PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

Upishi na Maandalizi ya Milo yenye Afya Β· 266

πŸ“„

Mapishi ya Wali Wa Kichina Wa Kuku Na Mboga Mchanganyiko

VipimoMchele wa basmati/pishori - 4 vikombe vikubwa (mugs)Kuku - 2Vitnguu vya kijani (sprin onions) katakata - 5 micheMaharage machanga (spring beans) katakata - kiasi kujaza mug mojaPilipili boga la (capsicum) katakata - 1Karoti katakata vipande virefu - 1Kitunguu thomu (garlic) kuna (grate) - 1 ku…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Boga La Nazi

VipimoBoga la kiasi - nusu yakeTui zito la nazi 1 Β½ gilasiSukari Β½ kikombeHiliki Β½ kijiko cha chaiNamna Ya Kutayarisha Na KupikaMenya boga kisha katakata vipande vya kiasi.Weka katika sufuri tia maji kiasi ya kuchemshia na kuwiva bila ya kubakia maji mengi.Changanya tui na sukari na hiliki kisha mim…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kutengeneza Biriani Ya Nyama Ya Ng'ombe

MahitajiNyama - 2 Ratili (LB)Chumvi - kiasiMafuta - 1 KikombeSamli - Β½ KikombeKitungu (Kata virefu virefu) - 3 VikubwaNyanya (kata vipande) - 2Nyanya kopo - 1 Kijiko cha chakulaKitunguu saumu(thomu/galic) - 1 Kijiko cha chakulaTangawazi - 1 Kijiko cha chakulaPilipili mbichi iliyosagwa - 1 Kijiko cha…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Pilau Ya Adesi Za Brown Karoti Na Mchicha Kwa Samaki Wa Salmon

VipimoMchele vikombe 3Karoti 1 ikune (grate)Mchicha katakata kiasiAdesi za brownKitunguu katakata (chopped)Supu ya kitoweo chochote upendayo au vidonge vya supu 2Garama masala (bizari mchanganyiko) kijiko 1 cha kuliaSamli ΒΌ kikombeChumvi kiasiVipimo Vya Samaki Wa SalmonSamaki wa Salmon vipande 4 vik…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Wali Wa Mboga Na Samaki Wa Pink Salmon

VipimoMchele 3 vikombeMboga mchanganyiko 1 kikombeSamaki wa Pink Salmon 5 -6 vipandeKitunguu saumu(thomu/galic) na tangawizi iliyosagwa 1 kijiko cha supuChumvi kiasiPilipili manga ya unga Β½ kijiko cha chaiPilipili nyekundu ya unga Β½ kijiko cha chaiNdimu zilokamuliwa 2Parsley kavu (aina ya kotmiri) 2…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Pilau Ya Nyama Na Mtindi

MAHITAJINyama iliyokatwa vipande - 1 Ratili(LB)Mchele Basmati - 2 MagiChumvi ya wali - kiasiKitungu kilichokatwa katwa - 1 kikubwaKitunguu saumu(thomu/galic) na tangawizi - 1 kijiko cha supuMtindi (yogurt) - Β½ kikombeMchanganyiko wa bizari ya pilau ya tayari - 2 vijiko vya supuMafuta kidogo yakukaan…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Ugali Kwa Mchuzi Wa Nyama, Mchicha, Maharage Na Chatini Ya Pilipili Mbichi

Vipimo Vya Mchuzi Wa NyamaNyama ya ng’ombe vipande vidogo - 2lbNyanya - 1Kitunguu Kilichoktwa katwa - 1Mafuta - 2 vijiko vya supuPaprika (bizari ya masala ya rangi) - Β½ kijiko cha chaiKidonge cha supu - 1Chumvi - KiasiNdimu - KiasiNamna Ya Kutayarisha Na KupikaOsha nyama kwa chungio ili itoke maji. …

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Biriyani Ya Kuku

VipimoMrowanishe kuku na viungo hivi kwa muda mdogo tuKuku (Mkate kate Vipande) - 4 LBKitunguu saumu(thomu/galic) na Tangawizi - 2 Vijiko vya supuChumvi - kiasiPilipili nyekundu ya unga - 1 Kijiko cha supuBizari ya manjano (Haldi au Tumeric) - 1 Kijiko cha chaiBizari ya pilau ya powder (Jeera) - 1 K…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Biriani Ya Tuna

