πUgumu wa maisha huanzia akilini mwako
Ebu fikiria Dada anayechoma mahindi maeneo ya Manzese Darajani kuanzia saa 12 jioni mpaka SAA 2 usiku, kwa siku moja anauwezo wa kuchoma mahindi .50. Kila hindi moja ananunua shambani kwa shilingi 100/- Na Anauza kwa sh.600/-Hiyo ina maana mahindi 50 ananunua β¦
Open printable article βπHii ndio sababu kwa nini huwezi kufanikiwa kibiashara
HUWEZI KUFANIKIWA KIBIASHARA KAMA UNAPENDA KUJIHURUMIA HURUMIA!π₯Mama mmoja Mzungu alitembelea mlima Kilimanjaro miaka iliyopita. Alikuwa amepanga kupanda mlima Kilimanjaro mpaka kileleni, yaani Kibo na Mawenzi, ili hatimaye apewe cheti cha kupanda mlima mrefu β¦
Open printable article βπJinsi Muda Unavyopotea, Jifunze kitu hapa
Kila mtu ambaye ni hai amepewa muda Wa masaa 24 kila siku,168 kwa wiki,672 kwa mwezi,8064 kwa miezi 12 au kwa mwaka.Katika hayo masaa 24 unayoyapata kila siku unayatumiaje katika suala zima la kukufikisha katika ndoto na malengo au mafanikio yako?Kwa nini kunaβ¦
Open printable article βπFUNZO: Maisha ni kuchagua
Siku hizi kuna tangazo moja la kampuni ya simu za mikononi, Tigo, likimuonesha mama akiwa _busy_ na pembeni yupo mwanae mdogo apo akijisemesha na akatamka maneno ambapo mama akaona ni kama ameanza kuongea. Kwa furaha anampigia simu mumewe akimtaka amsikilize mβ¦
Open printable article βπDunia haijali mazuri yako ila ubaya wako, jiamini songa mbele
Siku moja mwalimu wa shule aliandika ubaoni kama ifuatavyo:9Γ1=79Γ2=189Γ3=279Γ4=369Γ5=459Γ6=549Γ7=639Γ8=729Γ9=819Γ10=90Alipo maliza kuandika tu, akaona wanafunzi wote walikua wanamcheka, kwasababu alikua amekosea swali la kwanza.Mwalimu aliwatazama wanafunzi, β¦
Open printable article βπHofu inavyo tugharimu katika safari ya ujasiriamali na Jinsi ya kuiepuka
Wengi wetu tunapenda Mafanikio, tunapenda kufika mbali tunapeda kuwa kama Mengi siku moja.Tunavyo kuwa tunaendelea kutamani kiwa kama wakina Azam au Mengi nyuma ya pazia tuna matatizo nayo ni hofu kuu,1. Hofu ya kuchekwaWengine tuna hofu ya kuchekwa kwamba tunβ¦
Open printable article βπJifunze kupitia mfano huu Ili uishi kwa amani na watu
Siku moja nilichukua taxi aina ya UBER nikiwa naelekea uwanja wa Ndege Mwl. Nyerere Dereva huku akiendesha kwa ustaarabu sana mara ghafla pasipo kutegemea gari ya taka ikajitokeza mbele yetu kutokea nje ya barabara. Dereva wa taxi kwa umakini na neema ya Munguβ¦
Open printable article βπSababu inayopelekea kushindwa kuishi maisha ya ndoto zako
1. Hauko Tayari kuthubutu na kujiunga2. Kutokujiamini3. Kutopata sehemu sahihi ya kupata ushauri4. Kutokuwa na sababu za msingi au malengo ya msingi ya kupigania ndoto zetu5. Kukaa katika shauli la wasio haki na barazani pa wenye mizahaHizo ni baadhi ya sababuβ¦
Open printable article βπUhusiano uliopo kati ya pesa na muda
Bila shaka upo uhusiano mkubwa kati ya pesa na muda..-Ndio maana nauli ya ndege ni kubwa kuliko ya basi, why..?Kwa sababu ndege hutumia mda mchache (mf. Ukitoka dar kwenda moshi ni dk45 tu kwa ndege bt kwa gari ni takriban masaa 7-8)Linapokuja suala la MUDA NAβ¦
Open printable article βπUna thamani gani?
Kazi au shughuli unayoifanya ina thamani gani kwa wengine?unawasaidia au unawaumiza??Biashara unayoifanya ina thamani gani kwa wengine?ni lazima uwaumize ndipo ufaidike au uwasaidie ili nawe upate faida?Elimu yako uliyo nayo ina faida au thamani gani kwako na β¦
Open printable article βπJielewe, kipato chako kinakusaidia nini?
ASSET AND LIABILITYAsset ni kitu chochote kinacho kuingizia pesa mfukoni uwepo au usiwepo. Liability ni kitu kinachotoa pesa mfukoni kwako.Ukitaka kuwa tajiri,hiki ndio kitu pekee unacho hitaji kukijua na kukifanyia kazi.Matajiri wote wananunua Assets,lakini Mβ¦
Open printable article βπKwa nini watu wanapenda pesa
Watu wengi tunapenda sana Pesa lakini hatuko tayari kuzifanyia Pesa kazi nikiwa na maana kutumia njia sahihi kuzipata na tunapozipata hatuna Akili ya kuweza kuwa nazo muda mrefu zisiondoke.Kama tujuavyo katika maisha yetu haya Pesa ndio kila kitu,tunahitaji Peβ¦
Open printable article βπJiwekee Utaratibu utakaokuwezesha kuamua vizuri juu ya fedha utakazopata
Jiwekee utaratibu utakaokupa uzoefu wa kuamua vizuri juu ya fedha unazopata. Watu tumekuwa tukitumia fedha tunazopata bila kufikiria jinsi ya kugawa ktk matumiz badala yake baada ya kutumia ndio una/ninaanza kujuta Kwa nin nime/umetumia tofauti na mahitaji uliβ¦
Open printable article βπKukataliwa ni mtaji
Hakuna mtu duniani ambaye hajawahi kukutana na hali ya kukataliwa. Yaani kukataliwa katika hali yoyote ile. Waweza kuwa umekataliwa katika kupata ajira, umekataliwa katika mahusiano, umekataliwa kupata nafasi ya kusoma, umekataliwa kupata mtaji wa biashara, umβ¦
Open printable article βπAMINI UNA AKILI YENYE UWEZO MKUBWA WA KUBUNI WAZO LA KUWEZA KUKUSAIDIA KUFANIKIWA KIMAISHA
AMINI UNA AKILI YENYE UWEZO MKUBWA WA KUBUNI WAZO LA KUWEZA KUKUSAIDIA KUFANIKIWA KIMAISHA.Huwa nikikaa na kufikiri ni namna gani binadamu aliweza kubuni ndege, meli kubwa hasa za mizigo, gari na vitu vinginevyo na badae kuja kuwa msaada mkubwa katika dunia yeβ¦
Open printable article β