri.
Open printable article βπMaana ya kuushinda ulimwengu
Ni kuacha kufuata akili yako na mwili wako huku ukiufuata moyo wako wakati ukijua moyoni mwako Roho Wa Mungu yupo na anafanya kazi.
Open printable article βπNguvu na Umuhimu wa Upendo
Katika fadhila zote, upendo ndio unaonyesha uwepo wa fadhila nyingine
Upendo ni Amri kubwa kuliko zote
Upendo ni Utimilifu wa Sheria
Upendo ni Utakatifu
Open printable article βπMambo ya Msingi Sana Kuhusu Kusali na Kuomba
Rafiki yangu, Omba utafute uso wa Mungu, Aonaye kwa Siri atakujibu kwa wazi. Mungu ni Mwaminifu Sana hasa kwa wamwombao bila kukoma na kwa matumaini. Mungu yeye anasikia Sala zetu zote na kuzijibu zote.
Open printable article βπTAFAKARI KUHUSU NAFASI YA MATESO NA SHIDA KATIKA MAISHA
Mungu hapendi mtu Ateseke lakini ni kwa njia ya ya Mateso mtu anaweza akapimwa IMANI yake, UNYENYEKEVU, UTII na Matumaini yake kwa Mungu.
Mateso na shida katika maisha ni nafasi ya kujifunza na Kuonyesha unyenyekevu, Imani na Matumaini ya mtu.
Open printable article βπYafahamu Mawazo na Mipango ya Mungu Kwako
Mungu daima anawaza Mema na Anampangia Mtu Mambo mema. Kama mtu ataenda katika njia ambayo Ipo katika mipango na mapenzi ya Mungu basi atapokea yale mema Mungu aliyopanga Kwake. Lakini kama mtu ataishi kwa kufuata mapenzi yake mwenyewe basi atapoteza yale mema Aliyopangiwa.
Open printable article βπMipango ya Mungu kwetu sisi wanadamu
Mipango ya Mungu daima ni myema, Mungu anapanga Mema katika maisha ya mtu kama akifuata mapenzi yake. Tatizo ni kwamba watu wanafuata mapenzi yao wenyewe na kisha kukosa yale mema Mungu aliyopanga kwao.
Open printable article βπSiri ya Yesu: Mwangaza Wa Maisha
Soma Siri ya Yesu aliye Mwangaza Wa Maisha, Jifunze namna unavyoweza kufaidi Mwangaza huu kushinda Uovu katika maisha Yako.
Open printable article βπUnafahamu kuwa Imani ni Cheti cha Kuweza Kupata Yote?
Imani ni njia ya kuweza kupata yote. Unachohitaji ni Imani. Naam kuwa na uhakika na unachokitarajia.
Open printable article βπTafakari Upendo Mkuu wa Mungu kwa Mwanadamu
Karibu tutafakari Upendo Mkuu wa Mungu Kwa Wanadamu. Soma tuone namna Mungu alivyotupenda sana.
Open printable article βπHii Ndiyo Namna Pekee ya Kuwa na Amani Katika Maisha Yako
Ifahamu namna Pekee ya kuwa na amani katika maisha Yako. Jifunze Kitu Hapa na kufuata njia hii. Hakika utakua na Amani.
Open printable article βπKwa nini Mungu hatendi mpaka umwambie au umuombe? Kwa nini tusali?
Mungu anapenda kutenda jambo baada ya mtu kumuomba/kusali ili mtu aelewe Ukuu wa Mungu na ili Mungu atukuzwe.
Kama kila kitu mtu anachotaka kingekua kinafanyika, Binadamu asingemkumbuka Mungu na Mungu asingetukuzwa
Open printable article βπKaribu Ujitafakari: Kwa nini Unasali na Kumuabudu Mungu? Jifunze Kitu Hapa
Embu tafakari kwa nini unasali na Kumuabudu Mungu!
Je unasali kwa hofu ya kutokua na uhakika na maisha?
Je unasali kwa sababu ya shida na matatizo katika maisha?
Je unasali kwa kuwa unaona wengine wanasali kwa hiyo unafikiri na wewe lazima usali?
Soma hii, Ujitafakari
Open printable article βπMungu Anakuita Na Kukupa Nafasi Ya Kutubu Na Kumrudia Yeye Ili Akusamehe na Kukubariki
Unaalikwa kutubu na kumrudia Mungu kwa Moyo Wako wote na kwa nia dhabiti. Mungu atakusamehe dhambi zako na kukufanya kuwa mpya. ...Ingekuwa heri leo usikie sauti yake! Usifanye moyo wako kuwa mgumu.
Open printable article βπTafakari Kuhusu Matumizi Ya Mali
Usiwe Bahili wa kutumia Mali ulizojaliwa na Mungu. Mungu amekupa Mali hizo ili ufurahie maisha uliyonayo ambayo siku moja yana mwisho.
Open printable article β