πJinsi ya kupika Biskuti Za Njugu/Matunda Makavu (Rock Cakes)
ViambaupishiUnga 4 VikombeSukari 10 OunceSiagi 10 OunceMdalasini ya unga 2 vijiko vya chaiMatunda makavu/njugu (kama lozi,Zabibu, maganda ya chungwa,Cherries na kadhalika 4 ounceMaziwa ya maji 4 Vijiko vya supuJinsi ya kuandaa na kupika1) Chukua siagi na sukari koroga na mixer mpaka iwe kama cream.2β¦
Open printable article βπJinsi ya kupika Visheti Vyeupe Na Vya Kaukau
VIPIMO:Unga wa VishetiUnga 4 Vikombe vya chaiSiagi 1 Kikombe cha chaiHiliki Β½ Kijiko cha chaiNAMNA YA KUTAYARISHA NA KUPIKA1. Tia unga kwenye bakuli pamoja na siagi na hiliki.2. Changanya vizuri isiwe na madonge.3. Tia maji baridi vikombe viwili kasoro vya chai changanya ukiona bado ongeza maji kidoβ¦
Open printable article βπJinsi ya kupika Donati
Viamba upishiUnga2 Magi (kikombe kibuwa cha chai)Sukari1/3 Kikombe cha chaiMayai 5Siagi 4 Vijiko vya chakulaHamira 1 Kijiko cha chakulaBaking Powder 1 Kijiko cha chaiVanilla 1 Kijiko cha chaiHiliki zilizosagwa 1 Kijiko cha chaiSukari ya laini ya unga(icing sugar) 1 MagiJinsi ya kuandaa na kupikaUnavβ¦
Open printable article βπJinsi ya kupika Biskuti Za Kuchoveya Chokoleti
ViambaupishiUnga 300gmSiagi 225gmIcing Sugar 60gmChokoleti iliyokoza (Dark Chocolate) 225gmVanilla 2 kijiko cha chaiYai 1Baking Powder Β½ kijiko cha chaiNjugu za vipande Β½ kikombe cha chaiNjugu zilizosagwa ΒΌ kikombe cha chaiJinsi ya kuandaa na kupika1. Piga sukari na siagi katika mashine ya keki mpakβ¦
Open printable article βπJinsi ya kupika Visheti
Viamba upishiUnga 2 VikombeSamli au shortening ya mboga 2 Vijiko vya supuMaziwa ΒΎ KikombeIliki KiasiMafuta ya kukarangia KiasiShiraSukari 1 KikombeMaji ΒΎ KikombeVanila Β½ Kijiko cha chaiZafarani (ukipenda) KiasiJinsi ya kupika na kuandaaKatika kisufuria pasha moto maziwa na wakati huo huo chemsha Samβ¦
Open printable article βπJinsi ya kupika Biskuti Za Ufuta Na Jam
Viamba upishiUnga 2 ViwiliSukari ya kusaga 1/4 KikombeSiagi 250 gmsJam kisiaUfuta KisiaVanilla 1 kijiko cha chaiJinsi ya kuandaa na kupika1. Tia kwenye mashine ya kusaga (blender) au mashine ya keki, siagi, yai, sukari na vanilla uchanganye hadi ichanganyike vizuri.2. Tia baking powder, na unga na cβ¦
Open printable article βπBisikuti Za Kokoa (Cocoa Biscuits)
ViambaupishiSiagi 100gmUnga wa kaukau (cocoa powder) 2 Vijiko vya supuMaziwa mazito (condensed milk) Moja kikopo (397gm)Bisikuti za Mary 2 PakitiNjugu Β½ KikombeKaratasi la plastikiJinsi ya kuandaa na kupika1. Vunjavunja bisikuti zote packet mbili ziwe vipande vidogo vidogo.2. Pasha moto siagi mpaka β¦
Open printable article βπJinsi ya kupika Labania Za Maziwa
