PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

Upishi na Maandalizi ya Milo yenye Afya Β· 266

πŸ“„

Mapishi ya Kuku wa kukaanga

MahitajiMiguu ya kuku (chicken legs) 10Kitunguu swaum na tangawizi (ginger & garlic paste) 1 kijiko cha chakulaLimao (lemon) 1Pilipili iliyosagwa (ground scotch bonnet) 1/2Giligilani iliyokatwakatwa (chopped coriander) kiasiChumvi (salt) kiasiMafuta ya kukaangia (veg oil)MatayarishoSafisha kuku kish…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kutengeneza Mkate wa mayai

MahitajiSlice za mkate 6Mayai 3ChumviOlive oilMatayarishoVunja mayai yote katika sahani kisha tia chumvi kidogo sana na uyapige mpaka chumvi ichanganyike. Kisha chukua frying pan na utie vimafuta kidogo na uweke jikoni. Mafuta yakishapata moto kiasi,chovya slice za mkate katika hayo mayai na uzipike…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Mishkaki ya kuku

Kidali cha kuku 1 kikubwaSwaum,tangawizi 1 kijiko cha chaiLimao 1/2Pilipili ya unga 1/2 kijiko cha chaiCurry powder 1/2 kijikoPaprika 1/2 kijiko cha chaiHoho jekundu 1/2Hoho la njano 1/2Kitunguu 1/2ChumviOlive oilMatayarishoKatakata kuku ktk vipande vya mishkaki ya kawaida kisha vimarinate na vitu v…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Pilau Ya Samaki WaTuna Na Mboga

ViambaupishiMchele 2 MugsMboga mchanganyiko za barafu 1 Mug(Frozen veg)Tuna (samaki/jodari) 2 kopoKitunguu saumu(thomu/galic) na tangawizi 2 vijiko vya supuGaram masala 1 kijiko cha supuNyanya 2Kitungu maji 1Mdalasini nzima 2 vijitiKarafuu 6 chembePilipili mbichi 1Chumvi kiasiViazi 3Maji 2 Β½ MugsMaf…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mchemsho wa samaki na viazi

MahitajiSamaki mbichi (1)Viazi mbatata (3)Nyanya (1)Kitunguu majiLimaoKitunguu saumuTangawiziChumviPilipiliVegetable oilMatayarishoSafisha samaki kisha mmarinate na tangawizi, kitunguu swaum, chumvi na limao kwa muda wa masaa mawili. Baada ya hapo menya viazi na uvikate vipande vidogo kisha vioshe n…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Wali, samaki, bilinganya na spinach

MahitajiSamakiSpinachBilinganyaNyanya ya kopo (Kopo 1)Vitunguu majiVitunguu swaumuTangawiziPilipli mbuziChumviLimaoCarry powderMcheleMafuta ya kupikiaCorianderHilikiAmdalasiniKarafuuMatayarishoOsha samaki na kisha wamarinate na vitunguu swaumu, tangawizi, limao, chumvi na pilipili kwa muda wa masaa …

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kutengeneza saladi

MahitajiTango 1/2Kitunguu 1/2Cherry tomato 8Lettice kiasiGreen olives kidogoBlack olives kidogoHoho jekundu 1CarrotGiligilani kidogoSalad dressingYogurt 1/2 kikombeSwaum 1/2 kijiko cha chaiLimao 1/2Pilipili ya unga 1/4 kijiko cha chaiChumvi kidogoOlive oil kiasiMatayarishoOsha vitu vyote kisha vikau…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Bilinganya

MahitajiBilinganya 2 za wastaniNyanya kubwa 1Kitunguu maji 1 kikubwaSwaum 1/2 kijiko cha chaiLimao 1/4Pilipili ya unga 1/2 kijiko cha chaiParpika 1/4 kijiko cha chaiPilipili mtama 1/4 kijiko cha chaiCurry powder1/4 kijiko cha chaiChumvi kiasiCorianderOlive oilMatayarishoKatakata bilinganya slice nye…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Supu ya makongoro

MahitajiMakongoro (miguu ya ng'ombe) kiasiLimao 1 kubwaKitunguu swaumTangawiziChumviPilipiliMatayarishoSafisha makongoro kisha yatie kwenye pressure cooker. Kisha tia kitunguu swaum, tangawizi, chumvi,limao na maji kiasi. Baada ya hapo yachemshe mpake yaive na yawe malaini na pia ubakize supu kiasi …

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Mchemsho wa ndizi na nyama

MahitajiNdizi mbichi 6Nyama ya ng'ombe (nusu kilo)Viazi mviringo 2Kitunguu swaumTangawiziKitunguu majiNyanya 1 kubwaMafuta (vegetable oil)ChumviLimaoPilipiliMatayarishoChemsha nyama na limao, kitunguu swaum, tangawizi chumvi na maji kiasi mpaka nyama iive, Hakikisha unaiacha na supu kiasi kwa ajili …

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Wali, samaki wa nazi na kisamvu

MahitajiMcheleKisamvu kilichotwangwaSamakiMbaaziNyanya chunguVitunguuNyanya ya kopoTangawiziKitunguu swaumVegetable oilCurry powderTui la nazi (kopo 2)ChumviPilipiliLimaoMatayarishoSafisha samaki kisha wamarineti na kitunguu swaum, tangawizi, pilipili, chumvi na limao kwa muda wa masaa 3.Baada ya ha…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Tambi na nyama ya kusaga

MahitajiTambi (Spaghetti)Nyama ya kusagaKitunguu majiNyanya ya kopoKitunguu swaumTangawiziCarrotHohoLemonChumviCurry powderMafutaFersh corianderMatayarishoKatakata vitunguu maji, carrot, hoho, kisha weka pembeni. Saga vitunguu swaum na tangawizi pamoja kisha weka pembeni. Baada ya hapo injika sufuri…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Ugali, dagaa (wabichi) na matembele

MahitajiDagaa wabichi (Fresh anchovies packet 1)Unga wa ugali (corn meal flour 1/4 kilo) (unaweza kutumia unga wa choice uipendayo)Matembele ya kukaushwa (dried sweet potato leaves, handful)Nyanya ya kopo (tin tomato 1)Kitunguu maji (onion 2)Limao (lemon 1/4)Pilipili mbuzi nzima bila kukata (scotch …

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Biriani la nyama ya ng'ombe

MahitajiNyama ya ng'ombe (beef 1/2 kilo)Mchele (rice 1/2 kilo)Vitunguu (onion 2)Viazi (potato 2)Vitunguu swaum (garlic 3 cloves)Tangawizi (ginger)Nyanya ya kopo (tomato 1/2 ya tin)Curry powder (1/2 kijiko cha chai)Binzari nyembamba ya kusaga (cumin 1/2 kijiko cha chai)Binzari manjano (tarmaric 1/2 k…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Ugali na dagaa

MahitajiDagaa (dried anchovies packet 1)Unga wa ugali (corn meal flour 1/4 kilo) (unaweza kutumia unga wa choice uipendayo)Nyanya ya kopo (tin tomato 1/2)Kitunguu maji (onion 1)Limao (lemon 1/4)Pilipili mbuzi nzima bila kukata (scotch bonnet pepper1, do not chop)Chumvi (salt 1/4 ya kijiko cha chai)M…

Open printable article β†’