PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

Upishi na Maandalizi ya Milo yenye Afya Β· 266

πŸ“„

Mapishi ya Wali, mchicha wa nazi na nyama ya kukaanga

MahitajiMchele (rice 1/2 kilo)Mchicha uliokatwakatwa (spinach mafungu 2)Nyama (beef 1/2 ya kilo)Nyanya (tin tomato 1/2 ya tin)Nyanya chungu ( garden egg 3)Kitunguu swaum (garlic cloves 3)Tangawizi (ginger)Curry powderVitunguu (onion 2)Limao (lemon 1)ChumviPilipili (scotch bonnet pepper )Tui la nazi …

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Wali maharage,mchuzi wa samaki na spinach

MahitajiMchele (rice 1/2 kilo)Maharage yaliyochemshwa (boiled red kidney beans 1 kikombe cha chai)Samaki waliokaangwa ( 2 fried fish)Nyanya ya kopo (tin tomato 1/2 ya tin)Vitunguu vilivyokatwa (onion 2)Kitunguu swaum (garlic 3 cloves)Tangawizi (ginger kiasi)Limao (lemon 1/2)Chumvi (salt)Pilipili (sc…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Viazi, samaki na asparagus

MahitajiViazi (potato 1/2 kilo)Samaki (fish 2)Asparagus 8Kitunguu kilichokatwa (chopped onion 1)Kitunguu swaum kilichosagwa (garlic 4 cloves)Tangawizi iliyosagwa kiasi (ginger paste)Limao (lemon 1)Giligilani iliyokatwakatwa (chopped coriander)Curry powder (kijiko 1 cha chai)Chumvi (salt)Mafuta (vege…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Pilau ya nyama ya ng'ombe na kachumbari

MahitajiMchele (rice vikombe 3)Nyama ya ng'ombe (beef 1/2 kilo)Viazi mbatata (potato 3)Vitunguu maji (onions 3)Kitunguu swaum (garlic cloves 4)Tangawizi iliyosagwa (ginger kiasi)Hiliki nzima (cardamon 4)Karafuu (clove 4)Pilipili mtama (blackpepper 4)Amdalasini (cirnamon stick 1)Binzari nyembamba nzi…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Ndizi na samaki

MahitajiNdizi laini (Matoke 6)Viazi mbatata (potato 3)Samaki wabichi wa wastani ( Fresh tilapia 2)Kitunguu swaum (garlic 6 cloves)Tangawizi (fresh ground ginger vijiko 2 vya chai)Nyanya ya kopo (tin tomato 1/2 kopo)Vitunguu (onion 1)Pilipili (chilli 1 nzima)Chumvi (salt to your taste)Mafuta (vegetab…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Pasta za cream na uyoga

MahitajiPasta (2 na 1/2 vikombe vya chai)Uyoga (mashroom 2 vikombe vya chai)Cream (1 kikombe cha chai)Mafuta (vegetable oil)Kitunguu (onion 1)ChumviMajani ya basil (dried basil leaves 1/2 kijiko cha chai)MatayarishoChemsha maji ya kutosha kisha tia chumvi na mafuta kidogo katika hayo maji na baadae …

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Biriani

MahitajiMchele (rice 1/2 kilo)Nyama (beef 1/2 kilo)Vitunguu (onion 2)Kitunguu swaum (garlic 1 kijiko cha chai)Tangawizi (ginger 1 kijiko cha chai)Maziwa mgando (yogurt 1 kikombe cha chai)Hiliki nzima (cardamon 6)Amdalasini nzima (cinamon stick 2)Karafuu nzima (cloves 6)Pilipili mtama nzima (black pe…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Wali na kuku wa kienyeji

MahitajiKuku wa kienyeji (boiler chicken 1)Mchele (rice 1/2 kilo)Nyanya ya kopo (tin tomato 1)Vitunguu (onion 2)Vitunguu swaum (garlic cloves 6)Tangawizi (ginger)Carry powderBinzari ya njano (Turmaric 1/2)Njegere(peas 1/2kikombe)Carrot iliyokwanguliwa 1Limao (lemon 1)Bilinganya (aubergine 1)ChumviPi…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya chipsi

MahitajiViazi (potato) 1/2 kiloMafuta ya kukaangia (veg oil)ChumviMatayarishoMenya viazi kisha vioshe na vikaushe maji yote kwa kutumia kitchen towel.Baada ya hapo katakata katika shape ya chips uzipendazo either nyembamba au nene kisha zikaushe tena maji na uzitie chumvi. Baada ya kuzitia chumvi tu…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Wali wakukaanga

MahitajiMchele (Basmati rice) 1 kiloVitunguu (chopped onion) 2 vikubwaGarlic powder 1/2 kijiko cha chaiNjegere (peas) 1 kikombeTurmaric 1/2 kijiko cha chaiCoriander powder 1/2 kijiko cha chaiCumin seeds 1/2 kijiko cha chaiMafuta ya kupikia 2 vijiko vya chakulaChumvi kiasiMatayarishoOsha kisha loweka…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya wali wa mboga

MahitajiWali uliopikwa (cooked rice) kiasiHoho la kijani (green pepper) 1/2Hoho jekundu (red pepper) 1/2Carrot 1Kitunguu kikubwa (onion) 1Njegere (pears) 1/2 kikombe cha chaiMayai (eggs) 2Uyoga (mushroom) 2 vikombe vya chaiSoy source 2 vijiko vya chakulaChumvi (salt) kiasiMafuta (veg oil) 3 vijiko v…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya wali wa Kiafrika Mangaribi

MahitajiMchele (rice vikombe 2 na 1/2)Vitunguu (onion 2)Nyanya ya kopo (tin tomato kopo 1)Tangawizi (ginger paste kijiko 1 cha chakula)Kitunguu swaum (garlic paste kijiko 1 cha chakula)Paprika (kijiko 1 na 1/2 cha cha chai)Pilipil (scotch bonnet pepper 1)Curry powder (kijiko 1 cha chai)Maggi cubes 3…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya wali wa hoho nyekundu

MahitajiPilipili hoho (Red pepper 3)Cougette 1Kitunguu (onion 1)Uyoga (mashroom 1 kikombe cha chai)Carrot 1Nyanya (fresh tomato 1)Nyanya ya kopo iliyosagwa (tomato paste 3 vijiko vya chai)Giligilani (fresh coriander)Binzari manjano (Turmaric 1/2 ya kijiko cha chai)Curry powder 1/2 ya kijiko cha chai…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya chipsi na samaki wa kuchoma

MahitajiViazi ulaya (baking potato 5 vya wastani)Parprika 1 kijiko cha chaiPilipili mtama ilyosagwa (ground black pepper 1 kijiko cha chaiKitunguu swaum cha unga (garlic powder 1 kijiko cha chai)Chumvi (salt)Mafuta (vegetable oil)Marination za samaki (angalia kwenye recipe ya samaki ya nyuma)Matayar…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Ndizi za nazi na utumbo

MahitajiNdizi mshale 10Utumbo wa ng'ombe 1/2 kiloNazi ya kopo 1Nyanya 1Kitunguu kikubwa 1Tangawizi/ swaum 1 kijiko cha chakulaOlive oil kiasiLimao 1ChumviCurry powder 1 kijiko cha chaiTurmaric 1/2 kijiko cha chaiCoriander ya powder 1/2 kijiko cha chaiPilipili ya unga 1/2 kijiko cha chaiPilipili kali…

Open printable article β†’