PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

Upishi na Maandalizi ya Milo yenye Afya Β· 266

πŸ“„

Jinsi ya Kupika Kalmati

MahitajiUnga wa ngano (self risen flour 2 vikombe vya chai)Hamira (yeast kijiko 1 cha chai)Sukari (sugar 2 vikombe vya chai)Hiliki (cardamon 1/4 ya kijiko cha chai)Maji kikombe1 na 1/2MafutaMatayarishoChanganya unga, hamira, maji na mafuta kijiko 1. Koroga vizuri mpaka upate uji mzito usiokuwa na ma…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Sponge keki

MahitajiUnga wa ngano (self risen flour) 100gSukari (sugar) 100gSiagi isiyokuwa na chumvi (unsalted butter) 100gMayai (eggs) 2Vanila 1 kijiko cha chaiChumvi pinchWarm water 3 vijiko vya chakulaMatayarishoKwanza washa oven moto wa 200 C. Baada ya hapo saga butter na sukari mpaka viwe laini kisha tia …

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya mboga mchanganyiko

MahitajiViazi ulaya 4 vya wastaniHoho jekundu 1/2Hoho la njano 1/2Hoho la kiajani 1/2Njegere 1 kikombe cha chaiCarrot 1 kubwaBroccoli kidogoCauliflower kidogoKitunguu 1Nyanya 1/2 kopoSwaum/tangawizi 1 kijiko cha chakulaCurry power 1 kijiko cha chakulaCoriander powder 1 kijiko cha chaiTarmaric 1/2 ki…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya choroko

MahitajiChoroko kikombe 1 na nusuNazi kopo 1Kitunguu kikubwa 1Nyanya 1/2 kopoSwaum 1 kijiko cha chaiCurry powder 1 kijiko cha chaiChumvi kiasiOlive oilPilipili nzimaMatayarishoLoweka choroko usiku mzima kisha zichemshe mpaka ziive na ziweke pembeni. Baada ya hapo saga pamoja nyanya, kitunguu, na swa…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kuandaa Ndizi Mbichi Za Supu Ya Nyama Ng’ombe

MahitajiNdizi mbichi - KisiaNyama ng’ombe - Β½ kiloPilipili ya kusaga - 1 kijiko cha chaiTangawizi ya kusaga - 2 vijiko vya supuThomu (garlic/saumu) - 1 kijiko cha supuBizari mchuzi - 1 kijiko cha chaiNazi ya unga (ukipenda kuongezea) - 2 vijiko cha supuChumvi - KiasiNdimu - 1 kamuaNamna Ya Kutayaris…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Biriani Ya Nyama Mbuzi Ya Mtindi Na Zaafaraan

Vipimo - NyamaNyama mbuzi - 1 kiloKitunguu menya katakata - 1Nyanya/tungule - 2Thomu (kitunguu saumu/garlic) saga - 5 chembeTangawizi mbichi – kuna/grate au saga - 1 kipandePilipili mbichi saga - 2Bizari ya pilau nzima (cumin seeds) - Β½ kikombe cha kahawaMdalasini - 1 kijitiKarafuu nzima - 5 chembeG…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Ndizi mzuzu

MahitajiNdizi tamu (plantain) 3-4Tui la nazi (coconut milk) kikombe 1 cha chaiSukari (sugar) 1/4 ya kikombe cha chaiHiliki (Ground cardamon) 1/4 ya kijiko cha chaiChumvi (salt) 1/4 ya kijiko cha chaiMatayarishoMenya ndizi kisha zikwangue utomvu wote. Baada ya hapo zikate kati (kiurefu) na kisha kata…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Mseto Kwa Mchuzi Wa Samaki Wa Nazi

