PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

Upishi na Maandalizi ya Milo yenye Afya Β· 266

πŸ“„

Jinsi ya kupika Viazi Vya Nazi Kwa Nyama

MahitajiViazi - 3lbNyama - 1lbKitunguu - 1Nyanya - 2Kitunguu saumu(thomu/galic) - 1 kijiko cha chaiManjano - Β½ kijiko cha chaiCurry powder - Β½ kijiko chaiNyanya kopo - 1 kijiko cha chaiPilipili ya unga - kiasi upendavyoChumvi - kiasiKidonge cha supu - 1Tui la nazi - 1 kopoau zaidiMtindi ukipenda - 3…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kuandaa Pilau ya sosi ya soya, nyama na mboga

MahitajiNyama isiyokuwa na mifupa - 1 Β½ Lb(ratili)Mchele wa Basmati (rowanisha) - 3 MagiVitunguu maji - 2Mchanganyiko wa mboga za barafu - 1 Magi(karoti, mahindi, njegere)Pilipili Mbichi - 3Pilipili mboga kijani na nyekundu - 1Pilipili manga - Β½ kijiko cha chaiChumvi - KiasiSosi ya soya (soy sauce) …

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kuandaa Muhogo, Samaki Wa Kuchoma Na Bamia

MahitajiMihongo 3 - 4Tui - 1000 mlChumvi - 1 kijiko cha chaiKitunguu maji kilokatwakatwa - 1Nyanya mshumaa - 3-4Pilipili mbichi ndefu - 2-3Pilipili boga - 2Namna Ya Kutayrisha Na KupikaMenya mihogo kisha ikate kate vipande inchi tatu hadi nne, kila kipande kigawe kitoke vipanda vinne. Toa mzizi kati…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Haliym Ya Nyama Mbuzi -Bokoboko La Pakistan

MahitajiNyama ya mbuzi au ng’ombe ya mafupa - 2 LBMchanganyiko wa dengu (hadesi, mchele, chooko, ngano, dengu n.k au nunua ya tayari iliyokwisha changanywa - 2 VikombeKitungu maji (vikate vidogo) - 1Mafuta - ΒΌ KikombeNyana kata ndogo ndogo - 1Kitunguu saumu(thomu/galic) na tangawazi iliyosagwa - 1 K…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Pilau ya Mpunga Na Nyama Ya Ng’ombe

MahitajiMpunga - 4 vikombeNyama - 1 kilo mojaKitunguu maji - 3Mbatata/viazi - 7 vidogodogoKitunguu saumu(thomu/galic) na tangawizi ilosagwa 3 vijiko cha supuBizari nzima/ya pilau/uzile/cumin - 3 vijiko vya supuMdalasini - 3 vipandeHiliki - 7 punjePilipili manga nzima - 1 kijiko cha supuChumvi kiasiM…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Ndizi na Nyama Ya Ng’ombe

MahitajiNdizi mbichi - 10-12Nyama ng’ombe - 1 kilo mojaKitunguu maji - 2Nyanya/tungule - 2Kitunguu saumu(thomu/galic) - 7Tangawizi mbichi - 1 kipandeNdimu - 2 kamuaChumvi - kiasiMafuta - 3 vijiko vya supuTui la nazi - 3 vikombeNamna Ya Kutayarisha Na KupikaSaga kitunguu thomu na tangawiz mbichi.Weka…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kuandaa Biriani Na Sosi Ya Nyama Ya Mbuzi

MahitajiNyama Ya Mbuzi - 1 KiloMchele - 4 MagiVitunguu - 3Nyanya - 2Nyanya kopo - 3 vijiko vya chaiKitunguu saumu(thomu/galic) na tangawizi iliyosagwa - 2 vijiko vya supuPilipili mbichi iliyosagwa - 1 kijiko cha supuGaram Masala (mchanganyiko wa bizari) - 2 vijiko vya supuHiliki - 1 kijiko cha chaiC…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Pilau Ya Kuku Kwa Mchele Mpya

