πUKWELI KUHUSU MSHAHARA
1. Epuka kugeuza mshahara wako kuwa mali ya ukoo. Kamwe mshahara wako siyo mali ya ukoo. Siku utakapoacha kuufanya mshahara wako mali ya ukoo ndipo siku mshahara huo utakuwa mkubwa! Hapo ndipo mshahara utatosha.2. Siku utakapokuwa na vyanzo vya mapato zaidi yaβ¦
Open printable article βπKushindwa au vikwazo sio sababu ya kutofanikiwa
"Nilibakwa nikiwa na miaka 9 lakini leo mimi ni mmoja wa wanawake wenye ushawishi mkubwa duniani"- OPRAH WINFREY!"Sikumaliza elimu yangu ya Chuo Kikuu lakini mimi ndiye binadamu tajiri kuliko wote duniani" - BILL GATES!"Nilikuwa napata matokeo mabaya sana daraβ¦
Open printable article βπLISTI YA FURSA ZA BIASHARA NA MIRADI
Karibuni;1. Kununua Mashine za kukoroga zege nakukodisha.2. Kununua Mashine za kukata vyuma nakuzikodisha.3. Kutengeneza na kuuza tofali4. Ufundi, Website updating/Database: KatikaHalmashauri, Manispaa, Mashule, Wizara, Wilayana Makampuni mbalimbali.5. ** Kuanβ¦
Open printable article βπUjumbe wa leo kwa mtu anayetaka kufanikiwa katika maisha kiuchumi
Kila mtu aliyefanikiwa ukifuatilia historia yake pengine unaweza kukata tamaa kabisa Na kusema mimi hii njia siiwez.Lakin siri ya mafanikio ni uvumilivu Na kujituma ktk kazi uifanyao.Ni kweli vijana wengi humaliza vyuo Na kusubiri ajira wanashindwa kusoma alamβ¦
Open printable article βπUSHAURI WANGU ANZA KUAJIRIWA KAMA MUWEKEZAJI TU ILI UJIAJIRI NA KUAJIRI WENGINE
Kwa lugha nyepesi ni kwamba ukiajiriwa maana yake umeshindwa kujitegemea kwa ujuzi wako (yaani hujui ufanyie nini) hivyo umeona uukabidhi ujuzi wako kwa wenye "akili na uwezo" wa kuupangia matumizi ya huo ujuzi wako.Ndio maana licha ya kwamba elimu ni yako wewβ¦
Open printable article βπAngalia jinsi muda wako unavyopotea
Kila mtu ambaye ni hai amepewa muda Wa masaa 24 kila siku,168 kwa wiki,672 kwa mwezi,8064 kwa miezi 12 au kwa mwaka.Katika hayo masaa 24 unayoyapata kila siku unayatumiaje katika suala zima la kukufikisha katika ndoto na malengo au mafanikio yako?Kwa nini kunaβ¦
Open printable article βπElimu tuu haitoshi kukunufaisha maishani na kukupa mafanikio
EMBU SOMA HII KWA MAKINI SJUI NI KWELI? USIMAINDI LAKINI MAANA ITAKUGUSA TUU. MAFANIKIO YA MAISHA SIO ELIMU TU, UTHUBUTU, KUJIAMINI NA UJASIRI WA MAAMUZIβπ½Ukichunguza katika jamii, utabaini kuwa sehemu kubwa ya matajiri ni wale ambao wana elimu ndogo ama hawakβ¦
Open printable article βπJinsi ya kutengeneza mishumaa
MALIGHAFI ZINAZO HITAJIKA WAKATI WA UTENGENEZAJI WA MISHUMAA.1. Paraffin Wax2. Utambi3. Mould ( Umbo )4. Stearine au mixture5. Rangi6. Jiko la mafuta ya taa au mkaa.7. Sufuria.8. Boric acid.VIDOKEZO MUHIMU :1. Paraffin Wax :Hii inatokana na nta na sega ya nyukβ¦
Open printable article βπKanuni ya fedha ya matumizi na mipango ambayo itakusaidia ukiifuata
Jifunze kanuni za fedhakama ilivyoainishwa hapo chini.Fedha inatakiwa uwe na nidhamu nayo katika kutumiaHii kanuni inatumika kwenye vyanzo vyako vyote vya fedha ili uwe na mafanikio yenye amani Tuangalie hapa chini hizi kanuniπππ Fungu la kumi 10%Akiba 30%Matuβ¦
Open printable article βπKauli 10 za mtu ambaye unatakiwa umuepuke maishani
Kauli 10 za mtu asiye na malengo wala uthubutu1)Sina mtaji2)Sina Connection3)Nitaanza rasmi kesho4)Mimi ni wa hivihivi tu5)Mifumo mibovu ya Serikali ndiyo inayonirudisha nyuma6) Mke/mme/ndugu zangu Ndiyo walioniangusha/kunitenda/kikwazo7)Kupata ni majaliwa8)Usβ¦
Open printable article βπUsiruhusu tabia hii itawale akili yako
Tabia ya kijidharau na kujiona hufai ama huwezi kufanya lolote ukafanikiwa maishani, hakuna mwanadamu aliyeumbwa ili ashindwe,, sote tu washindi zaidi, tunatofautiana njia za kufikia huo ushindi. Rafiki yawezekana umeshajidharauβ¦ na kujitamkia maneno kadha wa β¦
Open printable article βπUmuhimu wa Mipango ya Biashara: Mwongozo Kamili
Umuhimu wa Mipango ya Biashara: Mwongozo Kamili π Biashara ni safari ambayo inahitaji mipango madhubuti ili kufanikiwa. Mipango ya biashara ni ramani ambayo inaelekeza hatua zote unazopaswa kuchukua ili kufikia malengo yako ya biashara. Katika makala hii, tutaβ¦
Open printable article βπMbinu 5 za kukunufaisha maishani
Mbinu 5 za kukufanikisha maishani Unaweza ukawa upo kwenye hali ya kulalamika maisha yako ni magumu na unashangaa kwa nini hufanikiwi katika maisha yako kama jinsi unavyotaka wewe. Hali hii inaweza ikawa inakuumiza pengine kila ukiangalia rafiki zako ama maishβ¦
Open printable article βπUsimamizi Mkakati: Ramani ya Mafanikio
Usimamizi Mkakati: Ramani ya Mafanikio π Mkakati ni muhimu sana katika uendeshaji wa biashara na usimamizi wake. Kama mtaalamu wa biashara na ujasiriamali, nataka kushiriki nawe ramani ya mafanikio katika usimamizi mkakati. Endelea kusoma ili kujifunza jinsi yβ¦
Open printable article βπVipengele muhimu vya Mpango wa Biashara wenye Ufanisi
Vipengele muhimu vya Mpango wa Biashara wenye Ufanisi π Kama mtaalam wa Biashara na Ujasiriamali, ningependa kukushirikisha vipengele muhimu vya mpango wa biashara wenye ufanisi. Kwa kufuata hatua hizi, utaweza kuandaa mpango wako wa biashara kwa njia ambayo iβ¦
Open printable article β