πMavazi Mazuri kwa wanawake wanene
Kuna baadhi ya watu wamekuwa wakiangaika kupata aina ya nguo za kuvaa tena hasa wanawake wanene, kutokana na maumbo yao wanaona ni kazi sana kutafuta nguo, wengine hukosa hata uhuru wa kutoka out na watu wao wa karibu kwa sababu tu wanakosa nguo.Wengi ujikuta β¦
Open printable article βπUmuhimu wa kuvaa soksi
Miguu ni sehemu mojawapo inayotoa jasho sana hivvo ni vema kuiweka mikavu kuzuia ukuaji wa bacteria au fungus.Wakaka tunajua umuhimu wa soksi au tunavaa bila kujua na wengine hatuvai? Hii ni kwa wadada pia wanaovaa viatu kama raba au hata nyumbani. Ni vema sanβ¦
Open printable article βπNamna ndizi inavyotumika katika urembo
Mbali na kulika, ndizi zina manufaa mengine, hasa katika urembo wa ngozi.Ndizi zina virutubisho muhimu vinavyoboresha ngozi. Ndizi pia zina aina tatu za sukari zinazojulikana kama βsucroseβ, βfructoseβ na βglucoseβ.Hakikisha unanawa uso wako mara tatu kwa sikuβ¦
Open printable article βπMambo ya Msingi kujua kuhusu uvaaji wa Tai
Kuna mambo mengi ya kufanya ili tuwe watu wa kuvutia kila wakati.Mpangilio wa mavazi hufanya mtu kuonekana maridadi. Kama wewe ni mvaaji wa tai unapovaa unazingatia mambo yapi? Na je unafunga tai yako kwa namna inayokubalika? Wengine huwa hawafahamu jinsi ya kβ¦
Open printable article βπNamna ya kuvaa vizuri kwa mwanamme upendeze na kuwa mtanashati
Nimeona leo nitoe darasa kidogo kuhusu mavazi sababu na mimi ni kipaumbele changu katika maisha. 1.Epuka kuvaa marangirangi Wakati unamatch mavazi jitahidi kupunguza idadi ya rangi, rangi 3 tu zinatosha kukutoa bomba. 2. Vaa kulingana na mazingira/sehemu Mtu mβ¦
Open printable article βπMatumizi ya Asali kwenye Urembo wa ngozi na Nywele
Asali hutumika kulainisha NgoziAsali ina asili ya kuvuta unyevu kutoka kwenye hewa na kuipa ngozi uwezo wa kuhifadhi unyevu hivyo ni faida kwa mtu mwenye ngozi kavu.Jinsi ya kuandaaChukua asali mbichi kijiko kimoja cha chai kisha paka usoni, kaa nayo kwa dakikβ¦
Open printable article βπJinsi ya kutunza kucha kujiepusha na maradhi shambulizi ya Kucha
Mikono, viganja na vidole ni kati ya sehemu muhimu katika mwili wa msichana. Mikono hutumika kufanya shughuli nyingi za nyumbani, shuleni na sehemu mbalimbali katika maisha kuanzia kutandika kitanda, kupika, kufanya usafi, kuandika, kujiremba pamoja na majukumβ¦
Open printable article βπJinsi ya Kuvaa hereni kwa Mpangilio kuongeza Mvuto wako
HERENI ni pambo linavoliwa masikioni na kwa kiasi kikubwa linachangia kuongeza mvuto na muonekano mzuri. Kuna aina nyingi za hereni katika tamaduni mbalimbali. Zipo ambazo hutengenezwa kwa kutumia vito vya thamani kama vile Dhahabu, Almasi, Shaba au Kopa.Vilevβ¦
Open printable article βπJinsi ya Kutumia Papai na Asali kuondoa Madoa Usoni
KUMEKUWA na sababu mbalimbali zinazofanya watu kutokuwa na ngozi zisizokubalika.Mbali na hali ya hewa pia matumizi ya pombe na sigara hata matumizi ya cream kali ambazo zimekuwa zikitumiwa na watu bila kujua madhara yake kumechangia kwa kiasi kikubwa tatizo hiβ¦
Open printable article βπMambo ya Kuzingatia ili uwe mrembo siku zote
Katika Jamii nyingi duniani, dhana ya urembo imekuwa na mitazamo tofauti kwa watu wengi. Kila mmoja anautafakari urembo kwa namna yake kulingana na malezi na tamaduni za mahali husika. Wako wanaoamini kuwa mrembo ni lazima awe na ngozi nyeupe, wengine hudhani β¦
Open printable article βπNjia za kutunza nywele zako
Suala la kutunza nywele za asili wengi hutamani japokuwa ukweli kwamba kuna changamoto kadhaa, lakini kwa mtu aliye makini anao uwezo wa kupata kilicho bora katika nyewle zake. Leo tunaangazia vitu vya kufanya ili kukuza na kutunza nywele za asili.Kwanza kabisβ¦
Open printable article βπJinsi ya kufanya nywele zako ziwe na mvuto na kuvutia zaidi
Mwanamke unywele hasa ukiwa nao, hii ni kauli upya ambayo Muungwana blog inakupa siku ya leo. Miongoni mwa maswali ambavyo huwa tunaulizwa na wasamoaji wetu ni pamoja ni kwa jinsi gani naweza kutengeneza nywele zangu ili ziwe za kuvutia?Basi nasi bila ya haianβ¦
Open printable article βπUvaaji wa Tai kulingana na Umbo lako
Kuna mambo mengi ya kufanya ili tuwe watu wa kuvutia kila wakati.Mpangilio wa mavazi hufanya mtu kuonekana maridadi. Kama wewe ni mvaaji wa tai unapovaa unazingatia mambo yapi? Na je unafunga tai yako kwa namna inayokubalika?Wengine huwa hawafahamu jinsi ya kuβ¦
Open printable article βπFaida za kuogea maji ya Moto
Watu wengi hupendelea kutumia maji ya moto kuoga pale hali ya hewa inapobadilika na kuwa ya baridi au wakati mwingine mtu anaumwa hivyo anatumia maji ya moto.Sehemu kama Dar es Salaam ni mara cheche utakuta wakazi wake wanaogea maji ya moto kutokana na hali yaβ¦
Open printable article βπChanzo, dalili na matibabu ya chunusi
Chunusi ni ugonjwa wa ngozi ambao hujit-okeza kama viuvimbe/vipele vidogo vidogo hasa sehemu za uso,kifuani na hata mgongoni.Vipele hivi hutokea wakati vishimo vya kupitisha jasho katika ngozi vinapozibwa kwa mafuta au seli za ngozi zilizokufa au wadudu yaani β¦
Open printable article β