Viamba upishiMaziwa ya unga 2 vikombeSukari 3 vikombeMaji 3 vikombeUnga wa ngano Β½ kikombeMafuta Β½ kikombeIliki kiasiJinsi ya kuandaa na kupikaPaka sinia mafuta kabla ya kupika labaniaKatika sufuria chemsha maji na sukari pamoja na iliki mpaka inate vizuriKisha mimina mafuta korogaHalafu mimina ungaβ¦
Open printable article βπJinsi ya kupika Biskuti Ya Keki Kavu kwa kizungu Shortcake
Viamba upishiUnga 2 Magi (vikombe vya chai)Sukari iliyosagwa 2/3 Magi (kikombe cha chai)Siagi 220 gUnga wa mchele Β½ MagiYai 1Vanilla 1 kijiko cha chaiJinsi ya kuandaa na kupika1. Changanya vitu vyote hivyo kwenye bakuli mpaka unga ushikamane.2. Paka mafuta treya ya kuchomea kisha utandaze kwenye treβ¦
Open printable article βπJinsi ya kupika Visheti Vya Kastadi Vya Shepu Ya Kombe
Viamba upishiUnga wa ngano 1 KiloSiagi ΒΌ kiloMayai 2Kastadi (custard) 3 vijiko vya supuBaking powder 1 kijiko cha chaiMaziwa 1 Β½ gilasiMafuta Ya kukaangia kiasi katika karaiMaandalizi na upikajiWeka unga katika bakuli kubwa kisha changanya na unga wa kastadi na baking powder.Tia siagi uchanganye vizβ¦
Open printable article βπJinsi ya kupika Slesi Za Chokoleti Na Karameli
Viamba upishiUnga 1 Magi (vikombe vya chai)Sukari ya browni Β½ MagiSiagi iliyoyayushwa 125 gNazi iliyokunwa Β½ MagiMjazo wa karameli (Caramel filling)Syrup 1/3 kikombe cha chaiSiagi iliyoyayushwa 125 gMaziwa matamu ya mgando 2 vikopo (condensed milk)Mjazo wa chokoleti (Chocolate filling)Chokoleti 185 β¦
Open printable article βπMapishi β Kisamvu cha Karanga
Mapishi yetu leo ni kisamvu cha kuchanganya na karanga. Karibu.MahitajiMajani ya kisamvuKaranga nusu kikombekitunguu kimojanyanya mbilikaroti mojamafuta na chumvi kiasiMatayarisho1. Osha kisamvu chako vizuri kisha katakata vipande vidogo vidogo2. Unaweza kutwanga kwa kutumia kinu au kuchemsha kidogoβ¦
Open printable article βπJinsi ya kupika kisamvu bila nazi
Kisamvu ni aina ya mboga ya majani inayopatikana kwa wingi na kwa urahisi katika mikoa takriban yote nchini Tanzania.Pia aina hii ya mboga hupikwa katika mapishi ya aina mbalimbali kulingana na mahitaji ya mpishi.Aina hii ya mboga kama zilivyo mboga zingine za majani ni nzuri na muhimu kwa afya ya bβ¦
Open printable article βπMapishi ya Chicken Curry
Leo wapendwa nitaenda kuzungumzia mapishi ya mchuzi wa kuku (chicken curry).MahitajiKuku mzimaNyanya kubwa 3Karoti mbiliPilipili hohoKotmiriTangawiziKitunguu majiKitunguu saumu kidogoNdimuMafuta ya kupikiaChumvi (pilipili ukipenda)Matayarisho1. Menya vitunguu saumu na tangawizi na uvitwange pamoja.2β¦
Open printable article βπMapishi β Fish Finger
Leo tunaangalia mapishi ya fish finger ( sijui kama unaweza kusema kidole cha samaki)!, Ni mlo mzuri hasa kuliwa kama kitafunio au mboga ya pembeni.Mahitaji500g Fileti ya samaki120g Chenga za mkate100g Unga wa nganoMayai 2Ndimu 1Kitunguu saumu 1KotmiriMafuta ya kupikiaMatayarishoMenya vitunguu saumuβ¦
Open printable article β