πMapishi ya Mitai
VIAMBAUPISHIUnga wa ngano - magi 2 (vikombe vikubwa)Hamira kijiko 1 cha chaiSukari Vijiko 2 vya supuMaziwa ΒΎ MagiSiagi Vijiko 2 vya supuMafuta ya kukaangia kiasiVIAMBAUPISHI:SHIRASukari ΒΎ KikombeMaji ΒΎ KikombeIlliki ya unga kiasiZafarani kiasiJINSI YA KUPIKAKatika bakuli, changanya vipimo vyote pamoβ¦
Open printable article βπJinsi ya kutengeneza Biskuti Za Ufuta Na Jam
VIAMBAUPISHIUnga vikombe 2Sukari ya kusaga 1/4 KikombeSiagi 250 gmsJam kisiaUfuta kisiaVanilla 1 kijiko cha chaiMAPISHITia kwenye mashine ya kusaga (blender) au mashine ya keki, siagi, yai, sukari na vanilla uchanganye hadi ichanganyike vizuri.Tia baking powder, na unga na changanya kwa mkono vizuriβ¦
Open printable article βπJinsi ya kutengeneza Biskuti Za Tende Na Ufuta
MAHITAJIUnga - 3 Vikombe vya chaiBaking powder - 1 Β½ Vijiko vya chaiSukari - 1 Kikombe cha chaiSiagi - 1 Kikombe cha chaiMayai - 2Maji - kiasi ya kuchanganyiaTende - 1 Kikombeufuta - ΒΌkikombeMAPISHIChanganya unga, siagi, baking powder, na sukari katika bakuliTia mayai, na maji kidogo uchanganye vizuβ¦
Open printable article βπJinsi ya kutengeneza Visheti Vyeupe Na Vya Kaukau
VIAMBAUPISHIUnga - 4 Vikombe vya chaiSiagi - 1 Kikombe cha chaiHiliki Β½ Kijiko cha chaiVIAMBAUPISHI:SHIRASukari - 2 Vikombe vya chaiMaji - 1 Kikombe cha chaiVanilla Β½ Kijiko cha chai(cocoa ukipenda kugawa visheti aina mbili) 2 Vijiko vya chai.JINSI YA KUTENGENEZATia unga kwenye bakuli pamoja na siagβ¦
Open printable article βπJinsi ya kupika Eggchop
MahitajiMayai yaliochemshwa 4Nyama ya kusaga robo kiloKitunguu swaumTangawiziLimaoChumviPilipiliBreadcrambsCarry powderBinzari nyembamba ya ungaYai moja bichiMafutaMatayarishoMarinate nyama na pilipili, kitunguu swaum, tangawizi, limao, chumvi, carry powder, binzari nyembamba na breadcrambs pamoja. β¦
Open printable article βπMapishi ya Viazi vitamu na kachumbari
MahitajiViazi utamu 3Nyanya 2 kubwaKitunguuTangoLimaoChumviPilipiliMafuta (vegetable oil)MatayarishoMenya viazi na kisha vikate katika vipande. Tia mafuta kwenye chuma cha kukaangia, yakisha pata moto tia viazi nauviache vikaangike mpaka upande mmoja uwe wa brown na kisha geuza upande wa pili na upiβ¦
Open printable article βπJinsi ya kupika Mitai
VIAMBAUPISHIUnga wa ngano 1 1/2 KikombeBaking powder 1 Kijiko cha chaiBaking soda ΒΌ Kijiko cha chaiChumvi Β½ kijiko cha chaiSukari 1 kijiko cha supuHamira 1/2 Kijiko cha supuYai 1Maziwa Β½ KikombeMafuta ya kukaangiaVIAMBAUPISHI:SHIRASukari 1 KikombeMaji Β½ KikombeIliki au Mdalasini ΒΌ kijiko cha chai (yβ¦
Open printable article βπMapishi ya Bagia dengu