Vipimo vya msetoTanbihi: Kiasi ya vipimo inategemea wingi wa watu, unaweza kupunguza au kuongeza. Hiki ni kiasi cha watu 6 takriban.Chooko - 3 VikombeMchele - 2 VikombeSamli - 2 vijiko Vya supuChumvi - kiasiNAMNA YA KUTAYARISHA NA KUPIKASafisha na kosha chooko utoe taka taka zote.Osha mchele kisha r…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Biriani ya Nyama Ng'ombe Na Mtindi

MahitajiMchele wa biriani - 5 gilasiNyama ya ngombe ya mifupa - 1 Β½ kilo na nusuVitunguu - 2 kiloTangawizi mbichi - ΒΌ kikombeThomu (saumu/garlic) - 3 vijiko vya supuMtindi - 2 vikombeNyanya ilokatwakatwa (chopped) - 3Nyanya kopo - 1 kikombeMasala ya biriani - 2 vijiko vya supuHiliki ya unga - 2 viji…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Magimbi Kwa Nyama Ya Ng’ombe

VipimoMajimbi (Eddoes) kiasi 6 au 7Nyama ng’ombe Β½ kilosTangawizi ilosagwa 1 kijiko cha kuliaHaldi (bizari manjano/turmeric) Β½ kijiko cha chaiTui zito la nazi vikombe 2Chumvi kiasiNamna Ya Kutayarisha Na KupikaSafisha nyama kisha weka chumvi, bizari ya manjano, tangawizi mbichi, ukaushe kwanza katik…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Wali Mweupe Kwa Mchuzi Wa Kuku Wa Balti

VipimoKuku 1 mkate vipande vipandeVitunguu 3 katakata (chopped)Nyanya 5 zikatekate (chopped)Tangawizi mbichi ilokunwa au ilosagwa 1 kijiko cha kuliaThomu (kitunguu saumu) kilosagwa kijiko 1 cha kuliaBizari mchanganyiko (garam masala) kijiko 1 cha chaiJira/bizari ya pilau (cummin powder) kijiko 1 cha…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Ugali Mchuzi Wa Samaki Nguru Wa Nazi Na Bamia Za Kukaanga

Vipimo Vya Ugali:Unga wa mahindi/sembe - 4Maji - 6 takribanNamna Ya Kutayarisha Na KupikaChota unga kidogo katika kibakuli uchanganye na maji kidogo .Weka maji mengineyo katika sufuria kwenye moto.Changanya na mchanganyiko mdogo ufanya kama uji.Kisha kidogo kidogo unaongeza sembe huku unakoroga na k…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Biriani Nyepesi Kupika Ya Samaki

VipimoMchele wa pishori (basmati) - 4Vitunguu katakata - 3Nyanya (tungule) katakata vipande vikubwa - 3 -5Pilipili boga la kijani (capsicum) katakataSupu ya kitoweo au vidonge vya supu - 1Bizari mchanganyiko Garama masala - 5-7Pilipili mbichi ya kusaga - KiasiZaafarani ya maji (flavor) - 1 kijiko ch…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Pilau Ya Nyama Ya Ng'ombe Na Nyanya

VipimoMchele (Basmati) - 3 vikombeNyama ya ngo’mbe - 1 kgPilipili boga - 1 kubwaNyanya - 2 kubwaVitunguu maji - 2 vikubwaKitunguu saumu(thomu/galic) iliyosagwa - 1 kijiko cha supuTangawizi - 1 kijiko cha chaiNdimu - 1Mafuta ya kupikia - Β½ kikombeMdalasini - Β½ kijiko cha chaiBinzari nyembamba - 1 kij…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Wali Wa Nyanya Wa Kukaanga

VipimoMchele basmati, pishori - 3 vikombeVitunguu katakata - 2Nyanya/tungule katakata - 5 takribanViazi/mbatata menya katakata - 3 kiasiThomu (saumu/garlic) ilosagwa - 1 kijiko cha supuBizari mchanganyiko - 1 kijiko cha kuliaHiliki ya unga - Β½ kijiko cha chaiKidonge cha supu - 2Chumvi - kisiaMafuta …

Open printable article β†’