πMapishi ya Viazi vya nyama
MahitajiViazi (potato) 1 kiloNyama ya ng'ombe 1/2 kiloNyanya ya kopo iliyosagwa 1/2 tinVitunguu maji 2Tangawizi/ swaum 1 kijiko cha chaiHoho 1Curry powder 1 kijiko cha chaiPilipili ya unga 1/2 kijiko cha chaiLimao 1/2ChumviCorianderMafuta ya kupikiaMatayarishoSafisha na katakata nyama ktk vipande viβ¦
Open printable article βπMapishi ya Mihogo ya nazi na kuku
MahitajiMihogo kilo 1Kidali cha kuku 1 kikubwaNyanya 1 kubwaKitunguu maji 1 cha wastaniSwaum/tangawizi i kijiko cha chaiNazi kopo 1curry powder 1 kijiko cha chaiBinzari manjano 1/2 kijiko cha chaiLimao 1/2Pilipili 1Chumvi kiasiMatayarishoSaga pamoja nyanya, kitunguu na swaum/ginger pamoja na vimaji β¦
Open printable article βπMapishi ya samaki aina ya salmon
MahitajiSalmon fillet 2Potatao wedge kiasiLettice kiasiCherry tomatoLimao 1SwaumChumviOlive oilMatayarishoMmarinate samaki na chumvi, swaum na nusu ya limao kisha muweke pembeni, baada ya hapo washa oven kisha tia potato wedge zikisha karibia kuiva anza kumpika samaki, tia mafuta kidogo sana kama kiβ¦
Open printable article βπMapishi ya Mseto wa choroko
MahitajiMchele 2 vikombe vya chaiChoroko kikombe 1 na 1/2Nazi kopo 1Swaum 1 kijiko cha chakulaKitunguu 1 kikubwaBinzari nyembamba 1 kijiko cha chaiChumviMafutaMatayarishoLoweka choroko usiku mzima, pindi ukianza kupika loweka mchele nusu saa kisha katika sufuria kubwa, kaanga vitunguu vikianza kuwa β¦
Open printable article βπMapishi ya Maini ya ng'ombe
MahitajiMaini (Cow liver) 1/4 kiloVitunguu (chopped onion) 2Nyanya (chopped tomato) 1Kitunguu swaum/tangawizi (ginger /garlic paste) 1 kijiko cha chaiMafuta ya kupikiaChumviCorianderCurry powder 1 kijiko cha chaiLimao (lemon) 1/4Pilipili (scotch bonnet ) 1MatayarishoSafisha maini na ukate vipande viβ¦
Open printable article βπMapishi ya Mlenda wa bamia na nyanya chungu
MahitajiBamia (okra) 20Nyanya chungu (garden eggs) 5Magadi soda (Bicabonate soda) 1/4 ya kijiko cha chaiNyanya (fresh tomato) 1Chumvi (salt) kidogoPilipili 1/4MatayarishoOsha bamia, nyanya chungu na nyanya kisha vikatekate katika vipande vidogovidogo. Baada ya hapo vitie kwenye sufuria na vitu vyoteβ¦
Open printable article βπMapishi ya Dagaa wa nazi, nyanya chungu na bamia
MahitajiDagaa waliokaushwa (dried anchovy 2 kikombe cha chai)Bamia (okra 5)Nyanya chungu (garden egg 5)Tui la nazi (coconut milk 1 kikombe cha chai)Nyanya (fresh tomato 2)Kitunguu (onion 1)Curry powder 1/2 ya kijiko cha chaiTurmeric powder 1/2 kijiko cha chaiLimao (lemon 1/2)Chumvi (salt kiasi)Pilipβ¦
Open printable article βπMapishi ya Maharage