MahitajiUnga wa dengu (gram flour 1/4 kilo)Kitunguu kilichokatwa (onion 2)Hoho (green pepper 1/2)Pilipili iliokatwakatwa (scotch bonnet pepper 1/2)Barking powder (1/4 ya kijiko cha chai)Chumvi (salt)Kitunguu swaum (garlic cloves 2)Mafuta ya kukaangia (vegetable oil)Binzari manjano (turmeric 1/4 ya kβ¦
Open printable article βπMapishi ya Mandazi Matamu
MahitajiUnga wa ngano (nusu kilo)Sukari (Kikombe 1 cha chai)Chumvi (nusu kijiko cha chai)Hamira (kijiko kimoja cha chai)Yai (1)Maziwa ya unga (vijiko 2 vya chakula)Butter (kijiko 1 cha chakula)Hiliki (kijiko1 cha chai)Maji ya uvuguvugu ya kukandiaMafuta ya kuchomeaMatayarishoTia unga kwenye bakuli kβ¦
Open printable article βπMapishi ya Kachori
MahitajiViazi mbatata (potato 4 vya wastani)Nyama ya kusaga (mince beef 1 kikombe cha chai)Kitunguu (onion 1 cha wastani)Carrot 1Hoho (green pepper 1/2)Kitunguu swaum (garlic)Tangawizi (ginger )Binzari nyembamba (ground cumin 1/2 kijiko cha chai)Binzari manjano (turmeric 1/2 kijiko cha chai)Curry poβ¦
Open printable article βπMapishi ya bagia na chatney ya machicha ya nazi
MahitajiKunde (Ila mimi nilitumia Nigerian brown beans 1/2 kilo)Vitunguu maji (onion 2)Pilipili (scotch bonnet pepper 2)Vitunguu swaum (garlic 4 cloves)Chumvi (salt)Barking powder (1/2 kijiko cha chai)Machicha ya nazi (grated coconut 1 kikombe cha chai)Limao (lemon 1)Mafuta (vegetable oil)Matayarishβ¦
Open printable article βπMapishi ya Chapati za maji za vitunguu
MahitajiUnga wa ngano (plain flour) 1/4Kitunguu kikubwa (chopped/slice onion) 1Yai (egg) 1Chumvi (salt)Mafuta (cooking oil)MatayarishoTia unga, chumvi na maji kiasi katika bakuli kisha koroga mpaka madonge yote yaondoke. Baada ya hapo tia yai na vitunguu kisha koroga tena mpaka mchanganyiko wote uchβ¦
Open printable article βπMapishi ya Sambusa za nyama
MahitajiNyama ya kusaga (minced beef 1/4 kilo)Vitunguu maji vilivyokatwakatwa(diced onion 2 vikubwa )Kitunguu swaum/ tangawizi (garlic and ginger paste 1 kijiko cha chakula)Chumvi (salt)Pilipili iliyokatwakatwa (scotch bonnet 1)Limao (lemon 1/2)Curry powder 1/2 kijiko cha chaiCinnamon powder 1/4 kijβ¦
Open printable article βπMapishi ya Mandazi ya nazi
MahitajiUnga wa ngano (self risen flour) vikombe 2 na1/2Sukari (sugar) 1/2 kikombeHamira (yeast) 1/2 kijiko cha chaiHiliki (cardamon powder) 1/4 kijiko cha chaiTui la nazi (coconut milk) kiasiBaking powder 1/4 kijiko cha chaiSiagi (butter)1 kijiko cha chakulaMafuta ya kukaagiaMatayarishoChanganya unβ¦
Open printable article βπMapishi ya Half cake (Keki)
MahitajiUnga wa ngano (self risen flour) kikombe 1na 1/2Sukari (sugar) 1/4 kikombeBarking powder 1/2 kijiko cha chaiMagadi soda (bicarbonate soda) 1 kijiko cha chaiMafuta 2 vijiko vya chaiMafuta ya kukaangiaMaji ya uvuguvugu kiasiMatayarishoChanganya unga na vitu vyote (kasoro mafuta ya kuchomea) kiβ¦
Open printable article β