MahitajiMchele - 1 kiloKuku - 1Vitunguu - 3Viazi/mbatata - 5Jira/bizari ya pilau nzima - 3 vijiko vya supuMdalasini - 1 kijitiPilipili manga - 1 kijiko cha supuHiliki - 3 chembeKarafuu - 5 chembeKitunguu saumu(thomu/galic) kilosagwa - 3 vijiko vya supuTangawizi mbichi ilosagwa - 3 vijiko vya supuMaf…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Wali Wa Kukaanga Kwa Nyama Mbuzi Ilichomwa Ya Sosi Ya Ukwaju

Vipimo Vya WaliMchele Basmati - 4 vikombeVitunguu vya majani (Spring onions) - 5 michePilipili mboga nyekundu (capsicum) - 1Pilipili mboga manjano (capscimu) - 1Nyanya kubwa - 1Supu ya kidonge - 2Siagi - 2 vijiko vya supuChumvi - kiasiNamna Ya Kutayarisha Na KupikaOsha mchele kisha roweka kiasi masa…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Ndizi Za Supu Ya Nyama Ya Ng’ombe

MahitajiNdizi - 15 takriibanNayma ya ng’ombe - 1 kiloKitunguu maji - 1Nyanya - 3Kitunguu saumu(thomu/galic) kilosagwa - 1 kijiko cha supuTangawizi mbichi ilosagwa - 1 kijiko cha supuPilipili mbichi ilopondwa - 2Jira/cummin/bizari ya pilau ilosagwa - 1 kijiko cha chaiNdimu - 1Chumvi - kiasiNamna Ya K…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Wali Wa Karoti Na Kuku Wa Kukaanga

Vipimo Vya WaliMchele wa Basmati/Pishori - 1 kilo mojaVitunguu maji - 3Karoti - 2Siagi - 3 vijiko vya supuKidonge cha supu (stock) - 1 kimojaChumvi - kiasiNamna Ya Kutayarisha Na KupikaΓ“sha mchele uroweke kama saa moja au mbiliKatakata vitunguu vipande vidogodogo (chopped) weka kando.Kwaruza karoti …

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Wali Wa Nazi Wa Adesi, Bamia Na Mchuzi Wa Kamba

MahitajiMchele - 2 vikombeAdesi -1 Β½ vikombeNazi ya unga - 1 KikombeMaji (inategemea mchele) - 3Chumvi - KiasiVipimo Vya Bamia:Bamia - Β½ kiloVitunguu maji - 2 vya kiasiNyanya iliyosagwa - 1 kubwaNyanya ya kopo - 2 vijiko vya chaiPilipili manga - Β½ kijiko cha chaiMafuta - 3 vijiko vya chaiNamna Ya Ku…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Borhowa

MahitajiDaal (lentils) nyekundu au/na kijani - 1 Kikombe kikubwaBizari ya manjano ya unga - 1/2 Kijiko cha chaiPili pili ya unga - 1/2 kijiko cha chaiChumvi - KiasiMaji ya ndimu - 3 Vijiko vya supuKitunguu - 1 kiasiKitunguu saumu(thomu/galic) - 1 Kijiko cha chaiBizari ya unga (cummin powder) - 1 Kij…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya wali kuku wa Kisomali

Mahitaji ya waliMchele - 3 vikombeVitunguu (viliokatwa vidogo vidogo) - 2Mafuta - 3 vijiko vya supuKitunguu saumu(thomu/galic) na tangawizi iliyosagwa - 1 kijiko cha chaiBizari ya pilau - 1 kijiko cha supuMdalasini - 1 kijitiHiliki - 3 chembePilipili manga nzima - chembe chacheSiagi - Vijiko 2 vya s…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Biriani Ya Samaki Nguru, Njegere Na Snuwbar (UAE)

MahitajiMchele wa basmati - 4 cupsSamaki nguru (king fish) - 7 vipande au zaidiKitunguu - 5Nyanya/tungule - 3Njegere - 1 kikombeSnuwbar (njugu za pine) - 1 kikombeViazi - 2 kata kata mapande makubwaTangawizi mbichi - 1 kijiko cha supuKitunguu saumu - 1 kijiko cha supuPilipili nyekundu - 1 kijiko cha…

Open printable article β†’