PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

Upishi na Maandalizi ya Milo yenye Afya Β· 266

πŸ“„

Mapishi – Mayai Mchanganyiko, Tosti na Soseji

Karibu tena jikoni, leo tunaandaa vitafunwa kwa ajili ya kifungua kinywa asubuhi.MahitajiMayai 3Soseji 2Mkate slesi 2Mafuta ya kupikia vijiko 2ChumviMatayarishoPiga piga mayai vizuri kwenye bakuli na weka chumvi kidogo kisha weka kikaango kwenye moto na mafuta kidogo.Kikisha pata moto miminia mchang…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi – Saladi ya Matunda

Matunda ni mojawapo wa kundi la vyakula, ni muhimu sana kwa afya bora. Matunda yakitengenezwa vizuri yanavutia sana na yanakuwa ni chakula kizuri sana.MahitajiEmbe iliyoiva kiasiNanasiTangoTikiti majiZabibuPapaiMatayarisho1. Ondoa maganda kwenye embe, nanasi, tango, papai na tikiti maji kisha kata k…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Wali wa hoho

Wali wa hoho ni chakula maalum kinachotumika katika hafla au sherehe. Ni chakula chenye ladha nzuri na kina muonekano wa kuvutia kinapokuwa mezani tayari kwa kuliwa.Mara nyingi huandaliwa kama zawadi katika harusi hususan kwa watu wa pwani. Kwa kuwa zawadi hiyo au maarufu kama kombe huwa kuna vyakul…

Open printable article β†’
πŸ“„

Namna ya kupika Vitumbua

Vitumbua ni aina ya vitafunwa vya chai ambavyo hutengenezwa kwa kutumia unga wa mchele. Kiasili vitumbua ni chakula ambacho hupendelewa sana na watu wa pwani. Na mara nyingi wamekuwa wakipika kwa kuchanganya na nazi ili kuvifanya view na ladha nzuri zaidiMahitaji:Unga wa mchele Β½ kgSukari vijiko 4 v…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Biryani ya mbogamboga

Biriani ni miongoni mwa vyakula ambavyo ni nadra sana kupikwa katika familia nyingi tofauti na vyakula vingine. Inawezekana ni kutokana na watu wengi kutoelewa namna ya kuoika chakula hiki kutokana na kuhitaji viungo vingi ambavyo huwapa usumbufu wapishi.Kuna aina mbalimbali za upishi wa biriani amb…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Roast ya biringanya na mayai

Mara nyingi biringanya hutumika kama kiungo cha nyongeza katika mchuzi. Hata hivyo, kiungo hiki kinaweza kupikwa chenyewe na kutoa mchuzi wenye ladha ya kipekee.Baadhi ya wapishi wameweza kubuni aina hii ya upishi ambayo huweza kupikwa kwa dakika tano tu na kukupa chakula kitamu chenye ladha ya kuvu…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya samaki aina ya salmon

Wakati mwingine mtu unakuwa umechoka na usingependa kupoteza muda jikoni, so mlo wa chapchap unakuwa ni wazo zuri, Mlo huu ni rahisi kuuanda na hata haikuchukui zaidi ya dakika ishirini chakula kinakuwa tayari mezani.MahitajiSalmon fillet 2Potatao wedge kiasiLettice kiasiCherry tomatoLimao 1SwaumChu…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika mkate wa sembe

Mahitaji:Unga sembe glass 1Unga ngano glass 1Sukari glass 1 (unaweza kupunguza kidogo)Maziwa glass 1Mafuta 1/2 glassMayai 4Iliki iliosagwa 2tbsBp 2tbsJinsi ya kupika:Saga sukari yako uweke kwenye bakuli safi pamoja na mayai. Tumia mashine ya cake kusagia hadi ifure/ivimbe.Weka mafuta saga, weka mazi…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika pizza ya mboga mboga na cheese

MAHITAJI1 kilo unga wa ngano240 ml maji ya vugu vugu2 olive oil kijiko kikubwa cha chakula2 asali kijiko kidogo cha chai1 chumvi kijiko kidogo cha chai1 hamira ya chenga kijiko kidogo cha chaiJINSI YA KUPIKAChukua bakuli weka maji ya uvugu vugu, amira ya chenga, asali na chumvi kisha koroga ichangan…

Open printable article β†’
πŸ“„

Madhara ya soda

Soda ni kiburudisho ambacho si muhimu sana kwa afya.Aina nyingi za soda zina kafeini ambayo huzuia usharabu (ufyonzwaji) wa madini ya chuma mwilini hasa yatokanayo na vyakula vya mimea Hata hivyo soda zinaweza kutumika kwa kiasi kidogo kama kiburudisho, ila tunapotaka ubora zaidi wa afya zetu inafaa…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kuishi maisha marefu (Mambo ya kuzingatia ili uishi maisha marefu)

Kuishi ukiwa na afya na kuishi maisha marefu kunawezekana kwa kubadili hali ya maisha unayoishi inayoharibu afya yako mfano uvutaji wa sigara, unywaji wa pombe kupita kiasi,kutokufanya mazoezi na kutokula matunda na mbogamboga.Mambo yanayoweza kukusaidia kuishi maisha marefu ni kama yafuatayoKuuanda…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya tambi za mayai

Tambi za mayai ni moja kati ya vyakula ambavyo napenda kuandaa pale ninapokua ninaharaka au sina muda mrefu wakukaa jikoni.pishi hili huchukuca muda mfupi sana na nimlo uliokamilika.MahitajiTambi Β½ paketiVitunguu maji 2 vikubwaKaroti 1Hoho 1Vitunguu swaumu(kata vipande vidogo) kijiko 1 cha chakulaCa…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya tambi za kukaanga

Kupika tambi ni kama ifuatavyoVIAMBA UPISHITambi pakti mojaSukari ΒΎ kikombe cha chaiMafuta Β½ kikombe cha chaiIliki kiasiMaji 3 Vikombe vya chaiVanilla / Arki rose 1-2 ToneZabibu Kiasi (Ukipenda)JINSI YA KUPIKA TAMBI ZAKO1. Zichambue tambi ziwe moja moja.2. Mimina mafuta kwenye sufuria yakisha pata m…

Open printable article β†’
πŸ“„

Tofauti kati ya yai la kuku wa kienyeji na la kuku wa kisasa

Kilishe mayai yote ni sawa. Virutubishi vinavyopatikana kwenye yai la kuku wa kienyeji kama protini, vitamini A, madini ya chuma na virutubishi vya aina nyingine, ndivyo hivyo vinavyopatikana pia kwenye yai la kuku wa kisasa.Tatizo linaweza kutokea pale ambapo wafugaji wa kuku wa kisasa hawafuati ta…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Supu Ya Maboga

Viamba upishiBlue band vijiko vikubwa 2Maziwa vikombe 2Royco kijiko kikubwa 1-2Pilipili manga (unga) kijiko cha 1Chumvi kiasi Maji lita 2-3Boga kipande Β½Viazi mviringo 2Vitunguu 2Karoti 2Nyanya 2Hatuaβ€’ Menya boga, viazi, karoti, nyanya na kwaruza weka kwenya sufuria kubwa.β€’ Menya, osha na katakata v…

Open printable article β†’