MAHITAJIMchele Basmati - Mugs 2 Β½Vitunguu (Vikubwa kiasi) - 3Tuna - Vibati 3Carrot - 2 kubwaTomatoe paste - 1 kikopoKitunguu saumu(thomu/galic) - 2 Vijiko vya supuTangawizi - 2 Vijiko vya supuUzile (Bizari ya pilau ya unga) (cummin powder )(Jeera) - Β½ Kijiko cha supuMdalasini - Β½ Kijiko Cha supuNAMN…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Ugali Kwa Mchuzi Wa Nazi Wa Nyanya Chungu/Mshumaa/Ngogwe Na Bamia, Mboga Ya Matembele Na Samaki Wa Kukaanga

Vipimo Vya UgaliUnga wa mahindi - 4Maji - 6 kiasi kutegemea na aina ya ungaNamna Ya Kutayarisha Na KupikaWeka maji katika moto.Tia unga kidogo katika kibakuli, koroga ufanye uji.Maji yakichemka tia kwenye maji uwe uji.Ujii ikiiva punguza kidogo tia unga kidogokidogo na usonge ugali. Ikiwa unga ni mg…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Pilau Ya Mchicha

VIPIMOMchele - 3 VikombeMchichaMafuta - 1/2 kikombeVitunguu maji - 2 vikubwaNyanya - 1Viazi - 3Kitunguu saumu(thomu/galic) iliyosagwa - 3 vijiko vya supuVidonge vya supu (Stock cubes) - 3Jiyrah (cummin powder) - 1 kijiko cha chaiPilipili manga ya unga - 1 kijiko cha chaiHiliki ya unga - 1/2 kijiko c…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya wali Wa Nazi Kwa Mchuzi Wa Nyama Ng’ombe Na Mchicha

Wali Wa MpungaMchele wa mpunga - 4 VikombeTui la nazi - 6 vikombeChumvi - kiasiNamna Ya Kutayarisha Na KupikaOsha mchele kishaBandika tui jikoni likichemka tia mchele na chumvi.Funika uchemke, tui likikauka wacha moto mdogomdogo hadi wali uive ukiwa tayari. Ikiwa unatumia mkaa unapalia juu yake.Mchu…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kutengeneza Pilau Ya Kuku

MahitajiMchele wa basmati - 3 vikombeKuku - Β½Viazi - 4Vitunguu - 2Kitunguu saumu(thomu/galic) iliyosagwa - 2 vijiko vya supuBinzari ya pilau nzima - 1 Kijiko cha chakulaBinzari ya pilau - Β½ kijiko cha chaiPilipili manga nzima - Β½ kijiko cha chaiKarafuu nzima - 8Iliki nzima - 6Mdalasini nzima - 5 vij…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Wali Wa Mboga Na Mchuzi Wa Kuku wa Tanduri

Vipimo vya Wali:Mchele basmati - 3 magi (kikombe kikubwa)Mchanganyiko wa mboga za barafu(Frozen vegetables) - 1 Β½ mugChumvi - kiasiMafuta - 3 vijiko vya chakulaKitungu maji (kilichokatwa) - 1Bizari ya pilau (nzima) - 1 kijiko cha chakulaNamna Ya kutayarisha na kupika:Osha mchele uroweke kwenye maji …

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Wali, Mchuzi Wa Nazi Wa Samaki Nguru

MahitajiMchele - 3 vikombeSamaki Nguru (king fish) - 5 vipandeVitunguu - 2Nyanya/tungule - 4Mafuta - 3 vijiko vya supuTui la nazi zito - 2 vikombePilipili mbichi - 5-7Kitunguu saumu(thomu/galic) - 7-9 chembeKotmiri - 1 msongo (bunch)Bizari ya samaki - 1 kijiko cha chaiNdimu - 2-3Chumvi - kiasiNamna …

Open printable article β†’