PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

๐Ÿ“—๐Ÿ“˜๐Ÿ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

All Articles ยท 43,576

๐Ÿ“„

Angalia wadada walivyoumbuka kwenye hii test

Ticha katangaza test , Akatoa Masharti; Ukiandika jibu hamna kufuta au kukata.Swali la kwanza,Taja vyakula vi3 ambavyo ukienda hotelini umelipiwa utapenda kula (marks 1)WAVULANA wakajaza; wali, ugali, mihogo.WADADA wakajaza; burger, pizza, egg chop. Swali la2:โ€ฆ

Open printable article โ†’
๐Ÿ“„

Kilichompata huyu jamaa mroho wa nyama, Hata kaa arudie tena

Jamaa kaenda kumtembelea rafiki yake Levi, kule sehemu za kwetu, akakaribishwa bonge ya ugali na nyama nyingi tu, wakati anakula akagundua kuwa shemeji yake, mke wa rafiki yake hali nyama;JAMAA: Aise hili ni bonge ya lanchi hii, lakini Levi mbona sisi tu tunakโ€ฆ

Open printable article โ†’
๐Ÿ“„

Ujanja alioutumia msichana wa kazi ili apandishiwe mshahara na mama mwenye nyumba

Msichana wa kazi alitaka mama mwenye nyumba ampandishie mshaharaโ€ฆ.. Mama mwenye nyumba akamwambia msichana ampe sababu tatu za kutaka kupandishiwa mshahara.Msichana: Napika vizuri kuliko wewe.Mama: Nani kakuambia?Msichana: Baba kaniambia.Mama: ok. Sababu ya piโ€ฆ

Open printable article โ†’
๐Ÿ“„

Mambo makuu matatu waafrika tusiyoyajua

NIMEKAA NIKAWAZA ๐Ÿ™‡๐Ÿผ KUWA KUNA MAMBO KAMA MATATU HIVI๐Ÿ‘Œ๐Ÿป WAAFRIKA HATUYAJUI ๐Ÿ™‰ KAMA TUNGEKUWA TUNAYAJUA HATA HAWA WAMAREKANI,๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธWACHINA๐Ÿ‡ฏ๐Ÿ‡ต NA HATA WATU WA ULAYA TUNGEKUWA๐Ÿ‡ฝ๐Ÿ‡ช TUNAWAPITA KIMAENDELEO MAMBO YENYEWE,, HATA MIMI SIYAJUI MAANA NA MIMI NI MWAFRIKA ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Open printable article โ†’
๐Ÿ“„

BREAKING NEWS!!! Nyoka wa ajabu agundulika

HABARI MPASUKO..jana katika taasisi ya wanyama pori ya Nat Geo ilitangazwa kuwa ametokea Nyoka hatar san Ambaye hajawah kutokea duniania.. wanadai kwamba nyoka huyo anaongezeka ulrefu wa 0.5sm kila akila chakula na huwa anakula chakula kuanzia sekunde 30 kurudโ€ฆ

Open printable article โ†’
๐Ÿ“„

Ulishawahi kupenda kwa namna hii??!!

Ushawai kumpenda dem na kumfia mazima kiasi kwmb anakwambia ye ana msela lkn we huelewi..unamkazia!!Inabidi dem asisitize,"I HAVE ONLY ONE HEART,PLZ, I CANT LOVE TWO MEN"Nawewe unaona haiwezekan,unamwambia 'NIPENDE ATA NA KIDNEY'๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜™๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜—๐Ÿ˜ƒ

Open printable article โ†’
๐Ÿ“„

Breaking news

Breaking news ๐Ÿ’ฅWatu wasiojulikana wamevamia jengo lisilojulikana naKufanya tukio lisilo julikana na kukimbilia๐Ÿƒ๐Ÿฟ kusiko julikana na mpaka sasa hakuna kinachojulikana na mimi sijui ninachosema ๐Ÿ˜•๐Ÿ˜•

Open printable article โ†’
๐Ÿ“„

KICHEKESHO: Ajira ngumu!! Cheki hawa walivyoamua kujiajiri

Jamaa mmoja alienda kuomba kazi Mbuga ya Wanyama, akaambiwa nafasi ya Kazi ipo ila hakuna Sokwe, "hivyo utajifanya Sokwe na tutakupa ngozi utavaa"Jamaa siku ya kwanza akavaa, walipokuja watalii mambo yalienda vizuri, Siku iliyofuata Banda lake liliwekwa juu yaโ€ฆ

Open printable article โ†’
๐Ÿ“„

Cheki kilichompata huyu dada!!

