PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

All Articles Β· 43,576

πŸ“„

Asiefunzwa na mamaye, hufunzwa na ulimwengu

Asiefunzwa na mama, huvunzwa na ulimwengu: maonyo ya wazaz, walezi au watu wazima yana nafasi kubwa katika ustawi wa maisha ya vijana, hivyo ni muhimu kuwasikiliza lakini ikitokea maonyo hayo hayasikilizwi basi watajifunza mambo mabaya kutoka kwa watu wengine …

Open printable article β†’
πŸ“„

Siri ya mafanikio katika maisha Ni Kutoangalia Watu

Baada ya kusoma makala kuhusu hofu zinazotugharimu katika safari ya mafanikio, Leo nimekuandalia Makala hii ya Siri ya mafanikio. Katika safari ya mafanikio, watu wanaweza kuwa kikwazo kikubwa kinachosababisha ugumu wa kuendelea mbele. Wanaweza kuleta upinzani…

Open printable article β†’
πŸ“„

Ujumbe kwako wewe mwajiriwa au uliyejiari

Kama umeajiriwa au pia umejiajiri ni mojawapo ya njia zinazokuingizia kipato maana wengi wanaanzia hapo mpaka kuja kufikia kule wanakohitaji.Ila kuna maswali machache ya kukupa changamoto ambayo nataka ujiulize:-Kwako muajiriwaπŸ‘‰πŸΏUmeshawahi kujiuliza huo mshaha…

Open printable article β†’
πŸ“„

Umasikini isiwe sababu wala utajiri isiwe sababu ya kuwa mchafu au kutokuwa na usafi

Katika maisha, umasikini siyo sababu ya mtu kuwa mchafu au kutokuwa na usafi. Hali ya umasikini inaweza kuathiri uwezo wa mtu kumudu bidhaa za usafi au kuishi katika mazingira safi, lakini hii haimaanishi kuwa mtu mwenye utajiri automatically ni mtu mwenye usa…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mambo ya kufanya mwezi Disemba

Ikiwa leo ni tarehe **1/12 huwezi amini kuwa hakuna tarehe 1 nyingine tutakayoiona ya mwaka huu hivyo sichelei kusema kuwa mwaka umeisha .Lakini mwaka unaishaje??? pengine hili ndilo swali gumu na la muhimu la kujiuliza .Je, Mwaka unaisha ukiwa umefanya nini c…

Open printable article β†’
πŸ“„

Unashangaa kwa nini hufanikiwi?

Sikiliza, hakuna haja ya kuketi chini ili kuelewa ujumbe huu: Ukweli unabaki kwamba wengi wanajihusisha kupita kiasi na yale yasiyo ya msingi katika safari yao ya mafanikio. Kuna msemo wa kiingereza unaosema "mind your own business," tunapaswa kujiuliza tufany…

Open printable article β†’
πŸ“„

Ilinde ndoto yako

Ndoto ni nini? Ndoto ni zile ndoto za kiuhalisia ambazo mtu anaweza kuwa nazo akiwa macho na anatumia mawazo yake kutengeneza au kuunda picha ya maisha anayotamani kuishi siku zijazo. Hizi si ndoto ambazo mtu anaota usiku akiwa usingizini, bali ni matakwa ya d…

Open printable article β†’
πŸ“„

UJASIRIAMALI NA CHANZO CHA MTAJI

UJASIRIAMALI Ujasiriamali ni mojawapo ya nguzo muhimu zinazochochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii katika jamii. Ni mchakato wa kuthubutu au kujaribu kufanya shughuli zozote halali, zenye lengo la kuzalisha bidhaa au kutoa huduma zinazoweza kutatua matatizo …

Open printable article β†’
πŸ“„

Ni vizuri kujua haya

πŸ‘‰πŸΏDegree au vyeti ulivyo navyo haviwezi kukupa mafanikio.πŸ‘‰πŸΏUzuri ulio nao hauwezi kukupeleka kwenye ndoto zako.πŸ‘‰πŸΏUsipobadilisha hao marafiki ulio nao hutofika mahali popote.πŸ‘‰πŸΏUsipobadilisha vitendo unavyovifanya kila siku hivyo hivyo mafanikio utayasikia kwa w…

Open printable article β†’
πŸ“„

Njia 8 za kupata mtaji kwa ajili ya Biashara yako

Njia hizo ni kama ifuatayo!! 1. Mtaji mbadala Mtaji mbadala unarejelea rasilimali au mbinu ambazo zinaweza kutumika badala ya fedha katika kuendeleza biashara au mradi fulani. Ni muhimu kuelewa kwamba si kila hatua inahitaji matumizi ya fedha taslimu. Kuna nya…

Open printable article β†’
πŸ“„

Kuwa na kawaida ya kujiwekea Akiba ni njia na Siri ya kuwa tajiri

Watu wengi wanajiuliza, β€œSiri ya utajiri ni nini?” Je ni mbinu gani zinaweza kumsaidia mtu kupata utajiri? Siri kubwa ya utajiri ni kujifunza elimu ya namna ya kutafuta mtaji, kuwekeza kwa busara kwa namna ambayo daima panakuwa na ziada na faida. Kuwa na lengo…

Open printable article β†’
πŸ“„

FURSA HAIJI MARA MBILI: Jinsi unavyoweza kupata faida au hasara ukitumia Nafasi au fursa uliyonayo

Kwenye maisha fursa moja tu inatosha kabisakubadilisha hali yako ya sasa na kukuweka kwenyekiwango kingine kabisa cha mafanikio.Kuna watuwengi sana ambao waliwahi kufikiria kuwa maishayao yatachukua miaka mingi sana kablahayajabadilika na kwa mshangao wao wali…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mambo 13 katika pesa ambayo unapaswa kuzingatia

1. Usikope pesa ya riba ili uanzishe biashara.Usitegemee pesa ya mkopo kuianzishia biashara, upate faida kisha uirudishe pesa ya mkopo na riba yake.2. Usitumie pesa ambayo bado haipo mikononi mwako.Wala usije ukamuahidi mtu kumpa pesa ambayo umeahidiwa mahali …

Open printable article β†’
πŸ“„

Usiyoyajua kuhusu pesa haya hapa

Habari za Leo Rafiki yangu wa Muhimu sana. Ni furaha yangu kujua unaendelea vyema sana na majukumu yako.Ni wakati mwingine tena tunaenda kujifunza pamoja juu ya mambo mbalimbali ili tuweze kufikia mafanikio kila siku. Leo tunakwenda kujifunza kuhusu pesa na ut…

Open printable article β†’
πŸ“„

Tabia za kuepuka ili uweze kuwa tajiri

UKIWA NA HIZI TABIA 9, JIANDAE KUFA MASKINI…………By Kashindi Edson"Umasikini hauji kwa bahati mbaya kama ubaguzi wa rangi au ukoloni, umaskini hutokana na matendo ya kila siku ya mwanadamu" (Nelson Mandela, R.I.P)"Kila mtu anataka kufanikiwa, lakini si kila mtu …

Open printable article β†’