πUtengenezaji wa Makalio ni Hatari na Hutakiwi kufanya
Mwanamke wa miaka mitatu amefariki baada ya kuripotiwa kuelekea Uturuki kwa aina ya upasuaji kwa jina Brazilian Butt Lift [uongezaji wa makalio}.Ni kwa nini upasuaji huu ni maarufu mbali na kwamba ni hatari kufanyiwa upasuaji huo ughaibuni.Leah Cambridge kutokβ¦
Open printable article βπMadhara ya Kujichubua
Katika baadhi ya sehemu duniani watu wanaamini kuwa ngozi angavu huashiria uzuri, utajiri na uwezo(kifedha) alionao mtu.Katika baadhi ya sehemu watu wenye ngozi nyeusi huchukuliwa kuwa wapo chini ya kiwango, hii hupelekea watu hawa kutumia vingΒ΄arisha ngozi kaβ¦
Open printable article βπMadhara ya Kuvaa/ Kuweka Kope Za Bandia
Mapokeo ya urembo wa kisasa katika nchi zinazoendelea ni sehemu ya mchango wa urembo na mvuto tunaouona kwa baadhi ya wasichana na wanawake ambao kwa hakika unaleta hamasa ya kuangalia.Hata hivyo, urembo huu huja na hatari zake ambazo wengi wanaweza kuzichukulβ¦
Open printable article βπJinsi ya Kutumia Bamia kuondoa chunusi Usoni
Wiki hii kwenye urembo tutaongelea mboga aina ya bamia jinsi inavyotibu chunusi na kuziondoa moja kwa moja. Mbali na chunusi, pia husababisha ngozi kuteleza na kuwa nyororo.JINSI YA KUFANYAChukua bamia zikatekate vipande, ziweke kwenye brenda kisha chukua limaβ¦
Open printable article βπVyakula vya Kukuza nywele na kuzifanya ziwe na Afya
Kuwa na nywele zenye afya nzuri ni muhimu kwa wote bila kujali jinsi, hali hii husababisha wengi kutumia madawa ya aina mbalimbali ya kuhakikisha nywele zao zinastawi na kuwa na muonekano mzuri.Kwa bahati mbaya, wengi waliotumia madawa yanayotengenezwa kwa kemβ¦
Open printable article βπNamna ya uvaaji wa mavazi mbalimbali kwa wanaume
Wanaume wanajali mavazi yao pia, sio wanawake tu. Ila, mwanaume anabidi aelewe kwamba badala ya kufuata mitindo, kupendeza kwenye tukio lolote kuna nguo ambayo utaihitaji. Nguo hizi ni kama:1. T-Shirt ya PambaUkitaka t-shirt itakayo dumu kwa muda mrefu, nunua β¦
Open printable article βπDawa za nywele zinazosababisha uvimbe kwenye Kizazi kwa wanawake
Dawa za kulainisha nywele (relaxer) zimekuwa zinapendwa na wanawake wengi wa Afrika kwa kuwa zina uwezo wa kulainisha nywele na kumfanya apendeze na awe wa kuvutia.Hata hivyo, wataalamu wa afya wanadai kuwa dawa hizo zinasababisha uvimbe kwenye kizazi kutokanaβ¦
Open printable article βπJinsi ya Kujaza nywele kwa njia za Asili
Zingatia mambo haya yafuatayo;Chukua parachichi kubwa moja, asali vijiko vitatu na kiini cha yai.Osha nywele zako kwa shampoo na uzikaushe.Ponda ponda parachichi mpaka lilainike kabisa. Chukua vijiko vitatu vya asali na kiini cha yai kisha changanya yote kwa pβ¦
Open printable article βπUvaaji wa Tai na Maana yake
Wachambuzi wa mambo ya saikolojia wanasema kwamba kwa kuchukua tai na kulivaa ile rangi ndiyo itakayoweza kupeleka ujumbe wa wewe unataka nini au unataka watu wakutambue kwa namna gani.Wakati Joshua Blue, Makamu mkuu wa shule ya Kennedy mjini Hong Kong, anapoeβ¦
Open printable article βπMambo ya kuzingatia kama una ngozi yenye Mafuta
Ngozi yenye mafuta kwa kawaida huwa inang'ara, nene na yenye rangi iliyotitia. Mara nyingi ngozi yenye mafuta mengi sana huwa na chunusi nyingi na vipelepele na mara nyingine huwa na chunusi zenye vichwa vyeusi. Katika aina hizi za ngozi mafuta hutokana na tezβ¦
Open printable article βπMambo ya Kuzingatia ili uwe na ngozi laini
Takribani kila mtu angependa kuwa na ngozi laini, au hata laini zaidi. Watu wengi wamekuwa wakiitafuta ngozi nzuri au kujitahidi kuitunza ili isiharibike. Lakini je, wamefanikiwa?Wachache hufanikiwa na wengi hushindwa. Na hata hao waliofanikiwa wengi wao hutumβ¦
Open printable article βπMambo ya Kuzingatia Kama una ngozi Kavu na Kuepuka kuwa na ngozi kavu
Ngozi kavu inaweza kukufanya ukose raha kutokana na kuwasha mara kwa mara, lakini pia kupauka hii inaweza kusababisha mikunjo ya ngozi na hata kupatwa na vidonda katika ngozi. Ngozi kavu husababishwa na baridi lakini pia unaweza ukawa umezaliwa nayo tu upo hivβ¦
Open printable article βπMadhara ya kuvaa miwani ya Urembo maarufu kama miwani ya Jua
Miwani za urembo maarufu kama miwani za jua zimetajwa kuwa na madhara kwa watumiaji wake kutokana na watu kutofahamu saizi za namba ambazo wanapaswa kuzivaa kabla ya kununua.Akifafanua kwenye kipindi cha Supamix kinachorushwa East Africa Redio, Daktari Ningwa β¦
Open printable article βπJinsi ya kung'arisha sura yako kwa kutumia Asali, Sukari, Maziwa, na Limao
Usafi wa uso ni moja ya mambo muhimu sana kwa mwanamke au mwanaume yeyote yule ambaye anapenda kuwa nadhifu na mwenye mvuto. Kumbuka βreception ndio kila kitu β. Unapokutana na mtu sura yako na mwonekano wa sura yako ndio kitu cha kwanza kinachomtambulisha kwaβ¦
Open printable article βπMadhara ya Uvaaji wa Wigi au nywele Bandia
Katika miongo kadhaa iliyopita, uvaaji wa wigi umekuwa fasheni katika sekta ya urembo na hutumika hususani na wanawake. Ingawa uvaaji wa wigi huwafanya wanawake hao kuonekana mithili ya mtu aliyevaa kofia ngumu (helmet), lakini yaonekana ni mapendeleo ya wengiβ¦
Open printable article β