MahitajiMaharage (beans 2 vikombe vya chai)Nazi (coconut milk kiasi)Vitunguu maji (onion 1kikubwa)Nyanya (fresh tomato 1)Kitunguu swaum (garlic paste 1/4 kijiko cha chai)Chumvi (salt kiasi)Curry powder 1 kijiko cha chaiMafuta (vegetable oil)MatayarishoChemsha maharage mpaka yaive kisha yaweke pembenβ¦
Open printable article βπMapishi ya Samaki wa kupaka
MahitajiSamaki (Tilapia 2)Nyanya ya kopo (Tomato tin 1)Kitunguu (Onion 1)Tangawizi (ginger kiasi)Kitunguu swaum (garlic clove )Mafuta (Vegetable oil)Pilipili (scotch bonnet pepper 1)Tui la nazi zito (coconut milk 2 vikombe vya chai)Curry powder 1/2 cha kijiko cha chaiBinzari nyembamba ya unga (grounβ¦
Open printable article βπMapishi ya Maharage na spinach
MahitajiMaharage yaliyochemshwa kiasiSpinach zilizokatwa kiasiVitunguu maji 2Nyanya 1/2 kopoSwaum/Tangawizi 1 kijiko cha chakulaCurry powder 1 kijiko cha chaiOlive oilChumviMatayarishoKaanga vitunguu vikianza kuwa vya brown tia tangawizi/swaum kisha nyanya. Pika mpaka nyanya ziive kisha tia curry poβ¦
Open printable article βπMapishi ya Mchuzi wa kambale
MahitajiKambale 2Nazi kopo 1Nyanya kopo 1Vitunguu 2Curry powder 1 kijiko cha chaiTurmaric 1/2 kijiko cha chaiBinzari nyembamba ya unga 1/2 kijiko cha chaiSwaum/ tangawizi 1 kijiko cha chakulaGiligilani kiasiLimao 1/2ChumviOlive oilMatayarishoLoweka samaki katika maji ya moto kwa muda wa muda wa nusuβ¦
Open printable article βπMapishi ya Firigisi za kuku
MahitajiFiligisi (chicken gizzard) 1/2 kiloCarrot iliyokwanguliwa 1Nyanya 1/2 kopoVitunguu maji 1 kikubwaTangawizi/swaum 1 kijiko cha chaiHoho 1 iliyokatwakatwaLimao 1/2ChumviCurry powder 1/2 kijiko cha chaiTurmaric 1/2 kijiko cha chaiChilli powder 1/4 kijiko cha chaiMafutaChopped corianderMatayarisβ¦
Open printable article βπMapishi ya Kabichi
MahitajiKabichi 1/2 kiloNyanya ya kopo 1/2Kitunguu 1Curry powder 1/2 kijiko cha chaiChumviOlive oilMatayarishoKwanza kabisa bandua magada ya juu ya kabichi, kisha ioshe na uikaushe maji baaba ya hapo katakata kabichi (inapendeza zaidi kama ikikatwa nyembamba) kisha saga pamoja nyanya na kitunguu. Baβ¦
Open printable article βπMapishi ya Maini ya kuku
MahitajiMaini ya kuku 1/2 kiloVitunguu vikubwa 2Hoho 1Pilipil 1Limao 1/2Swaum/tangawizi 1 kijiko cha chaiCurry powder 1/2 kijiko cha chaiMafuta ya kupikiaMatayarishoSafisha maini weka pembeni. Baada ya hapo kaanga vitunguu,swaum na tangawizi pamoja (hakikisha vitunguu visiwe vya brown), kisha tia maβ¦
Open printable article βπMapishi ya Tambi za sukari
MahitajiTambi (spaghetti 1/2 ya packet)Mafuta (vegetable oil)Sukari (sugar 1/2 kikombe cha chai)Hiliki (cardamon 1/2 kijiko cha chai)Chumvi (salt 1/2 kijiko cha chai)Tui la nazi (coconut oil 1 kikombe cha chai)Maji kiasiMatayarishoTia mafuta kiasi kwenye sufuria kisha ibandike jikoni (katika moto waβ¦
Open printable article β