NDOA inafungwa KANISANI Mchungaji akauliza-Yeyote mwenye Pingamizi La Ndoa hii kufungwa aje Mbele, +++ KIBABU kikasimama na kwenda Mbele,Bi harusi akaanguka na akazimia ghafla!๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญMchungaji- Tuambie Babu Pingamizi Lako!Babu-Nimeamua kuja mbele,kule nyuma sisikiโ€ฆ

Open printable article โ†’
๐Ÿ“„

SOMA HII: Kama wewe ndo baba au mama hapa ungefanyaje!???

Bakari ni house boy mara nyingi huiba wine ya boss wake na kisha kuongeza maji kwenye chupa ili boss asigundue. Mara kadhaa boss alihisi ladha tofauti anapokunywa wine hivyo kuhisi kuna mchezo mchafu alihisi tu Bakari anahusika. Ilikua ni bahati tu alimvizia nโ€ฆ

Open printable article โ†’
๐Ÿ“„

Mvua zazua kasheshe! Soma hii..

Baba- : Halloo mke wangu.. yaani ni shida sitaweza kurudi nyumban, daraja limevunjika na kutoka morogoro kurudi dar haiwezekaniMAMA:- Mme wangu morogoro ulienda bila kuniaga! ?BABA:- Ilikuwa ni ghafla sana mke wangu sikuweza kukwambiaMAMA:- kha! Sasa watoto naโ€ฆ

Open printable article โ†’
๐Ÿ“„

Sasa Hawa wadada Wapo in Relationship Na Nan!!??

Asilimia 76% Ya Wasichana Kila Ukiwatongoza Wanakwambia Wapo In relationship SAWA ATUKATAIโ€ฆAsilimia 98% Ya Mamen Wapo SINGLEโ€ฆ HAPA NDIPO HESABU ZANGU ZINAFELI..Sasa Hawa wadada Wapo in Relationship Na Nan!?.

Open printable article โ†’
๐Ÿ“„

Stori za simu za wavulana na wasichana

STORY ZA WASICHANA KTK SIMMaryโ€ฆ Hallow mpenziiLilyโ€ฆ. Niambie my dearMary..Pouwaa za siku jamaniLilyโ€ฆNzuri rafiki Yangu wa damuMaryโ€ฆJioni nakuja kwako tule Nakunywa japo wine wanguuLilyโ€ฆNakusubiri kwa hamuumpenziiiiBAADA YA KUKATA SIMUโ€ฆKILAMMOJA ANAWAZALilyโ€ฆHuyโ€ฆ

Open printable article โ†’
๐Ÿ“„

Hii sasa kali kweli kweli!!

MCHUNGAJI alitangaza kila mwanaume aliye na mke atoe sadaka kulingana na uzuri wa mke wakeโ€ฆbac watu wakaanza kutoa 50,000/= 30,000/= na 20,000/=.Kuna jamaa akatoa 500/=.MCHUNGAJI akamuita ofisin akamuuliza.MCHUNGAJI:Ina maana mkeo siyo mzuri?. Jamaa akajibu: Uโ€ฆ

Open printable article โ†’
๐Ÿ“„

Angalia hawa machizi walichokisema baada ya kuona ndege angani

Machizi wamekaa sehemu mara ghafla ikapita ndege angani.Chizi wa kwanza akasema:ndege ile itakua imembeba raisi. Chizi mwenzie akajibu:hapana imebeba wazungu kama ingembeba raisi tungeona pikipiki zimetangulia mbeleโ€ฆda!balaaa

Open printable article โ†’