πJinsi ya kutumia maziwa ya mtindi kufanya ngozi yako kuwa laini na soft
Ulisha wahi kukaa ukajiuliza mbona kuna baadhi ya watu wana ngozi nzuri laini na soft? lakini kwako ni tofauti?Ukawaza labda wanatumia vitu vya bei ghali ambavyo wewe huwezi ku β afford, au umesha hangaika na ma β cosmetics lakini bado ngozi yako haikubali kukaa vizuri?Jaribu hii Home made Yogurt Clβ¦
Open printable article βπMavazi ya Ofisini kwa Wadada
Wengi wetu tunashindwa kutofautisha mavazi ya sehemu husika mfano Ofisini, michezoni, na yale ya usiku na sehemu nyinginezo leo nitagusia vazi la ofisini kwa akina dada.Unapotaka kuvaa vazi ,lazima uangalie vazi unalolivaa mda gani na mahala unapokwenda,siyo vazi la kutokea usiku au la kimichezo unaβ¦
Open printable article βπNamna ya Kuifanya ngozi yako kuwa laini bila Madoa
Ili kufanya ngozi yako kuwa laini bila madoa zingatia mambo haya yafuatayo;1.TUMIA ANTIOXIDANT SERUM.Sio kila mtu ana bahati ya kupata ngozi laini na nyororo bila kuifanyia kazi. Kwa wengine it a must to work hard ili kupata that perfect skin you have always wanted.So Ladies you have to change your β¦
Open printable article βπMadhara ya kuchora tattoo mwilini
Tattoo ni nini?Hii ni uwekaji wa wino kwenye ngozi ya ndani kitaalamu kama dermis kubadilisha rangi kabisa maisha yako yote au kwa muda tu, inateemea na uwekaji..Kwa dunia ya sasa kujichora tatoo ni kama fasheni fulani kwenye jamii, ukienda kuchora tattoo kuna uwezekano mkubwa sana isitoke maisha yaβ¦
Open printable article βπFaida za kutumia mafuta ya Nazi
Mafuta ya nazi hungβarisha ngozi:Siyo sehemu za ndani tu ya mwili zinazofaidika na mafuta haya ya nazi kama yanavyofanya mafuta mengine ya asili, kama unataka kuwa na ngozi nzuri yenye mngβaro na yenye afya na yenye muonekano wa asili basi paka mafuta ya nazi kila siku kwenye ngozi yako, mafuta ya nβ¦
Open printable article βπJinsi ya kufanya ili uwe na umbo dogo la kuvutia
Unaweza kujiuliza, hivi inawezekanaje kuwa na umbo dogo la aina hii? Ukweli ni kwamba inawezekana, lakini inahitaji kazi ya ziada kufikia kwenye lengo hilo.Unalifahamu umbile la sifuri au saizi zero?Kwa wale wanaojali maumbo ya kupendeza saizi zero linatafsiriwa ni kuwa na kiuno kisichozidi inchi 23β¦
Open printable article βπMambo 10 unayofanya kimakosa wakati wa kujipodoa
Kama kote duniani, wanawake wengi Tanzania wanatumia vipodozi kama nyongeza ya urembo wao ya kiasili. Ila, kuna makosa maalum zinazofanyiwa kwenye kutumia vipodozi Tanzania. Kuwasaidia dada zetu, Yafuatayo ni makosa 10 ya kuweka vipodozi na jinsi ya kuzirekebisha.1. NyusiKuna tabia ya wanawake kunyoβ¦
Open printable article βπMadhara ya Kuvaa viatu virefu
NI wazi kuwa viatu virefu huvutia sana vinapo kuwa vimevaliwa.Tulio wengi hasa mabinti au wanawake tunaokwenda na wakati hupenda kuvaa viatu virefu ilikuongeza muonekano wa umbile lako nikiwa na maana kuwa miguu huonekana yenye kuvutia zaidi unapo kuwa umevaa viatu virefu.Kutokana na utafiti wa kitaβ¦
Open printable article βπJinsi ya kuvaa viatu mbalimbali inavyotakiwa na ili upendeze
Viatu ni kinga kwa ajili ya kuhifadhi miguu. Vile vile viatu ni vazi ambalo linaongeza urembo na nakshi kwa mvaaji. Viatu vipo vya aina mbalimbali na vinavaliwa kulingana na mahali na mavazi yanayoambatana navyo. Tuangalie baadhi ya aina za viatu na wapi hasa na vipi vikitumika vinapendeza zaidi.1.Vβ¦
Open printable article βπNamna nzuri ya kutunza Hips na Makalio
KUNA kitu ambacho wengi wetu huwa hawakifikirii nacho ni makalio. Makalio yetu ndiyo yanatoa shepu fulani kwa mwanamke katika vivazi na ukiyaachia ovyo yanaweza kukuletea mushkeli na kama ukiyatengeneza kama yale makalio yanayosifiwa sana na watu wa Televisheni ya Jeniffer Lopez hayawezi kufua dafu.β¦
Open printable article βπJinsi ya kuondoa kitambi Kitaalamu
Hapo zamani kidogo tuliona na tulishuhudia watu wakisema ya kwamba mwanaume ambaye ana kitambi ndiye ambaye mwenye fedha, hiyo ni imani ambayo ilijengeka katika fikra na mitazamo yetu. Lakini katika karne hii mambo yamebadilika baada ya kuona baadhi ya madaktari wakieleza kwa kina ya kwamba kuwepo mβ¦
Open printable article βπJinsi ya kusafisha na Kutunza Kucha zako
Inashauriwa kwamba kabla ya kuchukuwa uamuzi wa kwenda kununua vifaa husika ambavyo utavitumia unapaswa kufahamu aina ya kucha ili uweze kununua vifaa vinavyoendana na kucha zako kwa lengo la kuzilinda badala ya kuvamia na kuziharibu.Kwa kawaida kucha za mikononi na miguuni zinakabiliwa na mazingiraβ¦
Open printable article βπFaida na namna ya kutumia mafuta ya Zaituni Olive Oil kwenye nywele
Faida ya Mafuta Ya Zaituni Olive Oil kwenye nywele.1. Yanasaidia kufanya mzunguko wa damu kufanya kazi vizuri kwenye ngozi ya kichwa na kupenyeza hadi kwenye shina ya nywele kisha kuifanya nywele inayoota kuwa imara2. Yanasaidia kupambana na mba kwenye ngozi ya kichwa3. Yanasaidia uzalishwaji wa mziβ¦
Open printable article βπAmekufa lakini anasaidia mgonjwa
Amekufa lakini anasaidia mgonjwa Onesha Jibu JIBU: mti wa kushikilia mgomba
Open printable article βπTano inawezaje kuwa ndani ya nne?
SWALI: Tano inawezaje kuwa ndani ya nne?
Open printable article β